You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.02.2024
Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi kutokana na vita nchini Ukraine. Bunge la Ujerumani laidhinisha jeshi la Ujerumani Bundeswehr kwenda bahari ya Shamu. Na Rais wa zamani wa Tunisia Moncef Marzouki ahukumiwa miaka minane jela.
Vita Ukraine: Uchumi wa Urusi wasalia imara licha ya vikwazo
Miaka miwili iliyopita Urusi iliwekewa vikwazo vikali baada ya kuivamia Ukraine. Lakini uchumi wake umesalia imara.
Umoja wa Ulaya, Marekani waitangazia vikwazo vipya Urusi
Umoja wa Ulaya na Marekani zimetangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake dhidi ya Ukraine.
Marekani kuihakikishia msaada zaidi Ukraine
Bunge la Marekani limezuia msaada wa mabiliano ya dola wa kijeshi kwa ajili ya Ukraine inayopambana na Urusi.
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 23.02.2024
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Bundestag yapinga kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Uamuzi huu ni pigo kwa serikali mjini Kyiv ambayo imekuwa ikiitaka Ujerumani kuipatia makombora hayo ya kisasa
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya kwa Urusi vinaleta tija?
Umoja wa Ulaya umeongeza vikwazo kwa Urusi kufuatia uvamizi wake kwa taifa jirani la Ukraine.
Mawaziri wa G20 waikosoa uvamizi wa Urusi, Ukraine
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Magharibi waikosoa Urusi kwa uvamizi nchini Ukraine
Ukraine yaihimiza Ujerumani kuipatia makombora ya Taurus
Meya wa Kyiv aihimiza Ujerumani kuwapatia makombora ya masafa marefu ya Taurus
Baerbock ambebesha dhamana Putin kuhusu vita vya Ukraine
Mwanadiplomasia huyo wa ngazi za juu wa Ujerumani ameongeza kwamba wataendelea kusimama imara na Ukraine.
Watu 23,000 wamepotea kufuatia uvamizi wa Urusi, Ukraine
ICRC yajaribu kufahamu hatma ya watu 23,000 waliopotea kufuatia uvamizi wa Urusi nchini Ukraine
Waziri mkuu wa Ukraine ziarani Japan
Waziri Mkuu wa Ukraine, Denys Shmyhal, amewasili hii leo nchini Japan kujadili kuhusu ujenzi wa Ukraine baada ya vita.
Mashambulizi ya Urusi yaua takriban watu watatu Ukraine
Mashambulizi ya Urusi yaua takriban watu watatu katika miji ya mashariki mwa Ukraine
17.02.2024 - Matangazo ya Jioni
Vikosi vya Urusi vyasonga mbele mashariki mwa Ukraine
Wizara ya Ulinzi Urusi imesema vikosi vyake vimesonga mbele kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine.
Zelensky ahimiza msaada zaidi kwa ukraine, mkutano wa Munich
Zelensky atolea wito washirika kuongeza msaada zaidi kwa Ukraine katika kilele cha mkutano wa usalama Munich.
Ukraine: Tumeondoa wanajeshi Avdiivka kuepusha mzingiro
Vikosi vya Ukraine vimeondoka katika mji wa kimkakati wa Avdiivka, ambapo hali imetajwa kuwa tete.
Vikosi vya Ukraine vyajiondoa katika mji wa Avdiivka
Taarifa hizo zimethibitishwa na kamanda wa kijeshi anayeongoza vikosi vya Ukraine katika eneo hilo Oleksandr Tarnavsky.
Zelensky asaini mkataba wa 'kihistoria' na Ujerumani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametia saini mkataba wa usalama na Ujerumani.
Zelensky asaini mkataba wa usalama na Ujerumani
Zelensky amesaini mkataba wa usalama na Ujerumani ambao Kansela Olaf Scholz ameuita "hatua ya kihistoria".
Viongozi wa dunia kujadili usalama katika mkutano wa Munich
Kansela Olaf Scholz atahutubia mkutano wa Munich Jumamosi
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Guterres kufunguwa Mkutano wa Usalama wa Munich
Guterres anatarajiwa kufunguwa rasmi Mkutano wa 60 wa Kimataifa wa Usalama mjini Munich unaohudhuriwa na viongozi 50.
Hali ngumu kwa wanajeshi wa Ukraine walioko mashariki
Oleksandr alisema wanajeshi wake wako kwenye hali ngumu kutokana na mashambulizi makali ya wanajeshi wa Urusi.
Umoja wa Ulaya kulazimika kuiongezea msaada Ukraine
Umoja wa Ulaya utalazimika kuongeza maradufu msaada wake wa kijeshi kwa Ukraine kuziba pengo lililoachwa na Marekani.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana usiku wa kuamkia leo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi.
Stoltenberg: Kuchelewa msaada wa Marekani kunaiumiza Kyiv
Stoltenberg amewaambia waandishi wa habari kabla ya mkutano wa NATO kuwa anatarajia uamuzi kufanywa hivi karibuni.
NATO: Kuisadia Ukraine ni uwekezaji kwa usalama wetu
NATO immesema kuchelewesha msaada wa Marekani kwa Ukraine, kunaumiza vikosi vya Ukraine kwenye mapambano.
Marekani yapitisha mswada kwa ajili ya Ukraine na Israel
Baraza la Seneti la Marekani limeupitisha mswada juu ya msaada zaidi wa fedha kwa ajili ya Ukraine.
Meli ya Urusi yashambuliwa kwa droni
Meli ya Urusi imeshambuliwa kwa droni kwenye kisiwa cha Crimea kilichotekwa na kufanywa kuwa sehemu ya Urusi.
Jeshi la Ukraine laizamisha manowari ya Urusi
Hayo ni wakati Urusi ikiripotiwa kuzidungua droni 9 za Ukraine, nayo Ukraine ikisema imeilipua manowari ya Urusi
Marekani: Ni vigumu Ukraine kujiunga na NATO Julai
Marekani: hakuna mwaliko wa NATO kwa Ukraine katika mkutano wa kilele wa Julai
Baraza la Seneti Marekani lapitisha msaada kwa Ukraine
Baraza la Seneti la Bunge la Marekani limepitisha muswada wenye kitita cha dola bilioni 95.3 unaojumuisha msaada zai
Ukraine: Urusi imeharibu kituo cha umeme Dnipro
Maafisa wa Ukraine wamesema Jumanne kuwa Urusi imeushambulia kwa makombora mji wa katikati mwa nchi hiyo wa Dnipro na ku
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa hospitalini
Waziri Mkuu wa Poland afanya ziara Ufaransa
Tusk asema Ufaransa na Poland ziko kwenye "ukurasa" linapohusika suala la siasa za kikanda na msaada kwa Ukraine.
11.02.2024 - Matangazo ya Mchana
Zelensky amteuwa kamanda mpya wa vikosi vya ardhini
Uteuzi huo ni kulingana na amri ya rais iliyochapishwa hii leo
Bunge la Marekani laombwa kuidhinisha msaada kwa Ukraine
Scholz asema ametiwa moyo na hatua ya Baraza la Seneti la Marekani kuanza kuuangazia mpango utakaoidhinisha msaada huo
Scholz na Biden wahimiza kuidhinishwa msaada kwa Ukraine
Ujerumani imekuwa kinara wa misaada ya kijeshi nchini Ukraine ikifuatiwa na Marekani.
Biden, Scholz kujadiliana msaada kwa Ukraine
Scholz atajadiliana na Biden juu ya kuendeleza msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Mkuu mpya wa majeshi ya Ukraine ataka mabadiliko
Mkuu mpya wa majeshi ya Ukraine amesema vikosi vyake vitahitaji kubadili namna vinavyopambana na Urusi kushinda vita.
NATO yajiandaa kwa hatari ya vita na Urusi
Majenerali wa NATO wanajiandaa kwa hatari ya kuongezeka vita na Urusi na wanatoa wito wa uwekezaji kuzuwia vita hivyo.
Mkutano wa Scholz na Biden, kipi kitarajiwe?
Mjadala mkuu kwenye mazungumzo ya viongozi wawili hao ni juu ya vita nchini Ukraine na jinsi ya kuishinda Urusi.
Putin asema hawezi kushindwa na Ukraine
Putin amesema nchi za Magharibi zinapaswa kuelewa kuwa haitawezekana kuishinda Urusi.
Urusi, Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha
Urusi na Ukraine zimerushiana jumla ya droni 35 usiku kucha, majeshi ya nchi hizo mbili yamesema leo Ijumaa.
Zelensky amfuta kazi mkuu wa majeshi
Zelensky amemfukuza kazi Zaluzhnyi na kumteuwa Syrskyi aliyekuwa kamanda wa vikosi vya ardhini.
Urusi kutozivamia Poland, Latvia
Urusi imesema haina mpango wa kuivamia Poland, Latvia ama eneo jingine lolote.
Putin hana mpango wa kuivamia Poland na Latvia
Putin asema hakuna uwezekano wa mataifa ya magharibi kuishinda katika vita vyake dhidi ya Ukraine.
Scholz kuzungumza na Biden juu ya vita vya Ukraine
Scholz amesema mazungumzo yake na Rais Biden siku ya Ijumaa yatalenga jinsi ya kuimarisha msaada kwa Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 36 wa 85
Ukurasa unaofuatia