You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yasema iko tayari kwa amani na Ukraine
Ikulu ya Urusi imesema Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana amani kati ya nchi yake na Ukraine.
Trump sasa ampa Putin siku 12 za kusitisha vita Ukraine
Rais Donald Trump anajaribu kusuluhisha vita vya Urusi nchini Ukraine, ingawa kwa kiasi kikubwa bado zimegonga mwamba
Mashambulizi ya Urusi yawaua wafungwa 17 gerezani Ukraine
Takriban wafungwa 17 wameuawa baada ya Urusi kufanya shambulio lililolilenga gereza la Bilenkivska nchini Ukraine.
Urusi yaimiminia tena Ukraine 'mvua ya droni'
Ving'ora vya tahadhari viliwashwa kwenye maeneo mengi ya Ukraine kufuatia mashambulizi mengine makubwa ya droni za Urusi
Gwaride la jeshi la wanamaji wa Urusi laahirishwa ghafla
Hayo yanaripotiwa wakati Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana vikali kwa makombora na droni.
Urusi: Nchi za Magharibi zimekataa diplomasia kumaliza mzozo
Hayo yakiarifiwa, Moscow na Kiev zimeendelea kushambuliana usiku wa kuamkia Jumapili.
Jeshi la Russia ladhibiti vijiji viwili katikati mwa Ukraine
Urusi imesema kwamba imechukua vijiji viwili nchini Ukraine, kikiwemo kimoja katika eneo la kati la Dnipropetrovsk.
Kremlin: Putin na Zelensky hawawezi kukutana kwa sasa
Ukraine: Viongozi wa Kiev na Moscow lazima wakutane kwanza ili kupiga hatua katika mchakato wa amani unaojikokta.
EU na China watoa wito wa hatua za mabadiliko ya tabianchi
China na Umoja wa Ulaya wametoa mwito wa pamoja wa hatua kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Shinikizo lamfanya Zelenskiy kuwasilisha mswada mpya bungeni
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amewasilisha bungeni mswada mpya utakaorejesha uhuru wa mashirika ya kukabiliana na
Ubunifu wa jeshi la Ujerumani wakosolewa
Kampuni changa za teknolojia za jeshi la Ujerumani zinazidi kukua huku zikikabiliwa na mashinikizo kadhaa ikiwemo uidhinishwaji wa malengo pamoja na kuongezeka kwa mvutano wa kimataifa. Je, zitahimili kufikia malengo na kuweza kutawala soko?
Urusi na Ukraine washambuliana kwenye pwani za Bahari Nyeusi
Ukraine na Urusi wameendelea kupambana kwa mashambulizi ya anga kwenye pwani za Bahari Nyeusi.
Urusi na Ukraine zashindwa tena kukubaliana usitishwaji vita
Urusi na Ukraine jana zilizungumzia zaidi hatua za kubadilishana wafungwa katika kikao kifupi cha mazungumzo ya amani mj
Merz na Macron kukutana na kujadili masuala mbalimbali
Merz amekuwa akisisitiza umuhimu wa mahusiano bora kati ya Ujerumani na Ufaransa.
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wakutana Istanbul
Urusi yaendelea kushambulia maeneo ya Ukraine, huku ikinyakuwa kijiji kimoja katika operesheni yake ya kijeshi
EU yakosoa hatua ya Zelensky kuhusu kupambana na ufisadi
Hatua hiyo ya Zelensky ilizusha maandamano makubwa mjini Kiev.
UN yahimiza usuluhishi wa amani wa migogoro
Guterres amesisitiza umuhimu w adiplomasia katika kuepusha vita na migogoro duniani.
Urusi na Ukraine kufanya mazungumzo ya amani mjini Istanbul
Matarajio ya mafanikio katika mazungumzo hayo ya huko Uturuki bado ni hafifu.
Ukraine yayabana mashirika ya kupambana na rushwa
Umoja wa Ulaya umeukosoa uamuzi wa Zelensky
Urusi yashambulia miji mitatu ya Ukraine
-
Urusi yaishambulia miji mitatu nchini Ukraine
Mashambulizi dhidi ya miji ya Sumy, Odesa na Kramatorsk yamefanyika siku moja kabla ya duru ya mazungumzo ya amani.
Ukraine na Urusi kuanza mazungumzo mapya Jumatano
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine yatafanyika Istanbul nchini Uturuki
Urusi yathibitisha nia ya mazungumzo na Ukraine
Siku ya Jumamosi, Zelensky alipendekeza mkutano na Urusi ufanyike baadaye wiki hii.
Urusi: Tunatafari pendekezo la mazungumzo ya amani
Urusi imesema inashughulikia suala la tarehe ya kufanyika mazungumzo baada ya Ukraine kupendekeza mazungumzo mengine.
China yatishia kuchukuwa hatua dhidi ya vikwazo vya EU
Mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na China kufanyika siku ya Alhamisi
Makabiliano zaidi ya 100 na Urusi yaripotiwa Ukraine
Mapigano makali yameripotiwa katika mji wa Pokrovsk magharibi wa Donetsk.
Putin yuko tayari kwa makubaliano ya amani Ukraine
Peskov amesisitiza kuwa safari ya kufikia usitishaji wa mapigano Ukraine inahitaji uvumilivu na siyo rahisi.
Kremlin: Putin yuko tayari makubaliano ya amani Ukraine
Urusi imesema rais wa nchi hiyo Vladimir Putin yuko tayari kufikia makubaliano ya amani na Ukraine.
Kremlin: Putin yuko tayari kujadili mazungumzo ya amani
Rais wa Marekani Donald Trump ameipa Urusi siku 50 kukubaliana na mpango wa usitishaji mapigano au iwekewe vikwazo.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora 30 na droni 300
Urusi imesema imefanikiwa kudungua droni 13 zilizorushwa na Ukraine na kuelekezwa katika mji mkuu Moscow.
Kremlin: Vitisho vya Trump havizuii mazungumzo na Ukraine
Kremlin yasema vitisho vya Trump havizuii mazungumzo ya amani na Ukraine.
Urusi yapuuzilia mbali vikwazo vipya vya EU
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema watahitaji kuvitathmini kwanza vikwazo hivyo kupunguza madhara yake.
Umoja wa Ulaya waongeza vikwazo vipya Urusi
Umoja wa Ulaya umekubaliana kuanza awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi.
EU yatangaza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya unalenga kuongeza shinikizo dhidi ya Moscow kwa kupunguza mapato ya Urusi ya usafirishaji mafuta.
Svyrydenko aidhinishwa kuwa waziri mkuu mpya wa Ukraine
Baadae bunge hilo litawachagua wanachama wengine akiwemo waziri mpya wa ulinzi na mambo ya nchi za nje.
Marekani huenda ikaiwekea Urusi vikwazo ndani ya siku 50
Trump pia amesisitiza kuwa vikwazo hivyo vitawalenga hata wanunuzi wa bidhaa za Urusi.
Starmer, Merz kusaini mikataba ya ulinzi na biashara
Starmer na Merz wanataka kudhibiti uhamiaji haramau katika ujia wa bahari wa English Channel.
Kamanda wa NATO asema mifumo ya Patriot kupelekwa Ukraine
Urusi imezitungua droni 126 za Ukraine katika mashambulzi yaliyowajeruhi watu wanne.
Umoja wa Mataifa wataka haki mazungumzo ya amani ya Ukraine
Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwepo haki kwa mazungumzo ya amani ya Ukraine.
Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine
Rais Vladmir Putin amedhamiria kuendelea na vita dhidi ya Ukraine licha ya vitisho vya vikwazo zaidi kutoka Washington.
Washirika ´kuimwagia´ Ukraine zana zaidi za kijeshi
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amefanya ziara nchini Marekani kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
Zeleskyy amshukuru Trump kwa ahadi ya msaada wa kijeshi
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezungumza na Rais Donald Trump na kumshukuru kwa ahadi ya msaada wa kijeshi.
Kellog aitaka Urusi isitishe vita Ukraine
-
Rais Zelenskyy apongeza nia ya Marekani ya kuipatia msaada
Maafikiano ya amani bado hayajafikiwa kati ya Urusi na Ukraine na juhudi bado zinaendelea
Boris Pistorius afanya ziara fupi Marekani kuijadili Ukraine
Mazungumzo hayo yanafanyika baada ya Ujerumani kujitolea kuipa Ukraine mifumo ya ulinzi wa anga aina ya Patriot.
Urusi yasema itaendelea kuzungumza na Marekani
-
Marekani kuipatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya Patriot
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot.
Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine
Urusi imebainisha kuwa imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025.
Katibu Mkuu wa NATO kufanya ziara ya siku mbili Marekani
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Mark Rutte atafanya ziara ya siku mbili kuanzia kesho mjini Washington.
Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 84
Ukurasa unaofuatia