You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani yatolewa dimba la Ulaya kwa wanawake
Ujerumani ilizabwa mabao mawili kwa moja na Denmark katika mtanange wa robo fainali
Muuguzi awasaidia wanawake wa Ethiopia waliorudi nyumbani
Muuguzi mahiri Abay Kassahun amejitolea katika kazi yake kuwasaidia wanawake waliokabiliwa na mateso katika nchi za kigeni walikokwenda kutafuta maisha mazuri. Mbali na msaada wa kisaikolojia, wengine wanahitaji ushauri wa afya. Hata huwatembelea wateja wake nyumbani kwao. Kazi yake imempa jina la utani:Muuguzi mtembezi.
Magufuli akataza wenye mimba kurudi shuleni
Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge, Mohamed Dahman anaangazia amri ya Rais wa Tanzania, John Magufuli, kukataza wasichana wenye mimba kurejea shuleni. Watetezi wa haki za binadamu wanasemaje kuhusu jambo hilo?
Uzazi wa siri nchini Germany
Lakini wataalam wanasema hatua hiyo haiwasaidii wanawake wote wanaoihitaji kutokana na sababu mbalimbali
Wafanyakazi wa Ethiopia wanaorudi kutoka Arabuni
Abay Kassahun amejitolea kuwasaidia wanawake walio nyanyaswa nchi za nje walipokuwa wakitafuta maisha bora.
Wanaume wanaogopa wanawake wenye akili?
Tunataka kufahamu ni dhana tu au ni kweli kuwa wanaume walio wengi wanatishika na wanawake waliowazidi kielimu au kimapato. Watajichanganya nao, kunywa vinywaji pamoja na hata kuvutiwa nao, lakini linapokuja swala la mahusiano wanasema ni moto wa kuotea mbali. Ikiwa huo ndio ukweli, basi nani wa kulaumiwa, wanawake au wanaume?
Wagombea wanawake Kenya walia na vitisho
Uchaguzi mkuu unafanyika mwezi Agosti
Waganda wajiandaa kwa Siku ya Mama
akina mama mashuhuri nchini Uganda wameshiriki katika kazi zinazofanywa na wenzao wa tabaka la chini.
Wanawake wanaoshona nguo kutumia sufu
Bernard Maranga ametembelea wanawake wa Kitale, Kenya, kujionea juhudi za ushonaji mavazi na bidhaa nyingine mbalimbali kutokana na manyoya ya kondoo zinazotekelezwa na mama mmoja nchini Kenya. Yote hayo katika Wanawake na Maendeleo.
Ufahamu ugonjwa wa kifafa cha mimba
Wanasema mwanamke aliyelala na wanaume wengi ndiye anayeshikwa na kifafa cha mimba (eclampsia) hivyo anatakiwa kuwataja wote aliowahi kulala nao na jina la baba wa mtoto likitajwa ndipo kifafa kinaisha. Ya kweli hayo? Hawa Bihoga anafafanua yote unayopaswa kujua katika makala ya Afya Yako.
Vijana wanaume watahiriwa kwa ajili ya kinga
Watoto wanaume watakiriwa kwa ajili kinga ya magojwa.
UN: Hakuna usawa wa kijinsia Afrika
Aidha, raia wengi Afrika, hasa wanawake na wakazi wa vijijini, wameachwa nyuma kimaendeleo.
Matumizi ya data kuwaendeleza wanawake Tanzania
Taarifa zinapohifadhiwa huleta manufaa muhimu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa jamii nzima kwa jumla.
Msaada kwa wajawazito wanaokatisha masomo
Nchini Tanzania, Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imefanikisha mpango wa kuwarudisha mashuleni.
Wanaume wawili watiwa mbaroni kwa tishio la ugaidi Essen
Wanaume wawili wamekamatwa kwa tishio la ugaidi katika mji wa magharibi wa Essen ,Ujerumani dhidi ya kituo cha maduka.
Changamoto kwa wanawake katika karne ya dijitali
Ni ipi nafasi ya mwanamke katika zama hizi za mawasiliano ya kidijitali? Mawasiliano haya yamemsaidia vipi mwanamke katika kudai haki zake, heshima pamoja na usawa katika jamii? Ungana na Mohammed Kehelf usikie zaidi.
Yaliyovuma mtandaoni kuhusu haki za wanawake
Janusz Korwin-Mikke akemewa kwa matamshi yake dhidi ya wanawake na India wakumbusha wanawake na wanaume ni sawa.
Hali ya wanawake wa DRC Mashariki
Wanawake wanaoishi mjini Beni wanashinwa kufanya shughuli zao za kila siku na hivyo kusababisha ufukara wa familia.
Wanawake Afrika wapiga hatua
Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani. Afrika wamepiga hatua kubwa ya maendeleo pamoja na ushiriki katika mabunge mengi.
Nafasi ya maaskari wanawake jeshini
Wanawake wanaojiamini na kujiunga na majeshi na polisi waelezea mchango wao katika kuleta amani na usalama duniani.
Wanawake wanaopasua kokoto Shinyanga
Nani kasema kwamba wanawake hawawezi kufanya kazi ngumu za mikono? Wafahamu wamama wanaopasua na kuuza kokoto.
Wanawake Ghana wakataa wakunga wanaume
Serikali ya Ghana imeufuta mpango wa majaribio ulioruhusu wanaume kupewa mafunzo ya kuwa wakunga. Hii ni kwa sababu baadhi ya wanawake hawapendi kuhudumiwa na wakunga wa kiume wakati wakiwa wajazito.
Jamii inavyochukulia urembo wa wanawake
Urembo ni swala linalotokana na mtazamo wa jamii na inachoamini kuwa kinavutia hisia, hata kama huo si urembo kwa jamii nyingine. Kwenye makala ya utamaduni na sanaa Lilian Mtono anazungumzia namna jamii inavyouchukulia urembo wa kutoboa pua, ama kuwa na matundu mengi masikioni, lakini pia uvaaji wa shanga ama mikufu miguuni, kama vinavyojulikana kwa wengi, vikuku.
Ripoti ya UNICEF: Wanawake na watoto wakimbizi wateseka
Wanawake na watoto wanapigwa, wananyimwa chakula na wanabakwa ikiwa ni baadhi ya mateso yanayowakabili
Umri wa kuishi waongezeka kwa wanawake na wanaume
Utafiti huo umefanywa na chuo cha Imperial cha mjini London, Uingereza
Maisha magumu ya wanawake Saudi Arabia
Saudi Arabia ni nchi mojawapo yenye sheria kali zinazowakandamiza wanawake. Haki ambazo ni jambo la kawaida kwa wanawake katika nchi nyingine duniani kama vile kuendesha gari, kusafiri au hata kutoka nyumbani bila kusindikizwa na mwanamume bado ni ndoto kwa wanawake wa nchini Saudi Arabia.
EALA yapitisha sheria dhidi ya ukeketaji
Spika wa EALA Daniel Kidega amesema kupitishwa kwa sheria hiyo ni mafanikio makubwa.
Maandamano ya wanawake dhidi ya Trump
Wanawake waandamana kupinga matamshi ya rais Trump dhidi ya wanawake
Wanawake na vikundi vya kukopeshana
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake hivi sasa kutafuta namna mbadala za kujiongezea kipato kwa kuanzisha vikundi vya kukopeshana. Lakini bado hawajui umuhimu wa kuvisajili kisheria. Mara nyingine hujikuta baadhi ambao si waaminifu wanakimbia na akiba za fedha walizojiwekea. Sikiliza makala haya ya wanawake yatakayokujuza mengi kuhusiana na madhila ya vikundi hivyo.
Uganda: shule ya ukulima wa mapasheni
Ukulima ni kazi inayofanywa zaidi na wanawake nchini Uganda. Mradi wa KadAfrica umeamua kutoa mafunzo ya miezi sita ya kumuwezesha mwanamke kuwa mkulima wa tunda la pasheni. Eric Kaduru na mke wake Rebecca ni waanzilishi wa mradi huo.
Wanaume wa Uganda wabuni mbinu za kukwepa majukumu yao
Wanaume Uganda wadai kushindwa kukimu mahitaji ya familia kwa kuzuiwa kuwapiga wake wao
Harakati za kupinga ukatili wa kijinsia nchini Tanzania
Tanzania bado inakabiliwa na ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji na ulawiti kwa watoto, ndoa na mimba za utotoni, pamoja na vipigo kwa wanawake kutoka kwa waume zao licha ya juhudi mbali mbali za kupinga hatua hiyo na sheria kali kutungwa bado matukio ya aina hii yanazidi kuongezeka. Sikiliza makala ya Celina Mwakabwale.
Je wanaume huchukulia vipi suala la upangaji uzazi?
Katika makala ya Afya Yako, John Juma anaangazia juhudi za upangaji uzazi na changamoto dhidi ya juhudi hizo.
Wanawake kubadili maumbo
Ni ndoto ya kila mwanamke kuwa na umbo la kuvutia. Kuna walioamua kufanyiwa upasuji,kumeza vidoge, kudungwa sindano, kuvalia mavazi yenye vipandikizi yaani silicon ili mradi tu kuongeza wanakohisi wana mapugufu. Japo wapo waliofanikiwa, wengine wamedhurika au hata kupoteza maisha yao. Ungana na Jane Nyingi ufahamu mengi zaidi.
Mfahamu Michelle Obama
Je, unajua kwamba Michelle Obama alikuwa bosi wa Barack Obama walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye kampuni ya mawakili? Katika "Wanawake na Maendeleo" Tatu Karema anamwangazia mke huyo wa Rais wa Marekani na mtu ambaye amekuwa mfano bora kwa wasichana na wanawake duniani kote.
Mradi wa kuwaelimisha wasichana Ghana kuhusu teknolojia
Regina Agyare Honu ni mwanamke aliyefanya kazi katika sekta ya TEHAMA nchini Ghana ambayo imetawaliwa zaidi na wanaume. Lakini hakuna aliyemtilia maanani hata kutokana na ubunifu wa bidhaa zake.
Watoto wa shule wafundishwa afya ya uzazi
Kati ya mambo yanayotajwa kuchangia ujauzito wa wasichana shuleni ni pamoja na elimu duni ya afya ya uzazi, ikiwemo elimu juu ya mabadiliko ya miili kwa wasichana. Kipindi cha Wanawake na Maendeleo kinaangazia mpango wa kutoa elimu hiyo kwa wanafunzi wa kike Tanzania. Msikilize Celina Mwakabwale katika makala.
Trump aomba radhi kwa matamshi ya kuwakosea adabu wanawake
Mgomea wa urais wa chama cha Republikan Marekani Donald Trump aomba radhi kwa lugha ya ukosefu wa adabu kwa wanawake.
Upelelezi wa wanawake waliouliwa Mombasa
Mashirika ya kutetea haki Kenya yanasema mkasa ambapo polisi iliwauwa wanawake iliodai walikuwa magaidi umekosa mashiko.
Wanawake weupe ndiyo wenye mvuto?
Hilo ndilo swali ambalo Jane Nyingi analifuatilia katika kipindi cha Vijana Mchaka Mchaka wiki hii. Wanaume wanasemaje?
Hali Syria na kudhalilishwa wanawake
Vita vya Syria na kudhalilishwa wanawake ni miongoni mwa mada zilizohanikiza magazetini nchini Ujerumani.
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Wako nchini Ujeruman wakipatiwa matibabu
Wanawake wajitosa katika ujasiriamali
Wanawake wajitosa katika ujasiriamali
Changamoto za kuripoti masula ya wanawake na jinsia
Uelewa wa waandishi wa habari kuhusiana na suala la wanawake na jinsia bado uko chini sana. Ungana na Lilian Mtono katika kipindi chake cha Wanawake na Maendeleo.
Burundi: biashara ya wanawake imepwaya Ramadhani
Mwezi wa Ramadhani kwa kawaida huwapa wanawake wa Burundi fursa ya kujishughulisha na biashara ndogo ndogo. Lakini mwaka huu biashara imepwaya, huku thamani ya sarafu ya nchi ikiwa imeporomoka.
Adha wanazopata wagonjwa wa Fistula
Wanawake wanaougua Fistula hushindwa kuzuia mkojo au kinyesi, hali inayowafanya wasijisikie huru kwenye umati wa watu.
Wanaharakati: Ukeketaji ni suala la wanaume
Wanaharakati: Ukeketaji ni suala la wanaume
Mkutano kuhusu wanawake wafanyika Copenhagen
Zaidi ya wajumbe 5000 wanahudhuria mkutano wa kujadili masuala ya wanawake ikiwemo afya
Bendi ya wanawake wanaharakati Ethiopia
Kwa miaka kadha,bendi ya wanawake Yegna imekuwa ikifurahisha wengi Ethiopia. Kundi la watano limepachikwa jina la Ethiopia’s Spice Girls.
Papa aruhusu mjadala wa wanawake mashemasi
Kanisa Katoliki huwa haliruhusu wanawake kutawazwa kuwa mashemasi. Hisia mbalimbali zimeibuka kuhusu kauli hiyo ya Papa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 18
Ukurasa unaofuatia