Ni kwenye Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo, inayokaliwa na tembo wakubwa kabisa barani Afrika na wanyama wengine. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Tembo, juhudi za uhifadhi, kupambana na ujangili na namna bora ya kukabiliana na uvamizi kwenye maeneo ya binaadamu, zinasaidia kuwanusuru wanyama hawa. #kurunzi