You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanawake nchini Kenya wamenza kuvuka ukomo wa nafasi zao serikalini
Wanawake nchini Kenye wanaanza kuvuka ukomo wa nafasi zao katika Serikali.Hii ni baada ya kuteuliwa wanawake 6 kati ya mawaziri 18 ambao wanaathibitishwa na kamati ya Bunge la Kenya.
Wanawake 3 waliotoweka wapatikana hai
Wanawake watatu wa jimbo la Ohio Marekani wanaoaminika walitekwa nyara muongo mmoja uliopita wamepatikana wakiwa hai kwenye nyumba mmoja ilioko katika mji wa Cleveland karibu na mahala ambapo walionekana mara ya mwisho.
Wanawake 6 wateuliwa katika baraza la mawaziri nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amekwisha anza kazi ya kuteua baraza lake la mawaziri kwa ajili ya kuunda serikali yake baada ya kuapishwa rasmi baada ya uchaguzi wa Machi 4.
Kesi ya watuhumiwa wa siasa kali ya mrengo wa kulia
Kuakhirishwa kesi ya watuhumiwa wa siasa kali ya mrengo wa kulia,maridhiano kuhusu kutengwa idadi maalum ya nyadhifa za juu kwaajili ya wakinamama na Venezuela ni miongoni mwa mada magazetini .
Wanawake na biashara ya mvinyo
Grace Kabogo anaangazia miradi ya wanawake wanaosindika mvinyo, chakula na matunda na namna miradi hiyo inavyowaondoa wanawake hao kwenye utegemezi na kuwajengea uwezo wa kujisimamia mambo yao wenyewe.
Wanawake na biashara ya mvinyo
Grace Kabogo anaangazia miradi ya wanawake wanaosindika mvinyo, chakula na matunda na namna miradi hiyo inavyowaondoa wanawake hao kwenye utegemezi na kuwajengea uwezo wa kujisimamia mambo yao wenyewe.
Bila ya wanawake,habari haziwezi kuwa timamu
Si wengi wanaoshangazwa kwamba wanawake hawawakilishwi vya kutosha katika sekta ya vyombo vya habari.Hata hivyo madhara ya hali hiyo ni makubwa,inasema Ripoti ya taasisi ya wakinamama katika vyombo vya habari-WMC
Uchaguzi Kenya: Wanawake, vijana uongozini
Huku Kenya ikiendelea kuzihesabu kura, wale waliochaguliwa katika nyadhifa mbali mbali baadhi yao wakiwemo wabunge, magavana na maseneta wanaendelea kusherekea ushindi wao, miongoni mwao wakiwa vijana na wanawake.
Jukumu la kuzuia unyanyasaji wa kijinsia ni la wote
Katika Maoni kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Saumu Mwasimba, anaongoza mjadala kuhusu unyanyasaji wa kijinsia barani Afrika na dhima ya taasisi za kiserikali na kijamii katika kupambana nao.
Maisha katika kituo cha kuwahudumia wastaafu nchini Ujerumani
Idadi ya watu wanaotumbukia katika hali ya umaskini uzeeni inazidi kuongezeka na wengi kati yao ni wanawake.
Wanaume wa Afrika wanavyobadili imani
Ingawa baadhi ya mila za Kiafrika zinataka mwanaume awe na watoto wengi na wa kiume kama mrithi, wanaume wa Afrika wameanza kubadilika kwa kuachana na mila hizo baada ya kutambua umuhimu wa uzazi wa majira.
Wanawake na maendeleo
Kipato katika tofauti za kijinsia na hasa mwanamke kuzidi mwanamme katika familia kunaleta tija au mifarakanao katika familia.
Siku ya Wanawake barani Afrika
Leo (31.07.2012) ni siku ya mwanamke barani Afrika. Siku hii inaikumbusha jamii ya Waafrika kumtendea wema mwanamke, ikiwa ni sehemu ya jamii ambayo ina wajibu wa kuleta maendeleo.
Familia za wapiganaji wa Taliban zawa ombaomba
Familia nyingi za wapiganaji wa Kundi la Taliban waliouwawa katika mapigano dhidi ya Jeshi la Pakistan ama waliopoteza maisha yao nchini Afghanistan, sasa zinaishi katika umaskini mkubwa.
Wanawake Saudia marufuku Olympiki
Wakati wanamichezo ulimwenguni wakiingia hatua ya mwisho ya mazoezi kwa ajiri ya mashindano ya Olympiki mjini London, Saudi Arabia imepiga marufuku ushiriki wa wanamichezo wake wa kike katika mashindano hayo.
Wanawake wakimbizi wapambana na maisha Uganda
Ingawa maji yakimwagika hayazoleki, bado huo si mwisho wa mtu kupata maji ya kunywa kama anavyothibitisha Marie Mabala, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), anayekabiliana na maisha nchini Uganda.
Wahariri juu ya siku ya wanawake duniani
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanatoa maoni yao juu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Wanahoji, kuwa siku moja haitoshi kuwatilia maanani akina mama duniani.Mwaka unazo siku zaidi ya 300.
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
Haki ya wanawake kushiriki katika maisha ya kisiasa imesisitizwa katika mikataba kadhaa ya kimataifa, lakini kuibadilisha haki kutoka kwa maandiko hadi kwenye vitendo kunahitaji jitihada zaidi miongoni mwa wahusika.
Merkel: Mwanamke aliyefanikiwa katika siasa
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani, tunayatazama maisha ya mwanamke mmoja mwenye mafanikio makubwa ambaye sasa ni kiongozi wa kisiasa wa taifa lenye nguvu kubwa ya kiuchumi. Huyo ni Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.
Wanawake wajawazito wanaweza kutibiwa Saratani
Watafiti wamesisitiza kuendelea kutolewa kwa taarifa za wanawake waliopatikana na ugonjwa wa saratani wakiwa na ujauzito; kwani sasa kuna matumaini chanya.
Mkutano wa siku mbili kuhusu Somalia
Serikali ya mpito na Somalia na mashirika kadhaa ya huduma za jamii wanakutana kuzungumzia jinsi ya kujumuishwa koo za nchi hiyo katika serikali mpya huku wakinamama wakidai wabebeshwe jukumu kubwa zaidi .
Ukeketaji wa wanawake ni kinyume na maumbile
Mgogoro wa Syria Magazetini
Kura ya turufu ya Russia na China dhidi ya mswaada wa nchi za magharibi na za kiarabu dhidi ya Syria na athari za kukeketwa wasichana ndizo mada zilizohanikiza magazetini hii leo nchini Ujerumani.
Siku ya Kimataifa ya Ukeketaji dhidi ya wanawake
Kila mwaka siku kama ya leo, dunia nzima inaungana pamoja katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga vitendo vya ukeketaji dhidi ya wanawake.
Ukeketaji wa wanawake ni uvunjaji wa haki za binaadamu
Mila ya kuwakeketa wanawake inayofuatwa na baadhi ya jamii ulimwenguni inaelezwa kuwa ni aina moja ya udhalilishaji na uvunjaji wa haki za kibinaadamu za wanawake unaohatarisha pia maisha yao.
Ujerumani yahitaji wanawake katika nafasi za uongozi
Magazeti ya Ujerumani leo hii yamezungumzia zaidi kuhusu nafasi sawa za kazi kwa wanawake na wanaume.Halikadhalika suala la mzozo wa madeni katika eneo la mataifa yanayotumia sarafu ya euro.
Wanawake washinda tuzo ya Nobel ya amani
Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, na mwanamke mwenzake kutoka nchi hiyo, Leymah Gbowee pamoja na mwanaharakati kutoka Yemen, Tawakkul Karman, ndiyo waliotangazwa washindi wa tuzo ya Nobel ya amani mwaka 2011
Wanawake barani Afrika wana mayoma
Maradhi ya kufanya nyama kwenye fuko la uzazi, yanayojuilikana kama mayoma au fibroids, yanawakumba asilimia kubwa ya wanawake katika mataifa masikini, likiwemo bara la Afrika, jambo ambalo linazidi kuhatarisha afya zao.
Wanawake wa Somalia wapo katika hatari ya kubakwa.
Umoja wa Mataifa umearifu kwamba wanawake wanaoikimbia njaa Somalia wanazidi kuwamo katika hatari ya kufanyiwa vitendo vya ngono kwa mabavu, wanapokuwa njiani kuelekea kwenye kambi ya wakimbizi nchini Kenya.
Frauen-WM
.
Fainali ya kombe la dunia la kandanda la wanawake leo
Nani atatawazwa bingwa, Marekani au Japan.
Nusu fainali ya kombe la dunia la wanawake
Ufaransa inakutana na Marekani hii leo jioni katika nusu fainali za mashindano ya kombe la dunia la wanawake huku nayo Sweden ikisubiri zamu yake dhidi ya Japan zikitafuta nafasi ya kufuzu kwa fainali za mashindano hayo
Miujiza ya wanawake uwanjani
Timu ya taifa ya wanawake ya Marekani ilifufuka kutoka tofauti ya bao moja dhidi ya timu ya Brazil na pia kupungukiwa na mchezaji mmoja na kufanikiwa vivyo hivyo kuifunga timu hiyo kupitia mikwaju ya penalti.
Ujerumani imeyaaga mashindano ya kombe la dunia ya wanawake
Timu ya taifa ya wanawake ya Japan imeifunga timu bingwa mtetezi Ujerumani 1-0 katika robo fainali za mashindano ya kombe la dunia ya wanawake mjini Wolfsburg
Mashindano ya kombe la kandanda la dunia la wanawake yaanza leo.
Ufaransa yaibwaga Nigeria na Ujerumani kuchuana na Canada
Fainali za kombe la dunia kwa wanawake kuanza Jumapili
Fainali za FIFA za kombe la dunia kwa wanawake zinaanza rasmi Jumapili nchini Ujerumani, wakati mabingwa watetezi Ujerumani itakapofungua dimba na Canada katika uwanja wa Olimpiki mjini Berlin.
Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake 2011
Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake linafanyika hapa Ujerumani, na tayari mshikemshike na homa ya kabumbu imeshaanza kupanda kwa timu mbalimbali zinazoshiriki mashindano haya ya aina yake ya kimataifa.
Wanawake wa Kisaudi wapinga marufuku ya kuendesha gari
Wanawake nchini Saudi Arabia wameitikia mwito wa kufanya maandamano ya aina yake leo, baadhi yao, wenye leseni, wakiendesha magari, mitaani kupinga sheria inayowazuia kuendesha magari katika nchi hiyo ya Ghuba.
Kombe la Dunia la Wanawake 2011
Timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani inalitetea kwa mara ya pili taji la Ubingwa wa dunia kwa wanawake. Mwaka huu ni timu 16 zinazoshiriki kombe la dunia.
Wanawake sasa nao wabeba dhamana ya matumizi
Kwa miaka mingi, jamii zetu zilizoea kumuona mwanamme kuwa ndiye pekee mwenye jukumu la kuongoza na kusimamia gharama za uendeshaji mambo ama akiwa kwenye mahusiano ya kawaida na mwanamke au wakiwa katika ndoa.
Bodi za uongozi ngóme ya wanaume?
Wito wa kuwepo kiwango fulani cha wanawake katika mabodi ya uongozi katika makampuni makubwa ya Ujerumani ni mada kuu katika magazeti ya Ujerumani leo hii.Basi utaanza na gazeti la FLENSBURGER TAGEBLATT linalosema:
Fainali ya kombe la DFB kwa soka la wanawake Ujerumani
Fainali ya soka la wanawake kuwania kombe la shirikisho la soka la Ujerumani DFB inafanyika Jumamosi hii mjini Cologne kati ya Turbine Potsdam na FFC Frankfurt.
Wahariri wazungumzia siku ya wanawake duniani
Akina mama washerehekea miaka mia moja ya harakati zao za kupigania haki
Wanawake kabla na baada ya ukuta kuporomoka
Hali ya wakinamama wa mashariki na magharibi ya Ujerumani miaka 20 baada ya ukuta kuporomoka
Ban atangaza dola bilioni 40, kuimarisha afya ya wanawake.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametangaza kiasi cha dola bilioni 40 kwa ajili ya kuimarisha afya kwa wanawake na watoto, ambapo amesema inaweza kuokoa mamilioni ya maisha ya watu duniani kote.
Gaddafi awahimiza wanawake vijana Uitalia kuingia Uislamu
Mualiko wa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kwa mamia ya wanawake vijana kubadili dini na kuwa Waislamu,umegubika ziara yake ya siku mbili nchini Uitalia iliyokuwa na nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Tripoli na Rome.
Timu ya soka ya wanawake ya Turbine Potsdam ya Ujerumani yatawazwa mabingwa barani Ulaya.
Klabu ya Turbine Potsdam ya Ujerumani jana mjini Madrid ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa kandanda kwa vilabu vya wanawake barani Ulaya, baada ya kuchapa Olympique Lyon mabao 7-6.
Mauaji ya mjini Jos, Nigeria
Raia wa Jos waghadhabika, Polisi walaumiwa.
Wanawake kabla na baada ya ukuta kuporomoka
Hali ya akinamama wa mashariki na magharibi ya Ujerumani miaka 20 baada ya ukuta kuporomoka
Wanawake Tanzania waandamana kupambana na huduma mbaya za Afya
<p>Nchini Tanzania asasi zisizokuwa za kiserikali zipatazo 18 zimeandaa jukwaa lililo la wazi kujadili na kupeana changamoto katika kupambana na unyanyasaji kijinsia na vifo vya akina mama na watoto.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 18
Ukurasa unaofuatia