Hali ya usalama kaunti ya Mandera, Kenya ni ya wasiwasi baada ya wapiganaji wa Jubaland Forces wa Somalia kuingia katika eneo la BP1. Gavana wa Mandera, Mohamed Adan Khalif amemtaka Rais William Ruto kuliagiza jeshi la nchi kuwafurusha wapiganaji hao. Saddat Mohammed ni muandishi habari mjini Mandera