Ulaya imejibu hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kusitisha kwa siku 90 agizo la kuzitoza ushuru baadhi ya bidhaa kutoka kwenye nchi kadhaa duniani. Saumu Mwasimba amezungumza na Mchambuzi wa masuala ya kimataifa, siasa na uchumi Novatus Igosha