You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
NEW YORK : Wanawake wa Kiarabu wakabiliwa na ubaguzi
Hali tete kwa wanawake nchini Iraq
Hali ya wanawake nchini Iraq bado ni mbaya katika jamii kwasababu ya vita kati ya makundi ya kidini vinavyohatarisha maisha ya wanawake.
BEIT HANOUN: Wanawake 2 wa Kipalestina wameuawa na vikosi vya Israel
Mkutano juu ya mafanikio ya wanawake wafanyika Nairobi Kenya
Zaidi ya wajumbe 1000 wamefanya mkutano kutathmini mafanikio ya wanawake tangu kufanyika mkutano wa Beijing miaka 11 iliyopita.
Wanawake wa Irak kaskazini wanaendeleza harakati za kutafuta haki
Miaka 18 iliyopita wanawake hao waliwapoteza wapendwa wao katika operesheni iliyoitwa Anfal iliyo endeshwa na askari wa Saddam Hussein.
KABUL.Mkuu wa kitengo cha maswala ya wanawake auwawa
Baghdad. Bomu lauwa watu 31 wanawake na watoto.
Mtando wa Sahiba nchini Tanzania watilia mkazo maendeleo ya wanawake
Bibi Salma Maoulidi mkurugenzi wa mtandao wa Sahiba amewataka wanawake wajiunge kwa wingi na mtandao huo ili kupata manufaa
Berlin:Idadi ya wanawake walioambukizwa HIV yaongezeka Ujerumani.
CAPE TOWN: Wanawake wakumbuka maandamano ya kupinga ubaguzi
Miaka 50 tangu maandamano makubwa ya wanawake nchini Afrika Kusini
Leo imetimia miaka hamsini tangu wanawake 20.000 wa Afrika Kusini walipoandamana dhidi ya sheria za ubaguzi wa rangi zilizopitishwa na serikali ya utawala wa kibaguzi wa nchi hiyo wakati huo. Mwandishi wetu wa Afrika Kusini, Dagmar Wittek, amekutana na mwanamke mmoja aliyesaidia kuandaa maandamano haya, Amina Cachalia.
Wanawake hawajawezeshwa kujiepusha na ngono
Maelfu ya wanafunzi nchini Uganda wamejiandikisha kama wanachama wa vilabu vinavyojulikana kwa jina ´True Love Waits´- yaani mapenzi ya kweli husubiri. Vilabu hivi vinahimiza kujiepusha na ngono kama njia ya pekee ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa ukimwi. Lakini je inawezekana kujiepusha na ngono huku wanawake wakiwa hawajawezeshwa kuamua juu ya ngono?
Amani inahitaji wanawake
Tanzania na Ujerumani ni wanachama wawili katika kamati mpya ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia masuala ya kuunda na kuimarisha amani. Bado lakini kamati hiyo haijaanza kazi yake. Mashirika ya wanawake yanataka kutumia nafasi hii kuwashawishi wanasiasa kuhusu umuhimu wa wanawake katika kuimarisha amani.
Ujerumani yaazimia kupambana na ukeketwaji dhidi ya wanawake
Madaktari nchini Ujerumani wamepitisha miongozo na kanuni za matibabu kwa wanawake walioathirika na ukeketwaji, wakibainisha kuwa ukeketaji dhidi ya wanawake ni kosa la jinai chini ya sheria za Ujerumani na kwamba madaktari wanaowakeketa wanawake wataadhibiwa.
Hali ngumu inayowakumba wakimbizi wanawake
Ripoti ya tume ya wakimbizi wanawake na watoto yenye makao yake makuu mjini New York, ni kwamba takriban watu 35 milioni duniani wanaishi katika hali ya kutawanyika baada ya kuyahama makaazi yao ndani katika nchi zao wenyewe au katika mipaka ya kimataifa kwa sababu mbali mbali vikiwemo vita.
Hali ya wanawake nchini Saudi-Arabia
Wanawake nchini Saudi-Arabia wanaishi maisha ya kujificha. Wanakaa ndani, wanajifunga kabisa, wanawekwa kando ya jamii. Lakini hali nchini humo inabadilika. Katika vita vigumu vya kupigania uhuru wao, wanawake wa Saudi-Arabia wanatafuta njia ya kujiukomboa.
Wanawake wahimizwa kuendeleza harakati za kutetea haki zao
Viongozi kutoka nchi mbali mbali waadhimisha siku ya wanawake duniani na kutoa miito kuwataka wanawake waendeleze harakati za kupambana na ubaguzi dhidi yao.
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani
Leo ni siku ya wanawake duniani, siku hii imeadhimishwa kwa kampeni mbali mbali huku utoaji mimba, dhulma za kimapenzi na biashara ya kuuza watu wengi wao wakiwa wanawake zikiwa ndizo mada zilizo mulikwa zaidi katika kuisherehekea siku hii.
Siku ya wanawake ulimwenguni
Eti juhudi za kuleta haki na usawa kati ya wanaume na wanaweka zimefikia wapi?
Itifaki ya haki kwa wanawake kuanza kutumika rasmi barani Afrika
Utetezi wa haki za wanawake wapata ushindi mkubwa barani Afrika baada ya viongozi barani humo kuidhinisha mkataba wa Togo juu ya haki za wanawake zitakazo lingana na misingi ya kimataifa.
Wanawake na Maendeleo
Katika kipindi hiki bibi Vivian Kiteke mwanasheria na mwenyekiti wa tume ya kupambana na Ubakaji anaeleza kazi za tume hiyo na matatizo yake.
Wanawake Na Maendeleo
Shida mbali mbali zinazo wakabili wanawake wanao ishi na virusi vya Ukimwi
Wanawake wa Vijijini ni walengwa wapata elimu juu ya UKIMWI
Nchini Tanzania wanawake wanao ishi vijijini walengwa kupata elimu zaidi juu ya kuishi na UKIMWI
Ukatili dhidi ya wanawake ukomeshwe
Wanawake 1000 kwa tuzo ya Nobel
Ingawa katika miaka miwili iliyopita wanawake wawili wamepata tuzo ya Nobel, mmojawapo ni Wangari Maathai kutoka Kenya, bado idadi ya wanawake walioshinda kupata tuzo za Nobel ni ndogo sana. Kwa miaka kadhaa sasa shirika moja kutoka Uswisi linalowakilishi wanawake wote wanajitolea kuleta amani, linalenga kubadilisha hali hii.
Madrid. Genge la kuwauza wanawake lavunjwa.
Idadi ya Maseneta Wanawake kuongezwa Burundi
Wanawake watakuwa maaskofu katika kanisa la Kiangalikana la Uengereza
KHARTOUM: Ubakaji wa wanawake umezagaa Darfur
CAPE TOWN. Rais Thabo Mbeki awapa wanawake nafasi ya makamu wa rais
Wanawake nchini Ujerumani wajinyakulia kombe katika mashindano ya UEFA
Kwa karibu miaka 40 iliyopita,wanawake nchini Ujerumani walianza kucheza mpira wa miguu wa kulipwa.Tangu wakati huo,wanawake wa Ujerumani wameweka rikodi yao katika ngazi ya kimataifa
KUWAIT Wanawake wachaguliwa kuwa viongozi nchini Kuwait
ISLAMABAD :Wanawake wakaidi kupigwa marufuku kushiriki mbio na wanaume
KUWAIT: Wanawake wapewa haki ya kupiga kura
KUWAIT: Sheria ya kuwawezesha wanawake kupiga kura yagonga mwamba
GENEVA: Matatizo ya ujauzito na uzazi yauwa wanawake
KAMPALA-Waislamu waandamana Kampala kupinga marekebisho yatakayowapa haki zaidi wanawake katika ndoa.
LONDON: Mafuriko ya Tsunami yamechukua maisha ya wanawake wengi
BERLIN : 1,000 waandamana kupinga ukatili dhidi ya wanawake
WANAWAKE WATATHMINI SERA YA BEIJING
Maelfu ya viongozi wa kike kutoka duniani kote wanakutana wiki hii kwa ajili ya tathmini kuu ya kimataifa juu ya kile ilichokifanya Umoja wa Mataifa katika kipindi cha miaka 10 iliopita kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika nyanja zote za maisha. Ujumbe wao kwa Umoja wa Mataifa kwamba sasa hakuna visingizio tena wala kucheleweshwa tena.
Kuna haja kubwa ya kuhakikishwa haki sawa kati ya wanawake na wanaume katika Ujerumani
Tarakimu za wataalamu zinasema wanawake katiika Ujerumani huwapita wanaume wakati huu katika maswala ya elimu, kila mwanamke wa pili huchukua masomo katika chuo kuikuu baada ya kumaliza shule. Tatizo lao kubwa kabisa la pamoja ni namna ya kuoanisha shuguli za familia na ajira.
Wanawake nchini Kenya wapigania haki zao zilindwe na katiba.
Wabunge wanawake Rwanda wavunja Rekodi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 18
Ukurasa unaofuatia