You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi na Ukraine kubadilishana wafungwa wiki ijayo
Wakati mipango hiyo ikiendelea, pande hizo mbili zimeendelea kushambuliana kwa makombora.
Urusi na Ukraine zashambuliana usiku kucha
Ukraine imefanya mashambulizi katika mji mkuu wa Urusi, Moscow, na kupelekea kufungwa kwa viwanja viwili vya ndege.
Jeshi la Urusi laingia mkoa wa Dnipropetrovsk
Urusi inasema imesonga mbele ndani ya mkoa wa viwanda wa mashariki mwa Ukraine, Dnipropetrovsk.
Zoezi la kubadilishana wafungwa laahirishwa Ukraine
Kubadilishana wafungwa ni hatua ambayo walikuwa wamekubaliana katika mazungumzo ya amani yaliyofanyika Istanbul.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa Ukraine
Mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani za Urusi yatokea Ukraine na kuwaua watu wasiopungua watano Kharkiv.
Urusi yasema imezidungua droni 174 za Ukraine
Urusi yasema imezidungua droni 174 za Ukraine
Zelenskiy autaka ulimwengu uishinikze zaidi Urusi
Zelenskiy autaka ulimwengu uishinikze zaidi Urusi
06.06.2025:Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa habari utakazosikia asubuhi hii ni Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz asema ameridhishwa na mazungumzo yake na Rais Donald Trump | Shirika la Afya Ulimwenguni lataka ulinzi kweli hospitali zinazotoa huduma Ukanda wa Gaza | Na Mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China kuendelea baada ya majadiliano kati ya marais wa mataifa hayo. Sikiliza zaidi
Kansela Merz asema ameridhika na mazungumzo na Trump
Mazungumzo baina ya Merz na Trump yamegusia masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na vita vya Ukraine na ushuru
05.06.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye taarifa ya habari ya asubuhi ya leo utasikia pamoja na mengine Rais Donald Trump wa Marekani atangaza kuwazuia raia kutoka nchi 12 kuingia nchini humo | Hatua ya Marekani ya kuzuia azimio la usitishwaji wa mapigano Gaza yaibua ghadhabu | Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan asema amani ya Sudan haitapatikana kama mizizi ya mzozo haitashughulikiwa kwanza. Sikiliza zaidi
Rais Trump atahadharisha "amani ya Ukraine bado ni ndoto"
Ukraine na Urusi ziko vitani kwa miaka mitatu sasa na bado juhudi za kusaka amani hazijazaa matunda.
Kim Jong Un aapa kuendelea kuisaidia Urusi "bila masharti"
Urusi na Korea Kaskazini zilitia saini makubaliano mapana ya kijeshi mwaka jana, ikiwa ni pamoja na kifungu cha ulinzi.
Kundi la "Ramstein" laapa kuendelea kuisaidia Ukraine
Shinikizo linazidi kuwaelemea washirika wa Ukraine wa Ulaya baada ya Washington kusitisha msaada wa kijeshi kwa Kiev.
Zelensky: Mazungumzo na wajumbe wa sasa Uturuki sio sahihi
Zelensky ametoa wito wa mazungumzo ya moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Mwanafunzi kutoka Togo asota gerezani Ukraine
Akiwa amevutiwa na ahadi za maisha bora ya baadaye nchini Urusi, mwanafunzi kutoka Togo Dosseh badala yake alijikuta katika uwanja wa vita – akiwa amepigwa risasi, kufungwa gerezani na kusahaulika. Sasa, familia yake na mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu yanapigania uhuru wake.
Ujerumani, Uingereza kuongoza mkutano wa msaada kwa Ukraine
Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa NATO kuhusu Ukraine kufanyika kesho mjini Ubelgiji
Kremlin: Si wakati muafaka wa mkutano wa utatu
Donald Trump anatafuta namna bora ya kuumaliza mzozo unaoendelea nchini Ukraine kwa miaka mitatu sasa
Urusi na Ukraine zashindwa kuafikiana
Ukraine yenyewe imependekeza mazungumzo mengine kati yao na Urusi yafanyike kati ya Juni 20 na Juni 30.
Trump kukutana na Putin na Zelensky
Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na marais wa Ukraine na Urusi nchini Uturuki.
Dmitry Medvedev: Urusi inasaka ushindi tu, si makubaliano
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yalimalizika hivi karibuni mjini Istanbul bila ya maafikiano.
03.06.2025-Taarifa ya habari
Wanaharakati wa Kenya na Uganda ambao waliwekwa kizuizini Tanzania wadai kuwa ''walinyanyaswa kingono''++ Mazungumzo ya Urusi na Ukraine yaliyofanyika Uturuki hayajafikia makubaliano ya kumaliza vita ++Na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lamchagua rais mpya wa baraza hilo.
Urusi na Ukraine kufanya mazungumzo Istanbul
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa kuendelea na mazungumzo hayo ya moja kwa moja kati ya Urusi na Ukraine.
Mazungumzo ya Instanbul yamalizika bila mafanikio
Katika mazungumzo hayo ujumbe wa Ukraine na ule wa Urusi ulibadilishana nyaraka kupitia upande wa Uturuki.
Wanachama wa B9 wako tayari kuipokea Ukraine NATO
-
Mazungumzo ya wajumbe wa Ukraine na Urusi yamalizika
-
Zelensky yuko Vilnius kushiriki mkutano wa NATO
-
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wakutana Istanbul
-
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wakutana Instanbul
Mazungumzo haya yanafanyika wakati pande zote mbili zikibadilishana mapendekezo ya amani ya kumaliza mzozo huo.
Mhafidhina Narowcki ndiye rais mpya wa Poland
Mhafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa Poland kwa tofauti ndogo ya kura na sasa yeye ndiye rais mpya wa taifa h
Watu saba wauawa baada ya madaraja mawili kulipuliwa Urusi
Wapelelezi wa Urusi wamesema ni vtendo vya ugaidi. Ukraine mpaka sasa haijatoa taarifa kuhusiana na matukio hayo mawili.
Makabaliano ya Urusi na Ukraine yasababisha vifo na majeruhi
Urusi na Ukraine zimelaumiana leo Jumamosi kuwa kila upande umeushambulia mwengine.
Peskov: Tutashiriki mazungumzo ya amani ya Ukraine, Istanbul
Ukraine hata hivyo haijathibitisha moja kwa moja kama itashiriki katika mazungumzo hayo au la.
Urusi kupeleka ujumbe kwa mazungumzo ya amani Istanbul
Urusi itawapeleka wajumbe wake mjini Istanbul siku ya Jumatatu kwa mazungumzo ya kuvimaliza vita nchini Ukraine, licha y
Fidan asema Urusi na Ukraine zinataka vita visitishwe
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan leo amesema kuwa Urusi na Ukraine zote zinataka mapigano yasitishwe.
Marekani na washirika wazituhumu Urusi, Korea kaskazini
Marekani na washirika wake 10 wamelaani ushirkiano kati ya Urusi na Korea Kaskazini wakidai unakiuka vikwazo UN.
Nafasi ya mwisho kwa amani? UN yaonya matumaini yanafifia
Umoja wa Mataifa wasema matumaini ya amani kati ya Urusi na Ukraine yanazidi kufifia. Marekani yazidi kuishinikiza Urusi
Kremlin yasema hakuna mipango ya Putin kuzungumza na Trump
Kremlin ilisema jana kwamba kipaumbele cha rais Putin ni matakwa ya taifa lake kuliko kitu kingine chochote.
Urusi yapendekeza mazungumzo mapya na Ukraine
Juhudi za kidiplomasia za kumaliza vita hivyo vilivyodumu kwa miaka mitatu zimeshika kasi katika miezi ya karibuni.
Mmoja auawa katika mashambulizi mapya ya Urusi, Ukraine
Gavana wa Dnipropetrovsk Serhiy Lysak, amesema majengo ya wakaazi yaliharibiwa na paneli 30 za kuzalisha nishati.
Urusi yapendekeza mazungumzo mapya na Ukraine
Ukraine imesema iko tayari kwa mazungumzo mapya na kuitaka Urusi iwasilishe haraka mapendekezo yake.
Wanadiplomasia wa Ujerumani, Marekani wakutana Washington
Mazungumzo yao yamegusia mizozo ya Ukraine na Mashariki ya Kati, ushirikiano wa kiusalama, na mpango wa nyuklia wa Iran
Merz: Ujerumani, Ukraine zitaunda makombora ya masafa marefu
Merz amesema mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili watasaini muafaka wa maelewano kwa ajili ya mpango huo.
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine
Zelensky yuko Ujerumani kujadili na Merz vita vya Ukraine
Zelensky aliwasili mjini Berlin Alhamisi na kukaribishwa kwa heshima ya gwaride la kijeshi katika ofisi za Kansela Merz.
Ukraine yatuma zaidi ya droni 100 kuelekea Urusi
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi inaripotiwa kuzidunguwa zaidi ya droni 100 za Ukraine usiku wa kuamkia leo.
Urusi yasema iliishambulia Ukraine kujibu uchokozi
-
Urusi: Mashambulizi ndani ya Ukraine ni ya "kulipa kisasi"
Urusi imesema mashambulizi yake makali nchini Ukraine mnamo siku tatu zilizopita yalikuwa ni ya "kulipa kisasi".
Urusi na Uturuki zajadili juhudi za kumaliza vita Ukraine
-
Merz: Putin anaona mazungumzo ya amani 'dhaifu'
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema Rais wa Urusi Vladmir Putin anaona mapendekezo ya mazungumzo ya amani dhaifu
Trump: Putin ana wazimu kuendelea na mashambulizi Ukraine
Trump amekuwa akitoa shinikizo kwa Urusi na Ukraine kusitisha vita, lakini bado wanaendelea kujitenga na hilo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 84
Ukurasa unaofuatia