You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora
Maafisa wa Ukraine wamesema hili ni shambulizi la pili la Urusi katika mji wa Samar ndani ya siku tatu.
Papa Leo: Sheria za kimataifa ziheshimiwe Mashariki ya Kati
Papa Leo alichukua nafasi hiyo Mei 8, 2025 kufuatia kifo cha Papa Francis uliopita
EU yaahidi kuchukua hatua kukidhi mahitaji ya Ukraine
Bado wanachamawa EU walitofautiana kuhusu Urusi kuwekewa vikwazo zaidi kutokana na hatua yake ya kuivamia Ukraine.
Vikwazo vipya dhidi ya Urusi katika njia panda
Ikulu ya Kremlin ilisema hakuna maendeleo kuhusu kuweka tarehe ya duru inayofuata ya mazungumzo ya amani na Ukraine.
27.06.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Duru ya 18 ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi yakwama kutokana na mgogoro wa gesi na Slovakia. Rwanda na Kongo kusaini mkataba wa amani mjini Washington. Na Umoja wa Mataifa wasema una wasiwasi kuhusu vifo na machafuko Kenya.
Viongozi wa Ulaya wakutana Brussels
Wito umetolewa wa kujizuia, kuheshimu sheria za kimataifa na kuhimiza suluhu ya kidiplomasia
Umoja wa Ulaya kujadili Ukraine, ulinzi na uchumi
Wakuu wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana Brussels, Ubelgiji kujadili masuala muhimu vikiwemo vita nchini Ukraine.
Nchi za NATO kuongeza bajeti kwa ajili ya ulinzi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aahidiwa mfumo a ulinzi wa anga
26.06.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Nchi za Jumuiya ya kujihami ya NATO zakubali kuongeza bajeti kwa ajili ya ulinzi. Watu wasiopungua wanane wauwawa nchini Kenya katika maandamano ya machafuko. Na Rais wa Marekani Donald Trump aitaka Israel imfutie kesi ya rushwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
Mkutano wa NATO waingia siku ya pili na ya mwisho
Viongozi wa NATO wanalenga kujiimarisha ili kukabiliana na vitisho mbali katika nyakati hizi za mizozo duniani.
Watu takriban 18 wauwawa Ukraine
-
Viongozi wa nchi za NATO wakutana The Hague
-
Viongozi wa NATO na Ulaya wataka ushirikiano zaidi
NATO inahimizwa kuchukua hatua zaidi kuimarisha bajeti yake ya ulinzi na kutokukubali kushindwa na Urusi
Mkutano wa NATO kufungua pazia The Hague, Uholanzi
NATO inafanya mkutano wake wa kilele nchini Uholanzi huku ajenda kuu ikiwa ni nyongeza ya matumizi ya bajeti za ulinzi.
Mashambulizi ya Urusi yaua watu watatu huko Sumy
Ukraine pia ilifanya mashambulizi kadhaa ya droni kuelekea Urusi.
Zelensky yuko Uingereza kujadili mzozo wa Urusi na Ukraine
Zelensky amesema ziara yake pia itajumuisha juhudi za kuchukua kusitisha mashambulizi Ukraine.
Ukraine: Urusi imetekeleza wimbi jipya la mashambulizi Kyiv
Ukraine ilianzisha pia mashambulizi ya kulipiza kisasi ikilenga miundombinu ya nishati na kijeshi ya Urusi.
Jeshi la Ukraine laahidi kuongeza mashambulizi Urusi
Kamanda mkuu wa jeshi la Ukraine, Oleksandr Syrsky, ameahidi kuongeza kiwango cha mashambulizi dhidi ya Urusi.
Merkel aunga mkono haki ya Israel kujilinda
Merkel asema Ukraine ilishambuliwa licha kwamba haikuwa kitisho kwa Urusi
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa wa kivita
Ukraine na Urusi zilikubaliana juu ya kubadilishana wafungwa wa kivita wenye umri wa chini ya miaka 25
Mtu mmoja auawa na wengine wajeruhiwa katika mji wa Odessa
Mtu mmoja auawa na wengine wajeruhiwa katika mashambulizi ya Droni za Urusi katika mji wa Odessa
Zelenskyy ataka mbinyo kwa Urusi baada ya shambulizi la Kyiv
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ametaka mbinyo kwa Urusi baada ya shambulizi la Kyiv lililowaua watu 28.
Putin asema yuko tayari kukutana na Zelensky
Marekani yaishtumu Urusi kwa shambulizi dhidi ya Ukraine
Putin: Urusi haitishwi na inao uwezo wa kukabiliana na NATO
Wanachama wa NATO wanatarajiwa kujumuika katika mkutano wa kilele wiki ijayo mjini The Hague, Uholanzi.
Putin aionya Ujerumani kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango ya kuipatia Ukraine makombora ya Taurus.
Mashambulizi ya Urusi, yawaua watu 22 Kiev
Idadi ya watu waliouawa kutokana na mashambulizi ya makombora ya Urusi kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kiev imefikia 22.
G7: Zelenskiy asema diplomasia imo katika "mgogoro"
Zelenskiy amepata ahadi mpya ya msaada katika vita vyake dhidi ya Urusi lakini sio kutoka Marekani
Viongozi wa G7 wakamilisha majadiliano bila ya Trump
Trump alitangaza jumatatu jioni kuwa ataondoka mapema kutokana na mzozo wa Israel na Iran.
Mashambulizi ya Urusi yawauwa watu 15 Ukraine
Watu wasiopungua 15 wameuwawa nchini Ukraine baada ya Urusi kurusha droni na makombora.
Viongozi wa G7 wakutana Canada
-
Ukraine yapokea miili zaidi ya 6,000 ya wanajeshi wake
Lakini hali bado ni ya mashaka, kwani suluhu ya kudumu bado haijapatikana na nchi hizo zanaendelea kushambuliana vikali.
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa wa kivita
Wafungwa wa Urusi wapo nchini Belarus wanakopatiwa matibabu kabla ya kurejeshwa nchini.
Ukraine yashambulia kiwanda cha kemikali cha Urusi
Shambulizi moja limelenga kiwanda cha kemikali cha Asot kusini mwa mji wa Urusi wa Nevinnomyssk kinachozalisha vilipuzi.
Urusi yachukuwa udhibiti wa vijiji vitatu zaidi vya Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi, imetoa ripoti kuhusu kuteka vijiji vya Ukraine
Zelensky: Wanajeshi wa Urusi warejeshwa nyuma Sumy
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesema vikosi vyake vinawarejesha nyuma wanajeshi wa Urusi kwenye mkoa wa Sumy.
Pistorius akataa Ujerumani kubadili sera kuelekea Urusi
Pistorius amekataa wito kutoka wenzake wa SPD wanaoitaka serikali ya Ujerumani kurekebisha sera yake kuelekea Urusi.
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, amewasili mjini Kyiv, kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
UNHCR: Watu milioni 122 walazimika kukimbia makwao
UNHCR: idadi ya watu waliolazimika kuhama makaazi yao kutokana na vurugu na mateso duniani imeongezeka.
Urusi yazidi kuishambulia Ukraine
Ujerumani yataka kujadili namna ya kuiongezea silaha Ukraine katika ziara ya waziri wake wa ulinzi, Pistorius
Urusi yaifunika Ukraine kwa usiku mwengine wa droni
Mashambulizi makali ya droni za Urusi yamewauwa watu sita na kuwajeruhi wengine 60 kwenye mji wa Kharkiv.
Ukraine yapokea miili ya wanajeshi wake waliouwawa Urusi
Taasisi ya wafungwa wa kivita mjini Kiev, imesema kuachiwa kwa miili hiyo kumejiri baada ya siku kadhaa za mvutano.
Urusi yaishambulia Kharkiv na kusababisha vifo vya watu 2
Kharkiv imekuwa ikilengwa katika miezi ya hivi karibuni wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi yake ya droni Ukraine.
Urusi yarejesha miili ya zaidi ya wanajeshi elfu 1 Ukraine
Ukraine imesema Jumatano kuwa Urusi imerejesha miili 1,212 ya wanajeshi wake waliofariki wakati wa uvamizi wa Moscow nch
Urusi yafyetuwa makombora Ukraine
-
Urusi yarusha makombora Odesa na Kyiv nchini Ukraine
Hospitali inayotoa huduma za kujifungua pia ililengwa katika mahambulizi hayo.
Urusi yadaiwa kurusha droni zaidi ya 400 kuelekea Ukraine
Urusi imekuwa ikiishambulia Ukraine kwa droni za Shahed katika vita vyake vilivyodumu zaidi ya miaka mitatu.
Urusi yaendeleza mashambulizi makali ya droni Ukraine
Maafisa wa Ukraine wamesema kulikuwa na milipuko kadhaa katikati ya mji mkuu Kyiv pamoja na milio ya makombora.
Urusi na Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita
Mataifa hayo mawili yamekuwa yakibadilishana wafungwa wa kivita lakini bado hawajafikia makubaliano ya kusitisha vita
Urusi na Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wanajeshi wake wameshafika nyumbani mjini Kiev.
Urusi yadai kuingia mkoa wa Ukraine wa Dnipropetrovsk
Hata hivyo mkuu wa majeshi ya Ukraine mjini Kiev amesema madai hayo ya Moscow ni ya uwongo na hayana ushahidi wowote.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 84
Ukurasa unaofuatia