Baadhi ya wanawake wa Pwani ya Afrika Mashariki hutumia mbinu za asili kubana uke hasa baada ya kujifungua, wakiamini kuwa hurejesha hali ya awali, huongeza msisimko wa ndoa, na kuboresha usafi wa mwili. Lakini, je, ni tiba ya asili au hatari iliyojificha ?
#AfyaYaWanawake #Uzazi #Ndoa #ManukatoAsili #TibaAsili