You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uturuki yajitolea upatanishi mzozo wa Urusi na Ukraine
Erdogan ametoa pendekezo hilo, katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mjini Istanbul na Rais Volodmyr Zelensky.
Usalama katika kinu cha Zaporizhzhia watajwa kuzorota
Urusi na Ukraine, zimekuwa zikilaumiana kwa kushambulia kinu hicho na kuharibu baadhi ya miundombinu.
Zelenskiy atua Uturuki kufanya mazungumzo na Erdogan
Zelenskiy atua Uturuki kufanya mazungumzo na Erdogan
Biden: Marekani haitoitenga Ukraine katika vita na Urusi
Rais Biden anamwambia Putin Marekani haitoitenga Ukraine
Zelensky kufanya ziara Uturuki na kukutana na Erdogan
Mara ya mwisho kwa Zelensky kuizuru Uturuki ilikuwa ni Julai 2023 alipofanya mazungumzo ya kina na Erdogan.
Ujerumani yaelemewa na mzigo wa wahamiaji
Majimbo ya nchini Ujerumani yanahisi kuhemewa na mzigo wa maelfu ya wakimbizi, kuanzia katika kuwaajiri, chakula, makaazi shule.Pia kuna hofu kwamba hasira miongoni mwa wapiga kura juu ya masuala ya uhamiaji inaweza kuvisaidia vyama vya mrengo mkali wa kulia katika uchaguzi wa baadae mwaka huu, huku serikali ya Kansela Olaf Scholz ikiwa katika shinikizo la kushughulikia masuala ya wakimbizi.
Cameron aelekea Berlin kujadili mizozo ya Ukraine na Gaza
Mkutano huo unajiri siku chache baada ya kuvujishwa mawasiliano ya siri ya maafisa wa jeshi la Ujerumani kuhusu Ukraine
Kombora la Urusi latua karibu na msafara wa Zelensky
Jeshi la wanamaji la Ukraine limelieleza shambulio hilo limewaua watu watano na wengine kujeruhiwa.
IAEA yatoa onyo kuhusu kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia
Kinu cha Zaporizhzhia kimefungwa tangu mwaka 2022 kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya makombora.
Macron awataka washirika wa Ukraine kutokuwa ''waoga''
Macron amesema anabaki na msimamo wake juu ya kutoondoa uwezekano wa kutumwa kwa wanajeshi nchini Ukraine
Macron awahimiza washirika wa Ukraine wasiwe 'waoga'
Ufaransa na Jamuhuri ya Czech ziko tayari kutafuta njia mpya za kuwasaidia Waukraine ili waweze kushinda vita hivyo
Mkuu wa ujasusi Urusi asema matamshi ya Macron ni ya hatari
Mkuu wa ujasusi Urusi amesema matamshi ya rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Ukraine ni ya hatari
Ujerumani yatoa uchunguzi wa awali wa mazungumzo yaliovuja
Boris Pistorius azungumzia udukuzi
Umoja wa Ulaya wapendekeza mkakati wa kuimarisha ulinzi
Umoja wa Ulaya umependekeza uimarishwaji mkubwa wa ulinzi wakati vita ya Ukraine inasonga mbele
Ukraine inataka kuungwa mkono na Waafrika
Ukraine inatafuta uungwaji mkono kutoka katika pande tofauti za ulimwengu kufuatia vita vyake a Urusi. Hivi karibuni ili kulifanyika kongamano la kimataifa kuhusu vita hivyo lililofahamika kama Cafe Kyiv, mwandishi wa habari Issac Amuke kutoka Kenya alikuwa mwana jopo katika kongamano hilo lililofanyika Februari 2024. Zaidi msikilize alipozugumza na Sudi Mnette.
Ukraine yadai kuharibu meli ya kivita ya Urusi
Ukraine yadai kuharibu meli ya kivita ya Urusi kwenye Bahari Nyeusi
Waziri wa Ujerumani aonya kuhusu ushawishi wa Urusi Afrika
Waziri wa maendeleo wa Ujerumani, Svenja Schulze, amesema magaidi na malengo ya Urusi yanatishia usalama wa eneo la Sahe
Zelensky: Dhamira ya kisiasa inahitajika kuisaidia Ukraine
Rais wa Ukraine amewarai washirika wake kuonesha dhamira ya kisiasa kwa kuipatia nchi yake mahitaji ya kijeshi.
Urusi yavujisha nyaraka za siri za maafisa wa Ujerumani
Urusi yasambaza sauti ya maafisa wakuu wa jeshi la Ujerumani wakijadili taarifa za siri kuhusu silaha za Ukraine.
Zelensky aomba msaada zaidi kutoka Magharibi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba nchi za Magharibi kuwasilisha kwa haraka mifumo zaidi ya ulinzi wa anga.
Scholz aahidi uchunguzi wa haraka kuhusu udukuzi wa Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameahidi uchunguzi wa kina kuhusu mkanda wa sauti uliovujishwa na Urusi kuhusu Ukraine.
Ujerumani kuchunguza udukuzi wa Urusi kwa Bundeswehr
Ujerumani kutolea ufafanuzi haraka leo, baada ya Urusi kuchapisha sauti zikijadili msaada kwa Ukraine.
Ukraine yaomba mifumo zaidi ya ulinzi wa anga kwa washirika
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ameyahimiza mataifa ya Magharibi kuipatia nchi yake mifumo zaidi ya ulinzi wa anga.
Shambulio la droni ya Urusi lauwa watu wawili Ukraine
Watu wawili wameuwawa, wanane kujeruhiwa na wengine sita hawajulikani walipo baada ya shambulio la droni ya Urusi.
Uholanzi yasaini makubaliano ya ulinzi na Ukraine
Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte Ijumaa alisaini mkataba wa ulinzi na Ukraine katika mji wa kaskazini mashariki wa nch
Jeshi la Ukraine lawarejesha nyuma wanajeshi wa Urusi
Jeshi la Ukraine limewarudisha nyuma wanajeshi wa Urusi kutoka kwenye kijiji cha Orlivka, magharibi mwa mji wa Avdiivka.
Putin asifu mafanikio Ukraine, atishia vita vya nyuklia
Rais Putin amehutubia taifa wakati Urusi ikijiandaa na uchaguzi wa mwezi Machi, ambao anatarajiwa kuushinda
Putin awahutubia Warusi akitiwa nguvu na mafanikio Ukraine
Rais Vladmir Putin wa Urusi anatazamiwa kutoa leo hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa, ikiwa ni chache kabla ya uchaguzi
Zelenskiy atafuta msaada na silaha kanda ya Balkan
Rais Zelenskiy amekutana na wakuu wa mataifa ya Balkan kutafutwa uungwaji mkono kwa nchi yake inayokabiliana na Urusi.
Marekani: Hatuna mpango wa kupeleka wanajeshi nchini Ukraine
Rais Joe Biden anaamini "njia ya ushindi" ni kwa Marekani kutoa msaada wa kijeshi kwa vikosi vya Ukraine ili kujilinda.
Zelenskiy asifu juhudi za Saudi Arabia za kuwa mpatanishi
Saudi imejitolea kimasomaso kuunga mkono juhudi zote za kimataifa zinazolenga kuutatua mzozo kati ya Urusi na Ukraine.
Kansela wa Ujerumani asema NATO haitajiingiza Ukraine
Kansela Scholz amesema hakutakuwa na wanajeshi wowote wa ardhini kutoka NATO, watakaopelekwa nchini Ukraine.
Mwanaharakati afungwa kwa kukosoa uvamizi wa Urusi Ukraine
Oleg Orlov amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu jela, kwa kukosoa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Macron: Hatufuti uwezekano wa kupeleka wanajeshi Ukraine
Macron aliwaalika viongozi wa UIaya katika Ikulu ya Eliysee kujadili hali ya vita vya Urusi nchini Ukraine
Macron: Hatujaondoa uwezekano wa kutuma wanajeshi Ukraine
Macron amewambia viongozi waliokusanyika Paris kwamba watafanya kila linalowezekana kuizuia Urusi kushinda vita hivyo.
Urusi yaandaa mashambulizi mapya dhidi ya Ukraine
Urusi inaandaa mashambulizi mapya dhidi ya Ukraine kuanzia mwishoni mwa mwezi wa Mei wakati wa majira ya joto.
Nusu ya msaada wa Magharibi kwa Ukraine haukufika kwa wakati
Umerov amesema nusu ya msaada wote wa kijeshi ulioahidiwa na mataifa ya Magharibi haukuwasilishwa kwa wakati.
Macron mwenyeji wa mkutano wa kujadili kadhia ya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ataufungua mkutano huo kwa kutoa hotuba kwa njia ya vidio.
Zelensky: Wanajeshi 31,000 wa Ukraine wameuawa vitani
Askari wa Ukraine walilazimika kuondoka katika mji wa mashariki wa Avdiivka katika jimbo la Donestk.
Zelensky: Wanajeshi 31,000 wa Ukraine wameuawa vitani
Ukraine ilikuwa haijafichua idadi rasmi ya wanajeshi wake waliopoteza maisha katika vita dhidi ya Urusi hadi sasa.
Matangazo ya Jioni 25.02.2024
Muhtasari wa Matangazo: Iran yalaani mashambulizi ya Marekani na Uingereza huko Yemen. // Ukraine yasema nusu ya misaada ya washirika wake inachelewa kupelekwa // Na Ujerumani kuongeza misaada ya kibinadamu kwa Ukraine.
Baerbock akatiza ziara baada ya droni ya Urusi kuonekana
Baerbock alikuwa ziarani katika mji wa Mykolaiv mwishoni mwa juma hili na kutangaza msaada zaidi wa kiutu kwa Ukraine.
Ukraine: Misaada ya washirika wetu inachelewa kufika
Ukraine inakabiliwa na upungufu wa silaha, na kwa miezi kadhaa imesema misaada ya washirika wake inachukua muda mrefu.
Viongozi wa G7 waapa uungaji mkono zaidi kwa Ukraine
Uvamizi kamili wa Urusi dhidi ya Ukraine ulioamuriwa na Rais Vladimir Putin ulianzishwa mapema Februari 24, mwaka 2022.
24.02.2024 - Matangazo ya Jioni
Zelensky aahidi ushindi dhidi ya Urusi
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine Februari 24, 2022 na hadi sasa hakuna matarajio ya vita hivyo kumalizika.
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine watimiza miaka miwili
Leo imetimia miaka miwili tangu Urusi ilipoivamia kijeshi Ukraine.
24.02.2024: Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa yaliyomo kwenye Matangazo ya Mchana ni miaka miwili sasa tangu Urusi ilipoivamia kikamilifu Ukraine.Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev aapa kwamba Urusi italipiza kisasi dhidi ya vikwazo vya magharibi na Marekani yapinga vikali upanuzi wa makazi ya kilowezi kwenye Ukingo wa Magharibi. Lakini pia utasikiliza kipindi cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara.
Stoltenberg: Ukraine na washirika "wasikate tamaa"
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Jens Stoltenberg ametoa wito kwa Ukraine na washirika wake kutokata tamaa.
Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi
Biden ameapa kuendeleza shinikizo kuzuia vita vya rais wa Urusi Vladimir Putin.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 35 wa 85
Ukurasa unaofuatia