You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Watu 25 wauwawa nje ya mji wa Donetsk unaodhibitiwa na Urusi
Mashambulizi yanadaiwa kufanywa na jeshi la Ukraine
Robert Fico asema Ukraine inadhibitiwa na Marekani
Slovakia ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya NATO na Umoja wa Ulaya.
Urusi kujadili muswada juu ya wakosoaji wa jeshi lake
Moscow imefanya ukosoaji wa jeshi kuwa kosa baada ya kuivamia Ukraine mnamo mwezi Februari 2022.
Bunge Urusi kujadili utaifishaji mali za wapinzani wa vita
Spika wa bunge la Urusi Vyacheslav Volodin amesmea sheria hiyo itawalenga maadui wa taifa na wapinzani wa vita Ukraine.
Mkutano wa WEF wamalizika. Lipi limefikiwa huko?
Jukwaa la kiuchumi mwaka huu liligubikwa na mizozo ya Mashariki ya Kati na Ukraine na masuala ya kisiasa.
Ujerumani yahofia vita vya Ukraine kusambaa
Urusi iliivamia Ukraine mwanzoni mwa mwaka 2022 na hadi sasa mataifa hayo yako vitani.
Hungary huenda ikaondoa pingamizi lake la msaada kwa Ukraine
Hilo huenda likafanyika katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaofanyika Brussels katika muda wa wiki 2 zijazo
Ukraine inapania kuimarisha uwezo wake wa anga mwaka 2024
Kauli yake inafanana na ile ya Rais Volodymyr Zelenksy aliyesema lazima Ukraine "iimarishe ulinzi wake wa anga"
Macron: Ufaransa kuipatia Ukraine makombora ziada ya masafa
Ufaransa imetangaza itaipatia Ukraine shehena mpya ya makombora ya masafa yapatayo 40 pamoja na mamia ya mabomu.
Blinken asema Marekani itaendelea kuisaidia Ukraine
Zelensky ametoa shukrani kwa utawala wa Biden na "msaada wa pande mbili" katika bunge la Marekani.
Chama kipya cha Ujerumani chataka kuisambaratisha Ulaya
BSW kimesema kitafanya hivyo ikiwa kitashinda katika uchaguzi wa Ulaya.
China yaonya juu ya kuporomoka biashara duniani
WEF imeanza huku masuala ya vita vya Ukraine, vya Gaza, na biashara ya kimataifa zikiwa mada zinazotawala mikutano.
Watu 3 wajeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu Ukraine
Ukraine imeshuhudia ongezeko la vifo vya raia tangu Disemba mwaka jana, baada ya Urusi kuzidisha mashambulizi ya anga
Uswisi kuandaa mkutano wa amani ili kumaliza vita Ukraine
Uswisi imeridhia ombi la rais wa Ukraine la kuandaa mkutano wa amani na kukomesha uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
UN yatafuta dola bilioni 4.2 za kuisaida Ukraine mnamo 2024
UN inawataka watu kutosahau vita vya Ukraine hasa wakati huu ambapo vita vya Gaza ndivyo vinaangaziwa zaidi duniani.
Urusi yasema mazungumzo ya DAVOS hayatafanikiwa
Urusi imesema mazungumzo ya Davos kuhusu mapendekezo ya amani ya Ukraine, hayatafanikiwa kwa sababu Moscow haishiriki.
UN yataka dola bilioni 4.2, msaada kwa Ukraine, 2024
Umoja wa Mataifa umesema Jumatatu kuwa itahitaji dola bilioni 4.2 ili kutoa msaada wa kiutu Ukraine mwaka wa 2024.
Zelensky kwenda Uswisi kuimarisha uungaji mkono wa kimataifa
Rais Volodymyr Zelensky anakwenda nchini Uswisi leo akiwa na dhamira ya kuendelea kuimarisha uungaji mkono.
Ukraine yasonga mbele na mpango wake wa amani
Mwakilishi maalum wa Marekani, Penny Pritzker anayeshughulikia ufufuaji wa uchumi wa Ukraine pia alikuwepo DAVOS
Papa Francis asema vita ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Vita ni uhalifu dhidi ya ubinadamu asema Papa Francis wakati aliporudia wito juu ya kuleta amani.
Waziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa aahidi msaada kwa Ukraine
Sejourne ameyasema hayo mjini Kyiv katika ziara yake ya kwanza ya rasmi tangu kuchukua wadhifa huo mpya wiki hii
Waziri mpya wa mambo ya nje wa Ufaransa azuru Kyiv
Ziara ya Sejourne mjini Kyiv inajiri wakati uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ukikaribia mwaka wake wa pili
Sunak atangaza msaada wa mabilioni ya dola kwa Ukraine
Msaada huo unajumuisha aina mbalimbali za silaha na risasi ambazo ni adimu nchini Ukraine ikiwemo makombora na droni.
Urusi: Uingereza kupeleka kikosi Ukraine ni kutangaza vita
Urusi imesema hatua ya Uingereza kupelekwa kikosi cha kijeshi Ukraine, ni tangazo la vita dhidi ya Moscow.
Waziri Mkuu wa Uingereza awasili Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak anaizuru Ukraine kuzindua awamu mpya ya msaada kwa ajili ya Ukraine
Zelenskiy asema usitishaji mapigano utainufaisha tu Urusi
Zelenskiy amesema Urusi ilikuwa inajadili mauzo ya makombora ya Iran, na kuwa imepata risasi milioni 1 kutoka Pyongyang.
Zelensky asema hakuna uwezekano wa vita kusimama
Volodimyr Zelensky amesema leo kwamba hakuna uwezekano wa kusitishwa kwa muda vita kati ya nchi yake na Urusi.
Makombora ya Urusi yawajeruhi watu 11 mjini Kharkiv
Urusi imefanya mashambulizi ya makombora yaliyopiga hoteli moja mjini Kharkiv, kaskazini mashariki mwa Ukraine.
Urusi yawaondoa watoto kutoka Belgorod mpakani na Ukraine
Watoto kadhaa wa shule wamehamishwa kutoka mji wa mpakani wa Urusi wa Belgorod kutokana na mfululizo wa mashambulizi.
Jeshi la Ukraine lakabiliwa na hali ngumu
Rais Zelensky amekiri kuwa wanajeshi wake wanakabiliwa na uhaba wa risasi.
Ukraine: Walimu wasaidia watoto katika maeneo yaliyokaliwa
Urusi ilitangaza kuyanyakua maeneo manne ya Ukraine ya Zaporizhzhia, Kherson, Donetsk and Luhansk.
Baridi kali na barafu yasababisha umeme kukatika Ukraine
Ukraine yasema hali mbaya ya hewa ya baridi kali imesababisha zaidi ya miji na vijiji 1000 kukosa umeme.
Zelensky aapa kulipiza mashambulizi yaliyofanywa na Urusi
Volodymir Zelensky amesema mashambulizi ya Urusi hayapaswi kufumbiwa macho bila kujibiwa.
Rais Zelensky atarajia msaada zaidi wa ulinzi wa anga
Zelensky amesema mazungumzo na washirika wake wa kimataifa yatalenga kuimarisha ulinzi wa anga wa Ukraine
Ukraine yadungua makombora 18 ya masafa marefu ya Urusi
Kamandamkuu wa Ukraine amekiri kwamba miundombinu ya kiraia, kiviwanda na kijeshi imeshambuliwa na Urusi.
Urusi yaishambulia miji ya Ukraine kwa makombora
Urusi imewahamisha karibu wakaazi 300 wa mji wake wa Belgorod ulio karibu na mpya na Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi nchini Ukraine kote
Kwa upande wake Urusi imewahamisha wakaazi wa jimbo la Belgorod kutokana na mashambulizi ya Ukraine
Urusi yaishambulia mikoa ya Kherson na Kharkiv
Kharkiv na mji mwingine ulioshambuliwa wa Vovchansk ziko karibu na mji wa mpakani wa Belgorod wa Urusi
Denmark kuipa Ukraine ndege za kivita robo ya pili ya mwaka
Denmark imesema itaipatia Ukraine ndege za kwanza 19 za kivita chapa F-16 katika robo ya pili ya mwaka huu.
Rais wa Ukraine amtunuku Baerbock Nishani ya Juu
Rais Zelensky aliwatunuku maafisa hao kutokana na mchango wao binafsi na kuiunga mkono Ukraine.
Ukraine: Urusi ilitumia makombora iliyopewa na Pyongyang
Korea Kaskazini imekuwa chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa baada ya jaribio la kombora la nyuklia mwaka 2006
White House: Urusi ilitumia makombora ya Korea Kaskazini
Urusi na Korea Kaskazini pwamekuwa wakiimarisha uhusiano na tayari wameweka wazi nia yao ya kuuimarisha zaidi.
IAEA yamezuiwa kufika maeneo ya kiwanda cha Zaporizhzhia
Raphael Grossi amesema wachunguzi wake walizuiwa wasifike maeneo ya kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia nchini Ukraine.
Urusi, Ukraine zabadilishana mamia ya wafungwa
Urusi na Ukraine zimebadilishana mamia ya wafungwa wa kivita, mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miezi mitano.
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa
Tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine mataifa hayo yamebadilishana wafungwa mara kadhaa.
NATO kuzisaidia nchi wanachama kununua makombora ya Patriot
Jumuiya ya Kujihami NATO imesema itazisaidia nchi kadhaa wanachama kununua makombora ya Patriot.
Urusi: Ukraine yashambulia tena Belgorod kwa makombora-droni
Ukraine imerusha makombora 12 na droni kadhaa mapema leo Jumatano kwenye eneo la kusini mwa Urusi la Belgorod.
Poland yataka Ukraine ipatiwe makombora ya masafa marefu
Poland yataka Ukraine ipatiwe makombora ya masafa marefu.
Sunak: Uingereza itasimama kidete na Ukraine
Sunak: Uingereza itasimama kidete na Ukraine.
Zelensky asema watu wanne wameuawa na 92 wajeruhiwa
Zelenskiy amesema Urusi ilitumia ndege za droni zipatazo 170 aina ya Shahed.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 38 wa 85
Ukurasa unaofuatia