You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yaongeza mashambulizi Ukraine na kuuwa watu wanne
Urusi imefanya mashambulizi makubwa Ukraine baada ya kuishutumu Kyiv kufanya shambulio la Belgorod na kuuwa watu 25.
Miji miwili ya Ukraine yashambuliwa na makombora ya Urusi
Kwa mujibu wa taarifa ya gavana wa jimbo la Kharkiv, mtu mmoja ameuawa na wengine wapatao 41 wamejeruhiwa.
Urusi yashambulia vituo vya kijeshi Ukraine
Urusi yashambulia vituo vya kijeshi Ukraine
Putin alisifu jeshi lake, asema hakuna wa kuwarudisha nyuma
Hotuba ya mwaka huu ya Putin haikujaw ana vitisho tofauti na alivyosikika kwenye hotuba yake ya mwaka uliopita.
Ujerumani haikutikiswa na matukio ya 2023 - Scholz
Kumekuweko na matukio mengi yaliyojitokeza mwaka 2023 yaliyotikisa ulimwengu yaliyoanzia vita vya Urusi nchini Ukraine.
Watu 10 wauawa katika mji wa mpakani wa Urusi wa Belgorod
Urusi na Ukraine zimedai hata hivyo kuzima mashambulizi kadhaa ya ndege zisizo na rubani katika maeneo mbalimbali.
Urusi yadai kuzima mashambulizi ya Ukraine katika ardhi yake
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana hapo jana kujadili hali nchini Ukraine
Baraza la Usalama la UN lakutana kuijadili Ukraine
Hii ni baada ya Moscow kufanya mashambulizi makubwa zaidi ya anga ya vita vyake Ukraine
Vifo vyaongezeka Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Urusi imefanya mashambulizi makubwa nchini Ukraine kwa kufyetua makombora 122 pamoja na ndege kadhaa zisizo na rubani.
Watu 24 wauawa Ukraine katika wimbi jipya la mashambulizi
Umoja wa Mataifa umelaani kile ulichokiita wimbi baya la mashambulizi ya Urusi dhidi ya raia wa Ukraine.
Urusi yaivurumishia mvua ya makombora Ukraine
Msaidizi wa rais wa Ukraine amesema mashambulizi hayo yanaonesha namna Ukraine inavyohitaji msaada zaidi wa kimataifa.
Watu 10 wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Watu 10 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia wimbi la mashambulizi la Urusi nchini Ukraine.
Zelensky atoa wito wa ushirikiano dhidi ya vita vya Urusi
Zelensky amesema uchokozi wa Urusi lazima usitishwe
Urusi: Mataifa ya Magharibi yalitaka tujadiliane na Ukraine
Rais Putin amerudia kusema yuko tayari kwa mazungumzo ya amani na Ukraine lakini kwa kuzingatia masharti ya Urusi.
Marekani imetangaza msaada wa mwisho wa silaha kwa Ukraine
Warepublikan wenye msimamo mkali wameongoza juhudi za kuzuwia msaada zaidi.
Waziri wa mambo ya nje wa India akutana na rais wa Urusi
Subramanyam pia amekutana na mwenzake wa Urusi Sergei Lavrov
Urusi yaionya Japan kuipa Ukraine mfumo wa ulinzi wa anga
Wizara ya mambo ya nje Urusi imesema hatua ya Japan kutoa mfumo wa ulinzi wa anga kwa Ukraine itakuwa na majibu makali.
Ukraine yasema imedungua droni za Urusi
Jeshi la anga la Ukraine limesema kwamba limedungua ndege zisizo na rubani 32 kati ya 46 za Urusi.
27.12.2023 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kyiv: Urusi imeshambulia kituo cha treni kilichofurika watu
Ukraine imesema vikosi vya Urusi vimekishambulia kituo kimoja cha treni kilichofurika watu kwenye mji wa Kherson.
Ukraine yaipiga meli ya Urusi kwenye rasi ya Crimea
Ukraine yaipiga meli ya Urusi kwenye rasi ya Crimea.
Ukraine yadai kuharibu droni 28 kati ya 31 za Urusi
Jeshi la Ukraine limesema mfumo wake wa ulinzi wa angani umeharibu droni 28 kati ya 31 pamoja na roketi mbili za Urusi.
Steinmeier: Sote tunatamani ulimwengu wa amani zaidi
Katika hotuba yake ya Krismas, Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amewasihi wananchi kutokuipa kisogo demokrasia.
Vita vya Gaza na Ukraine vyatia kiwingu sikukuu ya Krismasi
Wakristo duniani wanasherehekea sikukuu ya Krismasi wakikumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Papa Francis akumbusha umuhimu wa amani mkesha wa Krismasi
Wakristo duniani wanasherehekia sikukuu ya Krismasi leo kukumbuka kuzaliwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Ukraine yasherehekea Krismasi ya kwanza ya Disemba 25
Wakristo wa madhehebu ya Orthodox nchini Ukraine wanasherehekea kwa mara ya kwanza sikukuu ya Krismasi ya Disemba 25.
Kyiv: Urusi yafanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani
Mikoa ambayo imeathirika na mashambulizi hayo ni pamoja na Mykolaiv, Zaporizhzhya na Dnipropetrovsk.
Ukraine na Poland kuongeza ushirikiano, asema Zelensky
Zelensky aliyasema hayo wakati wa mkutano na Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Poland Radoslaw Sikorski mjini Kiev
Ukraine, Urusi zadai kudunguliana ndege zisizotumia rubani
Ni wakati Rais wa Marekani Joe Biden akijiandaa kusaini amri ya kuziwajibisha taasisi za fedha zinazoifadhili Urusi.
NATO: Urusi haitoweza kutimiza malengo yake kwa Ukraine
NATO: Urusi haitoweza kutimiza malengo yake kwa Ukraine
Zelensky ataka raia wa Ukraine wapambane kuilinda nchi
Zelensky ataka raia wa Ukraine wapambane kuilinda nchi kwa moyo mmoja.
Ukraine imepokea mkopo kutoka kwa nchi za Umoja wa Ulaya
Haijulikani jinsi msaada wa Umoja wa Ulaya kwa Ukraine utakavyoendelea mwaka ujao
Ukraine yafikiria kuhamasisha watu 500,000 wajiunge na jeshi
Idadi ya wanajeshi wa Ukraine haijulikani, ila inasadikika kuwa karibu watu milioni 1 wamepokea mafunzo ya kijeshi.
Erdogan asema EU itakwamisha kujiunga kwa Ukraine, Moldova
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Umoja wa Ulaya utazikwamisha Ukraine na Moldova kujiunga na kanda hiyo.
Ukraine yakumbwa na shambulizi baya la mtandaoni
Shirika la intelijensia la Uingereza limesema Ukraine ilikumbwa na shambulio baya la mtandaoni lililodumu kwa siku mbili
Putin kugombea muhula mwingine uongozini kama mgombea huru
Haya yameripotiwa leo na mashirika ya habari ya Urusi yalionukuu wafuasi wa Putin.
Intaneti yarejea Kyiv baada ya shambulizi la mtandao
Moja ya kampuni kubwa za simu nchini Ukraine imerejesha huduma za intaneti kote nchini.
Umoja wa Ulaya washindwa kupata makubaliano kuisidia Ukraine
Umoja wa Ulaya umeshindwa kukubaliana juu ya msaada wa euro bilioni 50 kwa ajili ya Ukraine.
Hungary yazuia msaada wa mabilioni ya dola kwa Ukraine
Hungary imezuia msaada wa dola bilioni 55 wa Umoja wa Ulaya kwenda Ukraine.
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuridhia uanachama wake
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuunga mkono mazungumzo ya uanachama wake.
Putin: Hakuna amani Ukraine hadi tutakapotimiza malengo
Putin asema hakutakuwa na amani nchini Ukraine hadi Urusi itakapotimiza malengo yake.
Scholz: Uamuzi wa EU unapaswa kuwa ishara pia kwa Putin
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema ni muhimu kuwa na makubaliano ya pamoja yatakayoifaa Ukraine.
Orban: Ukraine kujiuna na Umoja wa Ulaya ni mapema sana
Orban: Hakuna sababu ya kuzungumzia uancahama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya kwasasa.
Urusi yadungua droni tisa za Ukraine karibu na Moscow
Urusi yasema imezidungua ndege tisa zisizo na rubani za Ukraine karibu na Moscow.
Zelensky atoa wito wa misaada zaidi ya kifedha
Rais Volodymyr Zelensky anawataka viongozi wa Nordic kuisaidia kifedha Ukraine kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Zelensky awasili Oslo kwa mkutano na mataifa ya Scandinavia
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amewasili mjini Oslo, Norway kwa mazungumzo na nchi tano za ukanda wa Nordic.
Zelensky awashawishi Wamarekani kuendelea kuisaidia Ukraine
Zelensky amesema nchi yake imefanikiwa kukabiliana na uvamizi wa Urusi, ingawa amesisitiza umuhimu wa umoja.
Tusk: Nitapambana kuisadia Ukraine dhidi ya Urusi
Tusk asema atapambana kuisadia Ukraine kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi
Tusk aahidi kuendelea kuisaidia Ukraine
Tusk, amesema anapanga kuzishawishi nchi za Magharibi kutoa msaada zaidi kwa Ukraine.
Zelensky anatarajiwa kukutana na Biden mjini Washington
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky leo atawasili nchini Marekani baada ya mkwamo wa kuidhinishwa kwa msaada wa kijeshi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 39 wa 85
Ukurasa unaofuatia