Wademocrats nchini Marekani walipata ushindi muhimu wa kuwezesha kusonga mbele na mipango ya kumfungulia mashtaka rais Donald Trump ambayo baadae inaweza kumtoa madarakani. Kura hiyo inamaanisha nini kwenye jaribio la kutaka kumng´oa Trump Madarakani? Swali hilo na mengine anayajibu mchambuzi Prof Nicolas Boaz akiwa nchini Marekani.