You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yafanya mashambulizi makali ya makombora Ukraine
Wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine imesema mashambulizi hayo yamesababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 14.
Ulaya kufanya mazungumzo na Bosnia juu ya kujiunga na EU
Bosnia imepewa hadhi ya kuwa mgombea wa nafasi ya uanachama wa Umoja wa Ulaya tangu mwaka 2022.
Watu watatu wauawa katika miji ya Kherson na Donetsk
Mwanamke mwenye umri wa miaka 70 alijeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la Urusi mjini Kherson.
Scholz aunga mkono mali za Urusi kuinunulia Ukraine silaha
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema anaunga mkono kutumiwa mali za Urusi zilizozuiwa kuinunulia silaha Ukraine.
Viongozi wa Ulaya wanakutana kujadili mizozo na usalama
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kwa majadiliano juu ya vita vya nchini Ukraine na mzozo wa Gaza.
EU kutumia fedha iliyotokana na mali ya Urusi kununua silaha
Viongozi wa EU wataujadili mzozo wa Israel na Hamas pamoja na maandamano ya wakulima.
Scholz: Hatutakubali amani ya Ukraine iamuliwe na Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Urusi haina nguvu kama inavyofikiriwa.
Shambulizi la Urusi laua watatu huko Kharkiv, Ukraine
Hii leo, Ukraine imepokea kifurushi cha kwanza cha msaada wa euro bilioni 4.5 kutoka kwa Umoja wa Ulaya.
Mashambulizi yaongezeka kwenye mipaka ya Urusi na Ukraine
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na wabunge mapema leo wamefikia makubaliano ya kuzuia uagizaji wa nafaka za Ukraine.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine kuelekea India wiki ijayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kuleba, anatazamiwa kufanya ziara nchini India wiki ijayo.
Urusi imehamisha watu elfu tisa kutoka mji wa Belgorod
Urusi yadai mafanikio nchini Ukraine lakini imehamisha 9000 kutoka mji wake
Marekani yasema kamwe haitoiacha Ukraine ishindwe
Marekani imeiahidi Ukraine kwamba itaendelea kuungwa mkono kimataifa katika juhudi za kujilinda na uvamizi wa Urusi.
Umoja wa Ulaya wazingatia kutumia mali za Urusi inazozizuia
Urusi imesema inapanga kuwahamisha watoto wapatao 9,000 kutoka eneo la Belgorod ambalo limekuwa likishambuliwa.
Mrengo wa kushoto wa Ulaya wataka vita vya Ukraine kumalizwa
Vita vya Urusi nchini Ukraine vimepindukia mwaka wa tatu sasa huku kukiwa hakuna dalili ya kumalizika hivi karibuni.
Putin ahutubia umati wa Warusi baada ya ushindi mnono
Rais Vladmir Putin amesifu kurejea Urusi, kwa maeneo yalionyakuliwa kutoka Ukraine, baada ya kushinda uchaguzi.
Urusi yakosolewa kuandaa uchaguzi katika maeneo ya Ukraine
Haya yanajiri wakati Mataifa ya Magharibi yakizidi kuukosoa uchaguzi ambao unadaiwa kutokuwa huru na haki.
Ushindi wa Rais Putin wazua hisia mseto duniani
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Urusi amesema watu milioni 76 wamempigia kura Putin baada ya asilimia 99 ya kura kuhesabiwa
Umoja wa Ulaya walaani uchaguzi wa Urusi ndani ya Ukraine
Umoja wa Ulaya umelaani kufanyika uchaguzi kwenye maeneo ya Ukraine yanayokaliwa na Urusi.
Korea Kaskazini ilipeleka makontena 7,000 ya silaha Urusi
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini amesema Korea Kaskazini ilisafirisha makontena 7,000 ya silaha kwenda Urusi.
Putin: Urusi haitarudishwa nyuma
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi yake haitatetemeshwa. Ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa baada ya uchaguzi.
Putin aweka rekodi kwenye matokeo ya uchaguzi Urusi
Rais Vladimir Putin ameshinda kwa kishindo na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika siku ya Jumapili.
Miji kadhaa ya Urusi yashambuliwa na Ukraine
Leo ikiwa ni siku ya mwisho ya upigaji kura nchini Urusi,Kremlin inaishutumu Kiev kujaribu kuhujumu mchakato wa uchaguzi
Putin aapa kujibu vikali mashambulizi ya Ukraine
Urusi inafanya uchaguzi wa urais ambao kwa kiasi kikubw aunatarajiwa kumrejesha madarakani Rais Vladimir Putin.
Ni yapi malengo ya Rais Putin kwa kuandaa uchaguzi?
Uchaguzi huu unatazamiwa kuthibitisha uhalali wa mamlaka ya rais Putin na kuonyesha kwamba Warusi wanamuunga mkono.
Shambulio la Urusi laua watu 14 Odesa, Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amemkaribisha Rais wa Ufaransa Emanuel Macron kuijadili Ukraine.
Watu kadhaa wameuwawa katika mashambulizi ya Urusi
Mkuu wa jeshi la Ukraine anadai Urusi ilianzisha wimbi la mashambulizi kujaribu kusonga mbele zaidi katika eneo hilo.
Viongozi wa Ulaya wakutana kujadili msaada kwa Ukraine
Kansela Scholz amesema vikosi vya Ukraine vina matumaini ya kupatiwa msaada zaidi wa kijeshi kutoka kwa washirika wake
Scholz, Macron na Tusk kujadili sera za Ukraine
Mkutanomwengine wa Paris ulimalizika kwa tofauti ya mitizamo kuhusu uwezekano wa kupelekwa wanajeshi Ukraine.
Raia wa Urusi wapiga kura ya rais
Raia wa Urusi wanapiga kura katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kumkabidhi rais Vladimir Putin muhula mwingine.
Urusi yafanya uchaguzi wa urais
Rais Vladimir Putin wa Urusi anatarajiwa kurejea madarakani katika uchaguzi huo usio na upinzani mkubwa.
Ulaya yahimiza kasi zaidi ya misaada kwa Ukraine
Vita kati ya Urusi na ukraine vimeingia mwaka wa tatu huku kukiwa hakuna dalili za kumalizika hivi karibuni.
Ujerumani haitotuma makombora ya masafa marefu Ukraine
Jens Stoltenberg, ameyataka mataifa rafiki kwa Ukraine katika jumuiya hiyo ya kujihami, kuipelekea silaha nchi hiyo.
EU yakubaliana kutoa euro bil. 5 kuinunulia silaha Ukraine
Mataifa wanachama ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuongeza euro bilioni 5.5 kwenye mfuko wa kuinunulia silaha Ukraine.
Urusi yasema Ukraine imekishambulia kituo cha Zaporizhzhia
Rafael Grossi ametoa tahadhari kuhusiana na hatari inayoweza kutokea kutokana na kushambuliwa kwa kituo hicho.
Ulaya yaipa Ukraine dola bilioni 5.5
Ukraine inapambana na Urusi katikati ya upungufu wa silaha wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi dhidi yake.
Scholz: Nina sababu za kutoipa Ukraine makombora ya Taurus
Scholz ameelezea hofu yake kwamba kwa kuipa Ukraine silaha kutaisukuma Ujerumani kwenye mzozo wa moja kwa moja na Urusi.
Kauli ya Papa Francis yazua hisia mseto
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema katika mahojiano kwamba Ukraine inapaswa kuwa na kile alichokiita ujasiri wa kupeperusha "bendera nyeupe" kama ishara ya kusalimu amri na kukubali kufanya mazungumzo ya kumaliza vita na Urusi. Kauli hiyo imeichukiza mno Ukraine na washirika wake wa Magharibi.
Putin asema yuko tayari kutumia silaha za Nyuklia
Rais huyo wa Urusi vile vile amesema ana imani Moscow itafanikiwa kutimiza malengo yake katika vita hivyo vya Ukraine.
Putin: Urusi iko tayari kwa vita vya nyuklia
Putin ameionya Marekani na washirika wake kujiepusha na vitendo ambavyo amesema vinaweza kusababisha vita vya nyuklia.
Viongozi wa Ulaya kukutana kwa mazungumzo juu ya Ukraine
Mazungumzo hayo yanatarajiwa wakati ambapo tofauti zikiongezeka kati ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu sera ya Ukraine.
Marekani kuichangia Ukraine kijeshi dola milioni 300
Marekani kuichangia Ukraine kijeshi dola milioni 300
Mzozo kuhusu makombora ya Taurus Ukraine waendelea Ujerumani
Nchini Ujeumani mzozo huo kuhusu kupeleka makombora ya Taurus Ukraine unaendelea na kuchochewa kisiasa.
Biden kuhakikishia Poland msaada huku hofu ikiongezeka Kyiv
Poland mshirika muhimu wa jumuiya ya kujihami NATO yataka msaada wa Marekani kufuatia hatua ya Urusi kuivamia Ukraine.
NATO yajitenga na kauli ya Macron ya kuingiza vikosi Ukraine
NATO yajitenga na kauli ya Macron ya kuingiza jeshi Ukraine
Duda: Wanachama wa NATO waongeze bajeti ya kujihami
Poland inawataka wanachama wa NATO kutumia 3% ya Pato la Taifa kwa ulinzi
Stoltenberg asema Sweden imeonesha kushindwa kwa Putin
Stoltenberg amesema kwa Sweden kujiunga na NATO inaonesha kushindwa kwa mkakati wa Putin kuidhoofisha jumuiya hiyo.
Ukraine na viongozi wa Magharibi wamkosoa Papa
Viongozi kutoka Ukraine, Ujerumani, Poland na Latvia wamemkosoa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kutoka
Maafisa wa Ukraine wamemjibu Papa Francis
Maafisa wa Ukraine wamemjibu Papa Francis
Mauzo ya silaha Ulaya yaongezeka kwa vita vya Ukraine
Biashara ya silaha barani Ulaya imeongezeka maradufu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Jeshi la Ukraine ladungua droni 35 kazi ya 39 za Urusi
Urusi iliivamia Ukraine Februari 2022 na mapigano baina yao yamesababisha maafa makubwa na hasa nchini Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 34 wa 85
Ukurasa unaofuatia