You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi: Ukraine imeshambulia kinu cha nyuklia Zaporizhzhia
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kufanya mashambulizi katika kinu cha nyuklia inachokidhibiti cha Zaporizhzhia.
Urusi yauwa katika mashambulizi Zaporizhzhia
Watu watatu wameuawa baada ya Urusi kulishambulia jimbo la kusini mwa Ukraine la Zaporizhzhia mapema hii leo, katika sik
IAEA yalaani mashambulizi ya Ukraine kwenye kinu cha nyuklia
IAEA imelaani mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine dhidi ya kinu cha nyuklia Zaporizhzhia.
Zelensky: Ukraine yahitaji msaada wa haraka kuishinda Urusi
Wabunge wa Repulican wamekataa kuidhinisha msaada huo hadi pale watakapopewa hakikisho pana la usalama
Raia wa Slovakia wapiga kura kumchagua rais
Uchaguzi huu unafanyika katikati ya kinyang'anyiro kikali kati ya mshirika wa serikali na mkosoaji wa vita vya Ukraine.
Watu 6 wafariki Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Jeshi la Urusi hata hivyo halijasema chochote kuhusiana na mashambulizi hayo.
Jeshi la Ukraine ladunguwa droni 13
Jeshi la anga la Ukraine limedai kudungua ndege 13 zisizo na rubani katika mashambulizi ya Urusi kwenye mikoa ya kusini.
Msaada kwa Ukraine wagubika maadhimisho miaka 75 ya NATO
Jumuiya ya Kujihami ya NATO imefanya maadhimisho ya miaka 75 kwa ahadi kuendelea kuisadia Ukraine kijeshi.
NATO yafanya mkutano wa kuadhimisha miaka 75
NATO wana wasiwasi iwapo rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atamshinda Joe Biden
NATO ni nini?
Jumuiya ya Kujihami ya NATO iliundwa mwaka 1949, kama muungano wa kiusalama wenye wanachama 32.
Marekani yasema Ukraine itajiunga na NATO
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken leo amesema Ukraine itajiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO.
NATO yatimiza miaka 75 tangu kuasisiwa kwake
NATO ilianzishwa Aprili 4 mwaka 1949 kwa hofu kwamba muungano wa kisovieti ulitoa kitisho kwa mataifa ya Ulaya.
Droni za Urusi zauwa 4, zajeruhi 12 Kharkiv
Watu wanne wameuwawa na wengine 12 wamejeruhiwa katika mji wa Kharkiv kufuatia shambulizi la droni za Urusi.
NATO yajadili mfuko wa yuro bilioni 100 kwa Ukraine
Kando ya mkutano huo, mkutano wa NATO wanatarajiwa kujadili kinyang'anyiro cha kuchukua nafasi ya Jens Stoltenberg.
Mawaziri wa NATO wajadili ufadhili wa kifedha kwa Ukraine
Mpango huo umeungwa mkono na wandani wakubwa wa Ukraine kama Poland na mataifa ya Baltiki.
Mawaziri wa mambo ya nje wa NATO wajadili msaada kwa Ukraine
Kitita cha dola bilioni 108 kama msaada utakaotolewa kwa Ukraine katika kipindi cha miaka mitano ijayo, kitajadiliwa.
Mataifa ya Magharibi; Urusi iwajibishwe kwa uvamizi Ukraine
Mataifa ya Magharibi yaitaka Urusi kuwajibishwa kwa uvamizi nchini Ukraine.
Shoigu: Urusi yasukuma vikosi vya Ukraine Magharibi
Ukraine yapinga madai ya Shoigu.
Putin asema Urusi itawajuwa walioishambulia
Putin amesema Urusi itagundua waliohusika na shambulio lililouwa watu 114 mwezi uliopita karibu na Moscow.
Waukraine kudai fidia kwa uharibifu wa vita vya Urusi
Mfumo wa kulipa fidia kutokana uharibifu uliosababishwa na uvamizi wa Urusi umezinduliwa rasmi na Baraza la Ulaya
Blinken kuzungumza na Macron juu ya Ukraine, Gaza
Antony Blinken atafanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa mjini Paris juu ya Ukraine na Gaza.
Ukraine yasema ilidungua droni mbili kati ya tatu za Urusi
wizara ya nishati ya Ukraine imesema vifaa katika kituo kidogo cha umeme kwenye mkoa wa kusini wa Zaporizhzhia.
Urusi yaitaka Ukraine kuikabidhi washukiwa wa ugaidi
Ukraine yasema ombi la Urusi halina msingi.
Matangazo ya Jioni 31.03.2024
Papa Francis ahimiza amani ulimwenguni katika ujumbe wake wa Pasaka. Mapigano yaendelea kote Gaza huku mazungumzo ya kusitishwa vita yakifufuliwa. Na Waturuki wapiga kura katika uchaguzi wa mitaa wenye ushindani mkali.
Tusk aonya kuwa Ulaya imeingia "enzi za kabla ya vita"
Tusk alisema kuwa vita sio tena dhana iliyopita bali ni halisi na vimeanza zaidi ya miaka miwili iliyopita.
Urusi yawahamisha watoto 5,000 kutoka mkoa wa Belgorod
Mamlaka za mkoa huo zinawahamisha watoto kufuatia wimbi la mashambulizi ya kuvuka mpaka ya Ukraine.
Donald Tusk:Ulaya imeingia katika "nyakati za kabla ya vita"
Kiongozi huuyo wa Poland amesisitiza kuwa hana nia ya kumtisha yoyote, bali anaelezea hali halisi.
Miundombinu ya nishati ya Ukraine yashambuliwa na Urusi
Ikulu ya White House imelitaka Bunge la Marekani kupitisha mswada wa kufadhili ulinzi wa Ukraine.
Ukraine yasema mashambulizi yanahatarisha ugavi wa umeme
Kauli hiyo yatolewa saa kadhaa baada ya kombora moja kuvurumishwa kutoka Urusi kulenga vituo vya nishati hiyo muhimu.
Urusi yatumia kura ya turufu kuikinga Pyongyang
Marekani yasema Urusi imetumia kura yake ya turufu kwa manufaa yake binafsi
Urusi yashambulia maeneo mbalimbali nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amezungumza kwa njia ya simu na Spika wa Bunge la Marekani
Urusi yaulenga mji wa mashariki mwa Ukraine wa Kharkiv
Kulingana na jeshi la Ukraine, Urusi sasa inatumia makombora ya masafa marefu yanayohofiwa kufika mbali yakifyatuliwa.
Schröder: Magharibi ni lazima izungumze na Putin
Jeshi la Ukraine limesema limezidungua droni 26 kati ya 28 zilizorushwa na Urusi katika mwendelezo wa mashambulizi.
Putin: Sina mpango wa kushambulia mataifa ya NATO
Putin ameyasema hayo wakati alipowatembelea marubani wa jeshi la anga wakati droni za Urusi zikidunguliwa na Ukraine.
Blinken atarajiwa wiki ijayo kufanya ziara barani Ulaya
Blinken ataelekea mjini Brussels nchini Ubelgiji ili kudhihirisha jukumu la Marekani katika Jumuiya ya Kujihami NATO,
Putin aahidi kuharibu ndege za kivita itakazopewa Ukraine
Ubelgiji, Denmark, Norway na Uholanzi ni miongoni mwa nchi ambazo zimeahidi kutoa msaada wa ndege hizo za kivita za F-16
Urusi na Ukraine waendelea kushambuliana
Balozi wa Ukraine nchini Ujerumani Oleksii Makeiev amekanusha madai ya Urusi kwamba wanahusika na shambulizi la Moscow
Kuleba kuzuru India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano
Maafisa wa India na Ukraine watajadiliana ushirikiano katika masuala kadhaa yenye maslahi kwa mataifa hayo mawili.
Wanne wajeruhiwa katika shambulizi la Urusi nchini Ukraine
Jeshi la Ukraine limesema kuwa vikosi vya Urusi vimerusha droni 13 zilizotengenezwa kutoka Iran usiku kucha.
Putin: Huenda pia Ukraine ilihusika na shambulizi
Maafisa wa Urusi wako nchini Tajikistan kufanya mahojiano na familia za watu wanne ambao wanashtakiwa wa ugaidi
Ukraine yailenga meli ya kivita ya Urusi Bahari Nyeusi
Jeshi la anga la Ukraine limesema limezidungua droni zote 12 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia Jumanne.
Putin: Watu wa itikadi kali walihusika na shambulizi Moscow
Putin hata hivyo amedokeza kuwa washukiwa hao wanahusishwa na Ukraine kwa namna fulani.
Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana kwa ndege za droni
Mashambulio mengine kwenye jimbo jingine la Ukraine la Mykolaiv, limesababisha watu 11 kujeruhiwa
Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi Ukraine
Shirika la nishati la serikali Naftogaz lilithibitisha shambulizi hilo likisema usambazaji wa gesi haukuathirika.
Poland: Urusi ijieleze baada ya kombora kukiuka usalama wake
Poland imesema kombora hilo lilikuwa ni miongoni mwa makombora yaliyorushwa na Urusi kuelekea Ukraine.
Putin aashiria Ukraine imehusika shambulizi la Moscow
Putin aashiria Ukraine imehusika shambulizi la Moscow
Urusi yasema imekidhibiti kijiji kimoja karibu na Bakhmut
Vikosi vya Urusi vimesema vimekiteka kijiji kimoja kilichopo magharibi mwa mji wa Bakhmut nchini Ukraine.
Kremlin yaitaja operesheni yake nchini Ukraine kuwa ni vita
Hadi kufikia sasa, ikulu ya Kremlin ilikuwa imesisitiza kuwa mashambulizi nchini Ukraine yalikuwa operesheni ya kijeshi.
Droni 60 na maroketi 90 ya Urusi yaishambulia Ukraine
Mamlaka nchini Ukraine imearifu kuwa shambulio la leo ni kubwa zaidi kwa miundombinu ya nishati ya Ukraine .
Urusi yafanya mashambulizi makali ya makombora Ukraine
Wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine imesema mashambulizi hayo yamesababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 14.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 33 wa 85
Ukurasa unaofuatia