You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanawake zaidi watakiwa kulindwa katika janga la corona
Guterres ataka serikali duniani ziwalinde wanawake zaidi katika janga la corona
Wasichana India wajihami dhidi ya wabakaji
Wasichana kadhaa mjini Delhi, India wanashirika madarasa ya kujifunza jinsi ya kujihami katika taifa ambalo lina rekodi mbaya ya visa vya dhuluma dhidi ya wanawake. Madarasa hayo yamepata umaarufu kufuatia kisa cha ubakaji 2012.
"Siku bila Wanawake" Mexico
Tarehe 8 Machi ulimwengu huadhimisha Siku ya Wanawake. Mwaka 2020 maadhimisho haya yamekwenda sambamba na miaka 25 ya maazimio ya Beijing pamoja na mkakati maalumu kuelekea haki na usawa wa kijinsia. Pamoja na harakati hizo, bado pengo ni kubwa kuanzia nafasi ya mwanamke nyumbani hadi ofisini. Lilian Mtono anakufahamisha jinsi wanawake wa Mexiko walivyoweka mgomo kuonyesha umuhimu wao.
Maoni: Siku ya wanawake duniani wanawake wanapaswa kujiamini
Wanawake wanajaribu kuonesha nguvu na uwezo wao nje ya utaratibu wa kisiasa wa bunge
Wanawake Sudan bado walilia haki baada ya Bashir kuanguka
Wanawake wa Sudan walichangia pakubwa kumuondoa Bashir madarakani lakini wanasema msuala yao hayazingatiwi vya kutosha.
Mimi ni kizazi cha Usawa #GenerationEquality
Kampeni inalenga kuleta usawa kati ya vizazi na inaadhimisha miaka 25 tangu tangazo la Beijing 1995.
Haki za wanawake kiuchumi na kisheria
Makala ya Wanawake na Maendeleo inaangazia haki za wanawake wakiwa makazini na kwenye biashara.
Nafasi ya wanaume kuwezesha wanawake
Nani mwenye jukumu la kuwezesha wanawake? Sikiliza Wanawake na Maendeleo ufahamu zaidi.
Jukumu la wanaume kuwajengea uwezo wanawake
Katika kipindi cha Wanawake na Maendeleo Saumu Njama anaangazia umuhimu wa kuwashirikisha wanaume katika mchakato wa kuwajengea wanawake uwezo katika jamii.
Wanawake hufanya kazi bila malipo, matajiri wafaidika
Ripoti ya Oxfam imesema Wanawake hupunjwa kiasi cha dola trilioni 11 kutokana na kufanyishwa kazi bila malipo
Kesi ya kwanza ya ubakaji wa ndani ya ndoa Eswatini
Mtu wa kwanza Eswatini akamatwa kwa kumbaka mkewe.
Wanawake wanaojitolea kuleta mapatano Wajir
Wanawake wanaojitolea kuleta mapatano Wajir katika jamii za wafugaji.
WHO: Idadi ya wanaume wanaotumia tumbaku inapungua
WHO: Idadi ya wanaume wanaotumia tumbaku inapungua
Zoezi la kumng'owa madarakani Donald Trump Magazetini
Zoezi la kumng'owa madarakani Donald Trump Magazetini
Pengo la usawa wa uchumi kijinsia kuzibwa baada ya miaka 257
Itachukua zaidi ya miaka 257 ili kusawazisha usawa wa kijinsia katika uchumi.
Wanawake Saudia Arabia sasa kutengamana na wanaume
Wanaume na wanawake wasio na uhusiano wa damu wanaruhusiwa kutengamana migahawani
Mhanga wa ubakaji aunguzwa moto India
Inaelezwa kwamba alivamiwa na kundi hilo la wanaume na kuteswa kabla ya kumwagiwa mafuta ya petroli na kutiwa moto.
Chama tawala cha zamani NCP chapigwa marufuku Sudan
Chama tawala cha zamani NCP chapigwa marufuku Sudan
Amnesty: Wanaharakati wanawake wanashambuliwa na kuuawa
Wanadhulumiwa kingono
Wanawake bado wakabiliwa na unyayasaji usioripotiwa
Katibu Mkuu Antonio Guterres ametaka pia kuondolewa aina zozote za unyanyasaji dhidi ya wanawake
Michael Bloomberg kupiganaia kiti cha rais wa Marekani
Michael Bloomberg kupiganaia kiti cha rais wa Marekani
Ujerumani kuwarejesha wanawake wa IS kutoka Syria
Wanawake waliojiunga na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", raia wa Ujerumani kurejeshwa nyumbani
Pope ahimiza huruma kwa wanawake na watoto wanaonyanyasika
Amehimiza kutowapuuzia wanawake na watoto wanaosafirishwa kwa ajili ya biashara ya ngono ama wahamiaji wanaotumikishwa.
Brigid Kosgei avunja rekodi ya wanawake ya Marathon
Rekodi hiyo iliwekwa na Muingereza Paula Radicliffe miaka 16 iliyopita
Wanawake wa Iran sasa kuhudhuria mechi za soka za wanaume
Shirikisho la soka ulimwenguni limesifu hatua hiyo na ushujaa waliouonyesha wanawake hao wa kupigania haki zao.
Wanawake waandamana kudai maji Goma
Watoto, wanawake na albino wanaathirika zaidi Tanzania
Haki za watoto, wanawake na albino bado zinakiukwa zaidi Tanzania, kulingana na ripoti mpya.
Changamoto ya maji kwa wanawake Singida
Wanawake wa Singida, nchini Tanzania, wanajizatiti kila siku katika kuendesha shughuli za kimaendeleo. Na kilimo, ni mojawapo ya shughuli wanazozipa kipaumbele katika kujikimu kimaisha. Lakini sasa kuna changamoto kubwa: Maji.
Mabadiliko yanachangia katika haki za wanawake nchini humo
Wanawake nchini Saudia Arabia wataweza kupata paspoti bila ya idhini kutoka kwa walezi wao wa kiume .
Marekani watetea ubingwa wao
Marekani wameweka rekodi kwa kushinda Kombe la Dunia la wanawake kwa mara ya nne kwa kuwashinda Uholanzi mbili bila k.
England kuvaana na Marekani nusu fainali
Kombe la Dunia kwa wanawake limefikia hatua ya nusu fainali. Baada ya kuwalaza Ufaransa katika robo fainali.
Wanawake wapambana katika biashara ya kutengeneza vyondo Kenya
Wanawake ni nguzo kuu ya jamii bila wao ulimwengu ungekosa maana. Mchango wa wanaawake kwa masuala ya kijamii hauna mfano. katika jimbo la Machakos eneo la Tala nchini Kenya kina mama wanahalisisha ukweli huo kwamba wanatekeleza majukumu yao ipasavyo licha ya umri wao mkubwa.
England yatinga robo fainali licha ya utata wa VAR
Kocha wa England Phil Neville asema kilichohudiwa uwanjani sio kandanda kabisa
Italia na Brazil kuumana katika dimba la wanawake
Italia yawania kuwa kinara wa kundi lao baada ya kuibuka kiongozi wa kundi hilo, kabla ya kupambana na Brazil
Orodha ya timu 16 za mwisho kukamilishwa
Mechi za mwisho za hatua ya makundi kukamilishwa huku timu zikijitafutia nafasi ya kutinga hatua ya mtoano
Ujerumani, Ufaransa zatinga 16 bora kombe la dunia
Nchi za kiafrika zina matumaini kidogo
England yaibwaga Scotland kombe la dunia wanawake
Michuano wa kombe la dunia kwa wanawake nchini Ufaransa
Kombe la dunia kwa wanawake Ufaransa yaanza vizuri
Wanawake wa Ufaransa wamechukua hatua ya kwanza kufuata nyayo za kombe la dunia kwa wanaume wa nchi hiyo.
Je wenyeji Ufaransa watafurukuta mbele ya Wakorea?
Kombe la dunia la wanawake 2019
Mapambano ya ukeketaji yanafanane na ya Ukimwi
Wanaharakati hao wamesema, mapambano ya ukeketaji hayachukuliwi kwa uzito kama ilivyo kwa Ukimwi
Wanawake wa Korea Kaskazini wageuzwa watumwa wa ngono China
Ripoti yasema Wakorea wengi wa Kaskazini ni watumwa katika madanguro katika wilaya za kaskazini mashariki mwa China.
Wanawake wasomi wanaojiajiri wenyewe Tanzania
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Zainab Aziz anawaangazia baadhi ya wanawake wasomi wanaojiajiri wenyewe nchini Tanzania badala ya kungoja kuajiriwa. Wanawake hao wanatoa mfano wakati ambapo ukosefu wa ajira ni mtihani mkubwa kote ulimwenguni lakini hasa katika nchi zinazoendelea.
Papa Francis: Madai ya wanawake ni halali kutaka haki zaidi
Hasa miito ya kumtaka Papa kutambua uharaka wa mabadiliko makubwa ya kuwapa wanawake nafasi za uongozi.
Siku ya kimataifa ya Wanawake yaadhimishwa
Jinsi watu wanavyoishi kuambatana na nia ya kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya wanawake na wasichana.
Spika Uganda aunga mkono shindano la wanawake wanene
Spika wa bunge Uganda aunga mkono shindano la 'Miss Curvy'
Wajue wanawake 10 mahiri zaidi wa soka duniani
DW inawatambulisha wanawake 10 bora zaidi kwenye soka, kwa kuzingatia uteuzi wa tuzo za FIFA za Ballon d'Or.
Wanawake wakisaudi wakimbilia Ujerumani
Hakuna uhuru kwa wanawake wakisaudi na ndio sababu kubwa wanayoitowa ni kwanini wameamua kuikimbia nchi yao
Djinnit ahimiza wanawake wapewe nafasi za uongozi Afrika
Djinnit asema wanawake wana ushawishi mkubwa katika kushinikiza amani na mapatano.
Waziri wa Uganda akosolewa kuwahusisha wanawake na utalii
Wengi wameutaja mpango huo kuwa unaodunisha hadhi ya mwanamke.
UN: Wanawake ni waathirika wakuu wa biashara ya binaadamu
Umoja wa Mataifa iumesema wanawake na wasichana wanaiwakilisha zaidi ya asilimia 70 ya biashara ya binaadamu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 18
Ukurasa unaofuatia