Kama ulikuwa unadhani kuwa imani za kishirikina ziko Afrika tu, utakuwa hujawahi kuipata hii ya China ambako maiti ya msichana mmoja wa miaka 18 imekuwa ya hivi karibuni kabisa kuzikuliwa kwa imani za dawa za majini, katika mlolongo wa mikasa kama hiyo.