You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump: Putin ana wazimu kuendelea na mashambulizi Ukraine
Trump amekuwa akitoa shinikizo kwa Urusi na Ukraine kusitisha vita, lakini bado wanaendelea kujitenga na hilo
Trump: Putin ni 'mwendawazimu' kwa kuendeleza vita
Rais wa Marekani Donald Trump asema Rais wa Urusi Vladimir Putin ni 'mwendawazimu' kwa kuendeleza mashambulizi Ukraine.
Urusi yauwa watu 13 Ukraine
Watu 13 wameuawa kufuatia mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, wakati Kiev na Moscow zikibadilishana wafungwa.
Urusi na Ukraine wabadilishana wafungwa
Kando na hatua hiyo Urusi na Ukraine zimeshindwa kufikia makubaliano ya kusitisha vita vyao vilivyodumu miaka mitatu.
Mashambulizi mapya ya Urusi yaua watu 12 Ukraine
Mapambano haya yanatokea wakati pande hizo mbili zikiendeleza hatua za ubadilishanaji mkubwa wa wafungwa
Urusi yaishambulia Kyiv kwa mabomu na droni
Viongozi wa Ukraine wamesema Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni na mabomu katika mji mkuu Kyiv.
Urusi yapinga pendekezo la mazungumzo kufanyika Vatican
Sergei Lavrov amesema haoni Vatican kama mahali muafaka kwa mazungumzo mapya ya kumaliza mzozo.
Mawaziri wa Fedha wa G7 waahidi kuleta usawa wa kiuchumi
Mkutano wa wadau hao wa fedha wa G7 ulizingirwa na kiwingu cha ushuru wa Marekani na vita vya nchini Ukraine.
23.05.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Karibu usikilize taarifa ya habari ya asubuhi hii ya leo. Miongoni mwa nyingine ni Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aondolewa kinga ya kutoshitakiwa | Mwanasiasa wa nchini Kenya Martha Karua alezea wasiwasi wa kuminywa kwa uhuru wa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki | Mawaziri wa Fedha wa G7 waahidi kuondoa ukosefu wa usawa wa kiuchumi ulimwenguni
Merz: Vita vya nchini Ukraine "bado vingalipo"
Urusi iliivamia Ukraine mapema mwaka 2022 na bado hakujapatikana muafaka wa vita hivyo hadi sasa.
Mbunge wa zamani wa Ukraine auwawa Uhispania
Mbunge wa zamani wa Ukraine aliyekuwa amewekewa vikwazo na Marekani ambaye pia alikuwa msaidizi mkuu wa rais wa zamani w
Putin aizuru Kursk, tangu Urusi iwaondoe wanajeshi
Rais wa Urusi Vladimir Putin, kwa mara ya kwanza amelitembelea eneo la Kursk tangu Moscow iliposema kwamba imewaondoa wa
Putin atembelea Kursk baada ya kukombolewa eneo hilo
Rais Putin alikitembelea kinu cha nyuklia cha Kursk, ambacho bado kinajengwa, na pia akakutana na gavana wa jimbo hilo.
Mkutano wa G7 waijadili Ukraine na uchumi wa dunia
Waziri wa fedha wa Ujerumani Lars Klingbeil anahudhuria
Marekani yasubiri pendekezo la Urusi kuhusu Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anaituhumu serikali ya mjini Moscow kwa kuvuta muda.
21.05.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yakataa shinikizo la Umoja wa Ulaya kuhusu Gaza. Marekani yaitarajia Urusi kuwasilisha mapendekezo yake ya kusitisha mapigano Ukraine. Na Waziri mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Augustin Matata Ponyo ahukumiwa kifungo cha miaka kumi jela
Zelensky aishutumu Urusi kwa kutaka kuendeleza vita vyake
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kutoshiriki kwa dhati kwenye mazungumzo ya amani na kwa kutaka kuendeleza uvamizi wake.
Ulaya: Hatua kali zichukuliwe na Marekani dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya waitaka Marekani kuchukua hatua kali dhidi ya Urusi kama haitokubali kusitisha mapigano Ukraine.
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kuanza mara moja
Kremlin yasisitiza kwamba mchakato wa kusitisha mapigano dhidi ya Ukraine utachukua muda.
20.05.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump asema mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine kuanza mara moja. Uingereza, Canada na Ufaransa zaionya Israel kuhusu mwenendo wake katika Ukanda wa Gaza. Na afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kamil Idris ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Sudan.
Trump: Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kuanza
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemtaka Trump awashikishe katika maamuzi yake.
Donald Trump na Putin wazungumza kwa njia ya simu
Trump pia atazungumza pia na viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO na rais wa Ukraine Volodymir Zelenskyy.
Rais Trump kuzungumza na Putin kwa simu leo Jumatatu
Wiki iliyopita, wawakilishi wa Urusi na Ukraine walifanya mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja ya amani huko Uturuki
Trump kuzungumza na Putin, Zelensky
Urusi imechukuwa vijiji kadhaa vya Ukraine wakati mazungumzo yakiendelea.
Trump kuzungumza na Putin kuhusu kusitisha mapigano Ukraine
Vita vilizuka Ukraine kufutia uvamizi wa Urusi mnamo mwaka 2022.
19.05.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump kuzungumza na rais Vladmir Putin wa Urusi kuhusu usitishaji mapigano Ukraine. Israel yatangaza operesheni ya ardhini katika Ukanda wa Gaza na upelekaji wa msaada. Na Wakili na mgombea urais wa zamani wa Kenya, Martha Karua, afukuzwa kutoka Tanzania.
Zelensky akutana na viongozi wa Marekani, EU mjini Rome
Rais Trump wa Marekani na Rais Putin wa Urusi watazungumza kwa simu Jumatatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.
Urusi: Marekani ina jukumu muhimu kumaliza vita na Ukraine
Wawakilishi wa Urusi na Ukraine walifanya mazungumzo yao ya kwanza ya moja kwa moja ya amani huko Uturuki apo jana.
Shambulio la Urusi kwenye basi la abiria laua watu 9 Ukraine
Hayo yanajiri siku moja baada ya Moscow na Kyiv kufanya mazungumzo yao ya kwanza ya moja kwa moja ya amani huko Uturuki.
UN yapunguza ufadhili wa misaada kwa Yemen, DRC na Somalia
Umoja wa Mataifa umesema hatua hiyo inahatarisha maisha ya mamilioni ya watu kote ulimwenguni.
Mazungumzo ya Urusi na Ukraine yafanyika Istanbul
Urusi na Ukraine zimefanya mazungumzo ya ana kwa ana leo Ijumaa nchini Uturuki.
Von der Leyen: Ulaya inaandaa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya unaanda awamu mpya ya vikwazo kuishinikiza Urusi kumaliza vita vya Ukraine.
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine yafanyika Istanbul
Hata hivyo Urusi na Ukraine zimeafikiana kubadilishana wafungwa 1,000 na kuendelea kuwasilisha mapendekezo ya kina.
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kuanza Istanbul
Mazungumzo hayo ni ya kwanza ya moja kwa moja kati ya Urusi na Ukraine tangu mwaka 2022.
Maoni: Juhudi za kusitisha mapigano nchini Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump, aliahidi kuvimaliza vita hivyo mara tu baada ya kuingia madarakani
Wawakilishi wa Urusi na Ukraine wanakutana Istanbul
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wako mjini Istanbul, Uturuki na mchana huu wanafanya mazungumzo ya ana kwa ana.
Rubio: Matumaini ya amani Ukraine ni madogo mno
Mkuu wa ujumbe wa Urusi Vladimir Medinsky amesema anatarajia wawakilishi wa Ukraine wawasili kwa mwanzo wa mazungumzo ya
Rubio: Matumaini ya mwafaka Ukraine ni madogo mno
Mkuu wa ujumbe wa Urusi Vladimir Medinsky amessema anatarajia wawakilishi wa Ukraine wawasili kwa mwanzo wa mazungumzo y
Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
Zelenskiy amesema hana jambo kubwa litakalompeleka Instanbul ikiwa Rais hatokuwepo.
Ujumbe wa Ukraine, bila Zelensky kufanya mazungumzo na Urusi
Zelensky amewaambia waandishi wa habari mjini Ankara kuwa ujumbe wa Urusi haujamjuisha yeyote anayeweza kufanya maamuzi.
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wawasili Uturuki kwa mazungumzo
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wamewasili Uturuki kuhudhuria mazungumzo yenye lengo la kuvimaliza vita vya miaka mitatu.
Wajumbe wa Ukraine na Urusi wako Uturuki kujadili amani
Urusi ilituma ujumbe wa ngazi ya chini huku Moscow ikithibitisha kuwa Rais Vladmir Putin hatoshiriki.
Putin hatohudhuria mazungumzo ya amani Istanbul
Rais wa Urusi Vladimir Putin amethibitisha kwamba hatohudhuria mazungumzo ya amani yanayofanyika nchini Uturuki hii leo.
Putin hatohudhuria mazungumzo ya amani Istanbul
Rais wa Urusi Vladimir Putin amethibitisha kwamba hatohudhuria mazungumzo ya amani yanayofanyika nchini Uturuki Alhamis.
EU yaidhinisha orodha nyingine ya vikwazo kwa Urusi
Karibu watu 2,400 wanaokabiliwa na marufuku ya kusafiri na mali zao kuzuiwa.
Zelensky amtolea mwito Trump kuhakikisha mkutano na Putin
Zelensky amemtuhumu Putin kwamba hana nia ya dhati ya kuvimaliza vita kati ya Moscow na Kyiv.
Macron: Ufaransa haitaki kuchochea "Vita vya Tatu vya Dunia"
Macron ameonekana kuchukua jukumu kubwa la kujaribu kuvimaliza vita vya miaka mitatu kati ya Urusi na Ukraine.
Mwangaza wa Ulaya: Juhudi za amani katika mzozo wa Ukraine
Viongozi wa ngazi za juu wa Urusi na Ukraine wanatarajiwa kukutana wiki hii mjini Instanbul nchini Uturuki, kujadili namna ya kuumaliza mzozo wao uliongia mwaka wa tatu na ambao unaendelea kusababisha maafa na uharibifu mkubwa. Ikiwa yatakuwepo, unadhani, kuna ishara zozote za kwamba mara hii mazungumzo hayo kati ya Urusi na Ukraine yatafanikiwa? Ungana na Bakari Ubena.
Zelenskyy amtaka Putin kuhudhuria mazungumzo ya Uturuki
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema atakuwa Uturuki wiki hii akimsubiri mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin.
Trump atafakari kujiunga na mazungumzo ya Ukraine Uturuki
Rais Trump amesema anafikiria kusafiri kwenda Uturuki kushiriki mazungumzo ya amani kuhusu Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 84
Ukurasa unaofuatia