You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Scholz kuzungumza na Biden juu ya vita vya Ukraine
Scholz amesema mazungumzo yake na Rais Biden siku ya Ijumaa yatalenga jinsi ya kuimarisha msaada kwa Ukraine.
Urusi yaishambulia tena Kyiv kwa makombora
Urusi imefanya mashambulizi ya makombora mjini Kyiv yaliyojewaruhi watu wawili na kusababisha kukatika kwa umeme.
Shambulio la Urusi laua kichanga na kujeruhi watu Ukraine
Mtoto wa miezi miwili ameuawa na watu watatu wengine wamejeruhiwa kufuatia shambulio kaskazini mashariki mwa Ukraine.
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Hatua ya Zelenskiy kwa mkuu wa jeshi yazusha wahaka Ukraine
Mashambulizi ya mabomu ya Urusi katika mji wa Kherson kusini mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu 4 Jumatatu na mtu m
Zelensky huenda akamfuta kazi mkuu wake wa majeshi
Tangazo la kiongozi huyo limeishtuwa Ukraine na kusababisha wasiwasi kwa washirika wa nchi hiyo iliyoko vitani na Urusi.
Maseneta wa Marekani wachapisha rasimu ya mpango wa usalama
Rais Joe Biden amewatolea wito wabunge wa Republican kuunga mkono rasimu hiyo
Zelensky awatembelea wanajeshi wake walio vitani
Jeshi la Ukraine limesema limezima mashambulio 27 ya Urusi karibu na mji wa Avdiivka.
Watu 28 wameuwawa katika shambulio lililofanywa na Ukraine
Urusi imesema idadi ya watu waliouawa kwenye duka la kuoka mikate mjini Lysychansk imeongezeka na kufikia watu 28.
Urusi yailaumu Marekani kwa kuchochea vita vyake na Ukraine
serikali ya Urusi inaishutumu Marekani kwa kile ilichoeleza kuchochea Kiev katika kuendeleza vita.
Ukraine yadai kuzidungua droni 9 kati ya 14 za Urusi
Kyiv imeongeza kwamba droni nyingi zilikuwa zimeelekezwa kwenye miundombinu ya nishati.
ICJ yasema ina mamlaka kesi ya Ukraine dhidi ya Urusi
ICJ imesema inayo mamlaka ya kusikiliza sehemu ya kesi ya Ukraine dhidi ya Urusi kuhusu mauaji ya kimbari.
Shambulio lasababisha raia 40,000 kukosa umeme Ukraine
Jeshi la Ukraine limesema mfumo wake wa ulinzi umefanikiwa kuzidungua droni 11.
ICJ kuamua juu ya mamlaka ya kusikiliza kesi dhidi ya Urusi
Ukraine inaungwa mkono katika madai yake mbele ya mahakama ya ICJ na washirika wake wa nchi 32 za Magharibi.
ICJ kutangaza uwezo wake katika kesi ya kuvamiwa Ukraine
Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ itaamua Ijumaa iwapo ina uwezo wa kutoa uamuzi katika kesi iliyowasilishwa mbele yake
EU wakubaliana juu ya msaada wa euro bil. 50 kwa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekaribisha uamuzi huo wa pamoja na kusema utaimarisha utulivu wa kiuchumi Ukraine.
EU wafikia makubaliano ya kuipatia fedha zaidi Ukraine
Viongozi wa EU wameafikiana kuipa Ukraine msaada mpya wa Euro bilioni 50 ili kusaidia uchumi wake ulioharibiwa na vita.
ICJ yaitupilia mbali kesi ya Ukraine dhidi ya Urusi
Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ imeikataa kwa sehemu kubwa kesi ya Ukraine iliyoituhumu Urusi kwa kufadhili ugaidi.
Viongozi wa EU wakabiliana na Orban kuhusu msaada wa Ukraine
Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana Alhamisi kujadili msaada wa kifedha kwa Ukraine iliyoko vitani na Urusi
EU kuirai Hungary kujiunga nao katika kuifadhili Ukraine
Viongozi wa Umoja wa Ulaya watajaribu kuirai Hungary Viktor Orban kujiunga na mpango wa kutoa ufadhili kwa Ukraine.
EU kuirai Hungary kuhusu msaada kwa Ukraine
Viongozi wa Umoja wa Ulaya Alhamis watajaribu kumrai Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban kujiunga na mpango wa kutoa ufa
Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Viongozi wa Umoja wa Ulaya kuirai Hungary kujiunga nao katika kuifadhili Ukraine//Mahakama ya ICJ yaitupilia mbali kwa sehemu kubwa kesi ya Ukraine dhidi ya Urusi//Na Marekani yadai wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran walishambulia jeshi lake Jordan.
EU yahimiza misaada zaidi ya kijeshi kwa Ukraine
Scholz ametoa wito kwa nchi za Ulaya kuharakisha usafirishaji wa silaha zaidi kupelekwa nchini Ukraine.
Kyiv na Moscow wabadilishana wafungwa wa kijeshi
Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema Moscow na Kyiv wamebadilishana wafungwa 195 wa kivita.
Macron aihimiza Ulaya kuharakisha msaada kwa Ukraine
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakusanyika mjini Brussels leo kwa mkutano na Baraza la Ulaya.
Urusi na Ukraine zashambuliana usiku wa kuamkia leo
Ukraine imesema Urusi imefanya hujuma nzito kwa kuvurumisha makombora na kutuma droni kuilenga miundombinu yake.
EU watasisitiza kuendelea kuisaidia Ukraine
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kusisitiza juu ya mwelekeo wao wa kuendelea kuisaidia Ukraine.
Wajawazito Ukraine wahofia kujifungua kabla ya wakati
Wanawake nchini Ukraine wanahofia kujifungua watoto kabla ya wakati kutokana na matatizo ya muda mrefu.
Urusi na Ukraine zashutumiana mashambulizi ya droni
Urusi na Ukraine zashutumiana kwa mashambulizi ya droni, huku Kyiv ikisema mashambulizi hayo yameuwa watu wawili.
Blinken, Stoltenberg waonya mafanikio ya Ukraine
Blinken, Stoltenberg waonya mafanikio ya Ukraine yako mashakani kama Marekani haitoi msaada zaidi.
ICJ kuamua juu ya mamlaka ya kusikiliza kesi dhidi ya Urusi
Ukraine ilifungua kesi mwaka 2017 ikiishtaki Urusi kwa madai ya kuzibagua baadhi ya jamii katika rasi ya Crimea.
Scholz aitolea mwito EU waongeze msaada wa fedha kwa Ukraine
Hatua ya Hungary imekuja wakati Umoja huo unapanga kukutana kwa mkutano wa dharura wa kilele Alhamisi wiki hii.
Biden na Scholz kufanya mazungumzo Februari 9, White House
Mtaifa ya magharibi yanahangaika kutafuta msaada mpya kwa ajili ya Ukraine inayopambana na Urusi.
Putin ailaumu Ukraine kuhusu ajali ya ndege
Putin anasema hii imetokea licha ya Ukraine kuarifiwa kwamba wafungwa wa kivita wa nchi hiyo walikuwa wameabiri
Urusi yaishutuju Ujerumani kwa "tabia ya uadui"
Peskov amesema Ikulu ya Kremlin inaishutumu Ujerumani kwa kile alichokiita "kuonesha tabia ya uadui."
Waliouawa kwa makombora ya Urusi wafikia 11
Maafisa wa Ukraine wanasema waliokufa kwa makombora ya Urusi kwenye mji wa Kharkiv imeongezeka na kufikia watu 11.
UNHCR: Hali ya misaada ya kiutu ni mbaya mno nchini Ukraine
Mkuu wa UNHCR alifanya ziara ya wiki nzima nchini Ukraine na kutembelea miradi kadhaa ya utoaji misaada.
EU yaishutumu Belarus kwa ukandamizaji
Belarus pia yashtumiwa kwa kuunga mkono vita vya Urusi nchini Ukraine
Urusi yaunga mkono uchunguzi wa kimataifa wa ajali ya ndege
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana kwa dharura kwa ajili ya kujadili ajali hiyo kufuatia ombi la Urusi.
Urusi, Ukraine zatupiana lawama kuanguka ndege ya wafungwa
Urusi na Ukraine zimelaumiana kwa ajali ya ndege ya kijeshi iliyokuwa imewabeba wafungwa wa kivita wa Ukraine.
Ukraine yataka uchunguzi wa kimataifa ajali ya ndege Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametaka uchunguzi wa kimataifa ufanyike katika ajali ya ndege ya jeshi la Urusi.
Ukraine yataka uchunguzi wa kimataifa kuhusu ajali ya ndege
Zelensky ataka washirika wa kimataifa kupewa habari kamili kuhusu ajali
Wafungwa 65 wa kivita wafa baada ya ndege ya Urusi kuanguka
Watu wote waliokuwamo katika ndege ya kijeshi ya mizigo wamekufa baada ya kuanguka katika jimbo hilo.
Urusi yaishambulia tena miji ya Ukraine kwa makombora
Jeshi la anga la Ukraine limesema mfumo wake wa ulinzi ulifanikiwa kuzuia makombora 21.
Urusi yakanusha UN kuwahamisha watoto wa Ukraine
Urusi imesisitiza katika Umoja wa Mataifa kwamba haijawaondoa kwa nguvu watoto wowote wa Ukraine.
Lavrov atofautiana na Marekani juu ya mpango wa amani
Mwanadiplomasia huyo wa Urusi amedai kuwa askari wa Ukraine "wameshindwa kabisa" katika uwanja wa mapambano.
Tusk atarajia kutatuwa mgogoro wa Poland na Ukraine
Tusk amesema serikali yake na ya Ukraine zitaweza kutatua masuala tata baina yao, yakiwamo machafuko ya hivi karibuni.
Urusi kujieleza Umoja wa Mataifa juu ya watoto wa Ukraine
Moscow itajieleza mbele ya Umoja wa Mataifa kwa maelfu ya watoto wa Ukraine waliopelekwa kwa nguvu Urusi.
Watu 25 wauawa katika shambulio la makombora mjini Donetsk
Meya wa Donetsk Alexey Kulemzin amelaani shambulio hilo na kuliita la "kinyama" lililofanywa na askari wa Ukraine.
Watu 25 wauwawa nje ya mji wa Donetsk unaodhibitiwa na Urusi
Mashambulizi yanadaiwa kufanywa na jeshi la Ukraine
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 37 wa 85
Ukurasa unaofuatia