You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
UNICEF
UNICEF ni shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto na wanawake katika mataifa yanayoendelea.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UNICEF yaonya kuhusu hali ya watoto katika Ukanda wa Gaza
Jeshi la Israel limesema kuwa linadhibiti asimilia 40 ya jiji la Gaza.
Maafa Afghanistan: Vifo vya tetemeko vyapindukia 1,400
Watu 1,124 wamathibitishwa kufa na zaidi ya 3000 kujeruhiwa kufuatia tetemeko kubw ala ardhi nchini Afghanistan.
Waasi wa Houthi wavamia ofisi za UN, wateka wafanyakazi
Mjumbe maalum wa UN kwa Yemen Hans Grundgerg amelaani wimbi jipya la utekaji wa wafanyikazi wa Umoja wa Mataifa.
Wahouthi wavamia ofisi za UN Yemen, wafanyakazi wakamatwa
Wahouthi wavamia ofisi za WFP na UNICEF Sanaa, huku Israel ikidai kuua waziri mkuu na mawaziri kadhaa wa kundi hilo.
Sudan: Watu 63 wafariki El-Fasher kwa utapiamlo
WFP: Maelfu ya familia huko El-Fasher ziko katika hatari ya kukumbwa na njaa.
UNICEF: Watoto wa Sudan wako hatarini
Umoja wa Mataifa umesema kupunguzwa kwa ufadhili kumesababisha watoto wa Sudan kukabiliwa na njaa na utapiamlo.
FAO, WFP, UNICEF wataka msaada kuingia kwa wingi Gaza
Mashirika makuu ya misaada ya Umoja wa Mataifa yametoa wito misaada ya kiutu kupelekwa kwa wingi Gaza.
UN: Watoto milioni 14 hawakuchanjwa mwaka 2024
Nchi tisa duniani zinaunda asilimia 52 ya watoto wote waliokosa kabisa chanjo.
Zaidi ya watoto milioni 14 hawakuchanjwa 2024
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watoto milioni 14 hawakupata chanjo kabisa mwaka 2024.
UNICEF yaonya kuhusu ukame yasema watoto wamo hatarini
Ni asilimia 40 tu ya vifaa vya kuzalisha maji ya kunywa vinavyoendelea kufanya kazi
UN: Watoto bado wanatumika katika kazi hatarishi duniani
Hayo yamo katika ripoti iliyotolewa na shirika la kazi ILO na UNICEF, ikiwa leo ni siku ya kupinga ajira kwa watoto.
Watoto milioni 138 walishiriki ajira za utotoni 2024
Karibu watoto milioni 138 walishirikishwa katika ajira kwa watoto kote duniani mwaka 2024, kulingana na ripoti mpya iliy
Mashirika ya misaada yaonya kuhusu usambazaji misaada Gaza
Wakala wa Marekani unajiandaa kutangaza mipango ya kusambaza misaada Gaza
WFP: Watoto laki 6 wakosa msaada Sudan Kusini
Umoja wa Mataifa umesema mapigano ya Sudan Kusini yanazuia juhudi za kufikisha misaada kwa watoto wapatao 60,000.
Maelfu ya watoto wabakwa Kongo
Umoja wa Mataifa umelaani vitendo vya ubakaji wa watoto Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
UN: Wasudan Kusini milioni 7.7 wanakabiliwa na "njaa kali"
Takriban watu milioni 7.7 nchini Sudan Kusini wanakabiliwa na viwango vya juu vya njaa.
UM: Kupunguzwa misaada kunatishia maisha ya watoto
Umoja wa Mataifa umeonya kupunguzwa kwa misaada ya kimataifa kunaweza kukatiza juhudi za kupambana na vifo vya watoto.
Umoja wa Ulaya washinikizwa kukatiza msaada kwa Rwanda
Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Kongo kufanyika, Addis Ababa.
Misaada zaidi yaingizwa Gaza baada ya kusitishwa mapigano
Watu wa Ukanda wa Gaza wamekuwa wakikabiliwa na kitisho kikubwa kutokana na kukosekana kwa huduma muhimu za kiutu.
Hali mbaya ya hewa ilizuia watoto milioni 250 kukosa shule
Takriban wanafunzi milioni 242 katika mataifa 85 walikosa masomo kutokana na joto kali, vimbunga, mafuriko na ukame.
Watoto milioni 240 waliathiriwa na hali mbaya ya hewa 2024
Shirika la Kimataifa la kuhudumia watoto lUNICEF limesema hali mbaya ya hewa iliathiri elimu kote duniani mwaka 2024.
UNICEF Migogoro imewafanya watoto wateseka zaidi hivi sasa
UNICEF Migogoro imewafanya watoto waishi uhamishoni zaidi kuliko wakati mwingine
Wito watolewa kuwasaidia watoto wanaotumika vitani
Baada ya ziara hiyo, Beah alisema imekuwa vigumu kuona kile alichokipitia miaka mingi iliyopita bado kinatokea kwa watu.
UNICEF yasaka dola bilioni 9.9 kwa watoto maeneo ya vita
UNICEF imetangaza kampeni ya kusaka dola bilioni 9.9 kwa ajili ya mamilioni ya watoto walioathirika kwa vita.
Watoto wanaosajiliwa na magenge ya silaha waongezeka Haiti
Watoto wamenasa katika mzunguko wa kusajiliwa kwenye magenge yaliyojihami na silaha yanayowasababisha masaibu.
UNICEF: Hali itakavyokuwa kwa watoto katika mwaka 2050
UNICEF yaonya mabadiliko ya idadi ya watu, hali ya hewa na teknolojia yanatishia mustakabali wa vijana.
Iran yalaani vikwazo vipya dhidi yake
Umoja wa Mataifa wasema hali mbaya sana inawakabili watoto katika Ukanda wa Gaza
UNICEF: Mamilioni ya wasichana wadhalilishwa kingono
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limeripoti kwamba zaidi ya wasichana milioni 370 na wanawake
Hezbollah yadai kushambulia kambi ya jeshi ya Israel
Hezbollah imedai kushambulia kwa ndege zisizo na rubani kambi ya kijeshi ya Israel.
Idadi ya waliouwawa Lebanon yazidi kuongezeka
Mashambulizi ya siku mbili ya Israel nchini Lebanon hadi sasa yameshasababisha vifo vya zadi ya watu 550.
Australia kutoa msaada wa dola bilioni 10 kwa ajili ya Gaza
Zaidi ya 41,450 wameuawa na wengine zaidi ya 95,870 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa vita hivyo Oktoba 7 mwaka jana.
Watoto milioni sita waathiriwa na Kimbunga Yagi
UNICEF inasema Kimbunga Yagi kimewaathiri karibu watoto milioni sita katika eneo la kusini mashariki mwa Asia.
UN: Mizozo yawazuia mamilioni ya watoto kusoma, Afrika
Mataifa mengi ya Afrika yanakabiliwa na mizozo ya wenyewe kwa wenyewe inayosababisha mazingira magumu ya kijamii.
WHO yatoa idhini kwa Gavi na Unicef kununua chanjo ya Mpox
Wizara ya afya nchini Gabon imeripoti kisa chake cha kwanza cha mpox kwa mtu ambaye alikuwa amerejea kutoka Uganda.
WHO: Ruksa kwa washirika wetu kuanza kununua chanjo za mpox
Ulimwengu umeanza kupambana kuhakikisha wanadhibiti maambukizi zaidi ya homa ya nyani ama mpox.
UNICEF yasikitishwa na adhabu ya kunyongwa nchini Somalia
Vijana hao walinyongwa katika jimbo lenye utawala wake wa ndani la Puntland mwishoni mwa juma.
Tanzania: Vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake vikomeshwe
Visa vya dhuluma za kijinsia zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara na wakati mwingine wanaharakati wa haki za binadamu wanashinikiza hatua zaidi kwa vitendo vya dhuluma hasa kwa makundi ya wanawake wasichana na watoto. Baadhi ya vijana wanasema malaka hazijafanya vya kutosha kukomesha vitendo hivyo.
Gambia yashikilia uamuzi wa kupiga marufuku ukeketaji
Mashirika yamesema hatua hiyo inathibitisha kwa mara nyingine ahadi za Gambia katika masuala ya haki za binadamu.
UNICEF: Ghasia za Haiti zasababisha watoto kuhama makazi
Haiti, taifa la kisiwa limekumbwa na machafuko yanayosababishwa na magenge ya uhalifu yanayozozania mamlaka.
Mahakama Israel: Wanaume wa Kiorthodox waandikishwe jeshini
Mahakama ya Israel imetoa uamuzi jeshi lianze kuwaandikisha wanaume wa madhehebu ya Kiorthodox kulitumikia jeshi.
Unicef : Watoto milioni 400 wanakabiliwa na adhabu za vipigo
Shirika la UNICEF lasema watoto wapatao milioni 400 wakabiliwa na adhabu ya kupigwa pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
UNICEF: Watoto mil 400 duniani wanapitia ukatili majumbani
UNICEF imesema karibu watoto milioni 400 wanakabiliwa na ukatili majumbani, kati yao asilimia 60 wapo chini ya miaka 5.
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika majumbani
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika kwa kisingizio cha kuwajenga kinidhamu majumbani
Robo ya watoto chini ya miaka 5 wana uhaba mkubwa wa chakula
Ripoti ya UNICEF imebainisha kuwa robo ya watoto chini ya miaka mitano wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula
UNICEF: Mtoto 1 kati ya 4 anakabiliwa na ukosefu wa chakula
Watoto katika kaya zenye kipato cha chini katika mataifa tajiri pia wanakabiliwa na upungufu wa lishe.
UNICEF yalaani ongezeko la ukatili dhidi ya watoto, Sahel
Mataifa hayo matatu yanakumbwa na vurugu za makundi ya itikadi kali na mengine yenye silaha.
Israel kuendeleza vita Gaza hadi mwishoni mwa mwaka 2024
Hadi sasa zaidi ya watu 36,000 wameuawa, hii ikiwa ni kulingana na mamlaka zinazodhibitiwa na Hamas.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya inayoendelea Haiti
Catherine Russell amesema theluthi mbili ya watoto wa Haiti wanahitaji misaada.
UN: Vita vya Gaza vimewaathiri mno wanawake na watoto
Wanawake wengine wanaokadiriwa 8,000 wamekuwa wajane kutokana na vita hivyo kulingana na ripoti yxa Umoja wa Mataifa.
Watu milioni 55 wakabiliwa na njaa Afrika Magharibi na Kati
Changamoto za kiuchumi ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei na kudorora kwa uzalishaji wa ndani, vimechangia hali kuwa mbaya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 4
Ukurasa unaofuatia