Umoja wa Ulaya kuhusu Haki za Binaadamu nchini Kongo
20 Juni 2007
Umoja wa Ulaya umehimiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya kongo kwa kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari na ule wa kujieleza nchini humo, mwito huo unafuatia mauaji na vitisho dhidi ya waandishi wa habari.