You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani kuipatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya Patriot
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot.
Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine
Urusi imebainisha kuwa imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025.
Katibu Mkuu wa NATO kufanya ziara ya siku mbili Marekani
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Mark Rutte atafanya ziara ya siku mbili kuanzia kesho mjini Washington.
Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine.
Lavrov akutana na mwenzake wa Korea Kaskazini
Wajumbe zaidi wa ngazi ya juu wanatarajiwa kufanya ziara Korea Kaskazini baadaye mwaka huu.
Mjumbe wa Marekani kwa Ukraine kuzuru Ukraine Jumatatu
Mjumbe Maalum wa Marekani kwa Ukraine, Keith Kellogg, anatarajiwa kuanza ziara yake ya kwanza nchini Ukraine Jumatatu.
Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
Juhudi za kuutafutia suluhu mzozo huo zinaendelea.
Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine
Mkutano huo umefanyika wakati Urusi ikizidisha mashambulizi nchini Ukraine kwa usiku wa pili mfululizo.
Zelensky ahimiza misaada zaidi kwa ajili ya kuilinda Ukraine
Zelensky amesema Ukraine inahitaji silaha kwa ajili ya ulinzi wa anga yake
Marekani na Urusi zabadilishana mawazo mapya kuhusu Ukraine
Rubio asema Marekani na Urusi zimebadilishana mawazo mapya kuhusu mazungumzo ya amani ya Ukraine
Rubio afanya mazungumzo na Lavrov kuhusu vita vya Ukraine
Rubio ameeleza mazungumzo yake na Lavrov yaliyofanyika kando ya mkutano wa mawaziri wa ASEAN yalikuwa "wazi na muhimu.”
Ukraine yahimiza vikwazo vya haraka dhidi ya Urusi
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, na wa Urusi, Sergei Lavrov, watakutana nchini Malaysia
Urusi yaendesha wimbi jipya la mashambulizi nchini Ukraine
Zelensky awatolea wito washirika wake wa Magharibi kuzidisha vikwazo dhidi ya Urusi.
Rubio kukutana na Lavrov kando ya mkutano wa ASEAN, Malaysia
Mkutano wa kwanza kati ya wanadiplomasia hao wakuu ulifanyika Saudi Arabia mwezi Februari.
Urusi yapatikana na hatia ya ukiukaji wa haki Ukraine
Urusi yawajibishwa kwa mara ya kwanza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi ya droni Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa nchini Ukraine na kuzidisha wasiwasi Kiev
Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la droni nchini Ukraine
Rais wa Ukraine atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuiwekea Urusi vikwazo zaidi.
Watu watatu wauawa Urusi kwa shambulio la Ukraine
Vita hivyo vya zaidi ya miaka mitatu mpaka sasa havionyeshi dalili zozote za kumalizika licha ya jitihada.
Macron aanza ziara ya siku tatu Uingereza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya siku tatu nchini Uingereza ambapo kati ya mengi, atalihutubia bunge.
Marekani kupeleka 'silaha zaidi' Ukraine: Trump
Tangazo la Trump linajiri baada ya Washington kusema wiki iliyopita inasitisha baadhi ya shehena za silaha Kwenda Kyiv.
Trump: Marekani kuitumia silaha zaidi Ukraine
Rais Trump aliweka shinikizo na jitihada kubwa za kuvimaliza vita hivyo ingawa mpaka sasa bado hazijazaa matunda.
Mashambulizi ya Urusi yawajeruhi wengi Kharkiv
Hayo yanajiri wakati rais Volodymyr Zelenskiy akitoa wito wa msaada zaidi kutoka kwa washirika wa Ukraine.
Safari za anga Urusi zatatizwa na vita ya Ukraine
Urusi na Ukraine zimeendeleza mashambulizi makali ya droni hali iliyozua taharuki kwa safari za anga ya Urusi
Urusi yasema imedungua droni 8 zilizorushwa kutokea Ukraine
Magavana wa maeneo yaliyoshambuliwa wamesema uharibifu wa majengo haukuwa mkubwa.
Urusi yateka maeneo mawili zaidi mashariki mwa Ukraine
Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne na Sobolivka.
Ukraine yadai kushambulia kambi ya kijeshi ya Urusi
Ukraine imedai kushambulia kambi ya kijeshi ya Urusi wakati Urusi ikiendelea kufanya mashambulizi makubwa.
Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia
Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi ya droni na makombora takriban 550 yaliyoilenga Ukraine usiku wa kuamkia Ijumaa.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi Ukraine
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi Ukraine, saa chache baada ya mazungumzo kati ya Rais Trump na Putin.
Kim atoa heshma kwa wanajeshi waliouawa Ukraine
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un aonesha heshima kwa wanajeshi waliouawa katika vita vya Urusi na Ukraine
Kiev yashambuliwa tena kwa droni za Urusi
Mji mkuu wa Ukraine, Kiev, umeshambuliwa kwa droni kadhaa za Urusi usiku wa kuamkia leo.
Afisa mkuu wa jeshi la wanamaji la Urusi auawa Kursk
Mapigano kati ya nchi hizo mbili yanaendelea kuchukua sura kali.
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali na kusababisha vifo
Ukraine pia imeishambulia Urusi kwa droni na kuua mtu mmoja.
Ukraine yataka ufafanuzi kutoka Marekani kuhusu silaha
Ukraine inayokumbwa na vita imeshitushwa na hatua hiyo na inataka ufafanuzi zaidi
Maafisa wa Marekani wafafanuwa marufuku ya silaha Ukraine
Maafisa wa Marekani wamepuuzia tangazo kwamba Washington inazuwia usafirishaji wa baadhi ya silaha kwenda Ukraine.
Urusi yakaribisha hatua ya Marekani kupunguza silaha Ukraine
Ukraine imeomba ufafanuzi juu ya hatua ya Marekani ikisema haikufahamishwa kuhusu kupunguzwa kwa usaidizi wa kijeshi.
Marekani yasitisha misaada ya kijeshi kwa Ukraine
Urusi imetishia kupanua mapigano hadi kwenye maeneo mapya katika mikoa mingine ya Ukraine
02.07.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye taarifa ya habari asubuhi ya leo utasikia Marais wa Ufaransa na Urusi wamezungumza kwa simu kujadili masuala ya Ukraine na Iran +++ Israel yatanua kampeni ya kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza kabla ya ziara ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu nchini Marekani +++ Bunge la Venezuela lamzuia Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuingia nchini humo. Kaa nasi kusikia zaidi
Putin na Macron wazijadili Ukraine na Iran
Putin amekuwa akiyalaumu mataifa ya magharibi kwa kuuchochea mzozo unaoendelea nchini Ukraine, tangu mwaka 2022.
Waziri Wadephul autembelea mji wa Odessa kusini mwa Ukraine.
Weidenphul ameondoka Odessa kuelekea Moldova
Guterres aahidi msaada wa kuijenga upya Ukraine
Guterres amesisitiza usitishaji mapigano usio na masharti katika vita vya Ukraine.
Wadephul: Kitisho cha Urusi kwa Ujerumani kisipuuzwe
Nchi wanachama za NATO zilikubali kuongeza matumizi yao ya ulinzi hadi asilimia 5 ya Pato la Ndani la Taifa.
Guterres aahidi kuunga mkono ujenzi mpya wa Ukraine
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aahidi kuunga mkono ujenzi mpya wa Ukraine
Urusi yadai kukamilisha udhibiti wa mkoa wa Luhansk, Ukraine
Rais Vladimir Putin tayari amenyakua mikoa ya Luhansk, Donesk, Zaporizhzhya na Kherson na Rasi ya Crimea tangu 2014
Ujerumani na Ukraine kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Hayo yanajiri wakati Urusi ikizidisha mashambulizi yake.
Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine
Taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo kutoka Ukraine wala Wizara ya Ulinzi ya Urusi.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa dhidi ya Ukraine
Hatua hizi za kujibu zinaangazia hali ya majibizano ya mashambulizi kati ya pande hizo mbili.
Ukraine kujiondoa kwenye mkataba wa Ottawa
Ukraine iko vitani dhidi ya Urusi kwa miaka mitatu sasa, huku mazungumzo ya amani yakikwama
Wadephul: Urusi inahatarisha amani na uhuru wa Ujerumani
Wadephul amepongeza pia maamuzi ya hivi karibuni ya Jumuiya ya kujihami ya NATO.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa ya anga nchini Ukraine
Kuongezeka kwa mashambulizi hayo kunafifisha zaidi matumaini ya kufikia mafanikio katika juhudi za kuvimaliza vita hivyo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 84
Ukurasa unaofuatia