You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump atafakari kujiunga na mazungumzo ya Ukraine Uturuki
Rais Trump amesema anafikiria kusafiri kwenda Uturuki kushiriki mazungumzo ya amani kuhusu Ukraine.
Zelenskyy asema hayapokea majibu ombi la mkutano na Putin
Rais wa Ukraine amesema bado hajapokea majibu kutoka Urusi juu ya ombi lake la kukutana ana kwa ana na Putin.
Urusi yabebeshwa lawama ya kuidungua ndege ya Malaysia MH17
Ndege ya MH17 ilidunguliwa katika anga ya Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur na kuuwa watu 298.
Mataifa ya Ulaya yatishia kuongeza vikwazo dhidi ya Urusi
Viongozi wa Ulaya watoa wito wa kuongeza shinikizo kwa Urusi ili ishiriki mazungumzo ya kidiplomasia kusitisha mapigano.
Urusi yakataa kupangiwa na EU kusitisha vita Ukraine
Urusi imesema Umoja wa Ulaya haupaswi kuipangia muda wa kusitisha vita Ukraine na kusititiza juu ya mazungumzo.
Viongozi wa Ulaya wakutana London kuujadili mzozo wa Ukraine
Aidha kuna matarajio ya kufanyika Alhamisi hii huko nchini Uturuki mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Moscow na Kiev
Zelensky: Niko tayari kukutana na Putin kwa mazungumzo
Zelensky ameongeza kwamba hakuna maana yoyote ya kuendeleza mauaji.
Lammy kuwa mwenyeji wa Weimar+ kwa ajili ya Ukraine
Mkutano huo unafanyika baada ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kueleza utayari wa kufanya mazungumzo na Putin.
Zelensky: Niko tayari kukutana na Putin kwa mazungumzo
Hata hivyo hakukuwa na majibu yoyote kutoka Ikulu ya Urusi Kremlin kuhusu utayari wa Zelensky kuzungumza na Putin.
Uturuki iko tayari kuandaa mazungumzo ya Ukraine na Urusi
Uturuki imesema kuwa iko tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine.
Papa Leo XIV atoa wito wa amani duniani
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo wa kumi na nne, ameyatolea wito mataifa makubwa ulimwenguni kuvikataa vita.
Uturuki iko tayari kusimamia mazungumzo ya amani ya Ukraine
Mgogoro kati ya Urusi na Ukraine kutafutiwa ufumbuzi mjini Istanbul
Putin ataka mazungumzo ya ana kwa ana na Ukraine
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amependekeza yafanyike mazungumzo ya ana kwa ana na Ukraine ili kupata amani ya kudumu.
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, UK, Poland ziarani Ukraine
Viongozi hao wamesema wanaunga mkono mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump.
Ukraine: Tupo tayari kusitisha mapigano kwa siku 30
Ukraine imesema iko tayari kwa usitishaji mapigano na Urusi kwa muda wa siku 30 kuanzia siku ya Jumatatu.
Urusi: Marekani na Ulaya ziache kuipatia Ukraine silaha
Peskov: ikiwa makubaliano hayo yatafikiwa bila ya sharti hilo kutekelezwa, itakuwa ni faida kubwa kwa Ukraine.
Umoja wa Ulaya waahidi euro bilioni moja kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi kuipa Ukraine msaada zaidi wa euro milioni 40.
Merz anataka ushuru wote kati ya Marekani na Ulaya uondolewe
Merz ameliunga mkono pendekezo la Trump kuhusu usitishaji mapigano usio na masharti kw asiku 30 nchini Ukraine.
Merz: Urusi itawekewa vikwazo ikipuuza mchakato wa amani
Kansela wa Ujerumani amesema Urusi itakabiliwa na vikwazo vipya kama itakataa kuyapa uzito mazungumzo ya amani.
Trump anaitaka Urusi kusitisha vita kwa siku 30 na Ukraine
Trump ameanzisha upya wito wa usitishaji mapigano baada ya kuzungumza na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Viongozi wawasili Moscow kuhudhuria "sherehe za ushindi"
Gwaride la kijeshi litafanyika kesho Ijumaa.
Kwanini juhudi za EU kujitenga na gesi ya Urusi ni ngumu?
Tume ya Ulaya imetangaza mpango kumaliza utegemezi wa mafuta ya kisukuku kutoka Urusi ifikapo mwaka 2027.
Ulaya yaadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili
Ulaya imeadhimisha miaka 80 ya mwisho wa Vita vya Pili vya Dunia, chini ya kivuli cha vita vinavyoendelea Ukraine.
Ukraine: Urusi imefanya mashambulizi licha ya agizo la Putin
Putin aliagiza kusitisha mapigano nchini Ukraine kwa muda wa siku tatu kunazia leo Alhamisi.
Usitishaji mapigano wa Urusi waanza kutekelezwa Ukraine
Usitishaji huo wa mapigano kwa saa 72 unatarajiwa kudumu hadi saa sita usiku Jumamosi kuamkia Jumapili.
Urusi: Viongozi 29 wa kigeni kuhudhuria sherehe za Ushindi
Hayo yanajiri wakati mapigano kati ya Urusi na Ukraine yanaendelea.
Trump kushirikiana na Erdogan kumaliza vita vya Ukraine
Rais Donald Trump amesema anapanga kufanya kazi pamoja na mwenzake wa Uturuki kumaliza vita vya Ukraine.
Urusi na Ukraine zashambuliana licha ya juhudi za upatanishi
Makabiliano kati ya Urusi na Ukraine yameendelea kushuhudiwa kutwa nzima jana Jumatatu na usiku wa kuamkia leo.
Zelensky: Putin alazimishwe kusitisha vita bila masharti
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesisitizia wito wake wa kusitisha mapigano na Urusi mara moja.
Zelensky amelipinga pendekezo la Rais wa Urusi
Urusi imemshutumu Zelensky kwa kutoa vitisho vya moja kwa moja kuyalenga maadhimisho ya Mei 9
Urusi: Kyiv haitakuwa salama ikiishambulia Urusi Mei 9
Urusi imeonya kuwa kama Ukraine itaishambulia tarehe 9 mwezi Mei, mji mkuu Kyiv, hautakuwa salama.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni, makombora
Urusi imeishambulia Ukraine kwa droni 183 kuamkia Jumamosi. Urusi nayo imesema imezidungua droni 170 za Ukraine.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora usiku kucha
Mashambulizi hayo yametokea saa chache baada ya Ukraine na Marekani kutia saini "makubaliano ya uwekezaji".
Ukraine na Marekani zasaini"makubaliano ya uwekezaji"
Rais Donald Trump ameshinikiza kufikiwa makubaliano anayosema yatakuwa ni kama malipo kwa Marekani inayoisaidia Ukraine.
Ukraine na Marekani zasaini "makubaliano ya uwekezaji"
Rais Trump ameshinikiza kupatikana kwa makubaliano aliyosema yatakuwa ni kama malipo kwa Marekani inayoisaidia Ukraine.
Mtu mmoja auawa na wengine zaidi ya 10 wajeruhiwa Dnipro
Mke wa Rais Volodymyr Zelensky, Olena Zelenska, amesema nchi hiyo imeshuhudia usiku mwengine wa ugaidi wa Urusi.
Kremlin: Urusi haitorefusha muda wa usitishwaji mapigano
Hayo yanajiri wakati miito mbalimbali imetolewa kwa Urusi kusitisha mashambulizi.
Msichana auwawa katika shambulizi la droni la Urusi Ukraine
Shambulizi la droni la Ukraine nchini Urusi limewaua watu wawili
Macron: Ufaransa na Poland kusaini "mkataba wa kirafiki"
Poland ni mshirika mkubwa wa jirani yake Ukraine.
Rais Vladimir Putin atangaza usitishwaji wa mapigano
Urusi na Ukraine zimekuwa kwenye vita kwa miaka mitatu sasa na sasa juhudi za kutafuta amani zinaendelea kufanyika.
Merz akaribia kushika usukani wa kuiongoza Ujerumani
Muungano wa serikali ya Merz unatarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi, kuimarisha matumizi ya ulinzi.
Trump: Zelenskiy yuko tayari kuipa Urusi Crimea
Rais Donald Trump wa Marekani amesema anaamini kuwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko tayari kuikabidhi Crimea kwa
Trump awatolea wito Putin na Zelensky kufikia makubaliano
Kauli za Trump zimetolewa wakati Moscow na Kiev zikiendelea kushambuliana vikali.
Rubio; Makubaliano ya Urusi na Ukraine yapatikane haraka
Rubio hakuweka wazi muda maalum ambao utawala wa Trump uko tayari kusubiri mafanikio kati ya Uruis na Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa ya droni nchini Ukraine
Jeshi la anga la Ukraine limesema kuwa limedungua droni 57 kati ya 149 huku nyingine 67 zikitoweka kwenye rada.
Rais Zelensky asema amekuwa na mazungumzo mazuri na Trump
Rais Donald Trump amekuwa akishinikiza hivi karibuni kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Ukraine.
Rais Trump akutana na Zelensky na kufanya mazungumzo
Trump na Zelensky hawajakutana tangu walipolumbana kwenye kwenye ofisi ya Oval huko White House mnamo mwezi Februari.
Trump asema Crimea itasalia chini ya udhibiti wa Urusi
Kauli ya Trump kuhusu Crimea ni kama ishara ya juhudi za kuishinikiza Ukraine kukubali makubaliano ya kusitisha vita.
Mjumbe wa Trump akutana na Putin kujadili vita vya Ukraine
Wakati juhudi hizo za kidiplomasia zikiendelea watu kadhaa wameuawa huko Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi.
Uingereza: Tuko tayari kuisaidia Ukraine kupata amani
Uingereza haijasema ikiwa vikosi vya nchi hiyo vitapelekwa Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 84
Ukurasa unaofuatia