Kinaga Ubaga kimetuama nchini Kenya ambapo kutafanyika uchaguzi mkuu Agosti 8, 2017. Ushindani mkali unatarajiwa kati ya chama tawala Jubilee kinachoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta, na Ushirika wa vyama vinne vya upinzani unaojulikana kama National Super alliance - NASA.