You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
Ukraine nayo ilirusha zaidi ya droni 60 upande wa kusini mwa Urusi, huku Moscow ikisema kuwa lilikuwa shambulizi baya.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa nchini Ukraine
Jeshi la Ukraine limesema Urusi ilifyetua makombora 34 ambapo 21 kati yao yalidunguliwa.
Kiev yahamisha wagonjwa ikihofia mashambulizi ya Urusi
Urusi liivamia Ukraine mapema mwaka 2022 na tangu hapo wameendelea kushambuliana kwa kila namna.
Uhispania yapanga kutuma mfumo wa ulinzi wa anga Ukraine
Uhispania yajibu shinikizo la kutuma msaada zaidi wa kijeshi kwa kiev lililotolewa na EU pamoja na Jumuiya ya NATO.
China yaionya Marekani juu ya masuala hasi baina yao
China na Marekani wamekuwa katika majadiliano ya mara kwa mara yanayolenga kusuluhisha tofauti baina yao.
Uingereza yaiomba Ujerumani kuipatia Ukraine makombora
Ujerumani ina wasiwasi kwamba mzozo kati ya Urusi na Ukraine utaongezeka ikiwa itaipatia Kyiv makombora ya Taurus.
Ukraine yatumia makombora ya masafa marefu
Marekani inaharakisha kutuma silaha na vifaa vingine vya kivita nchini Ukraine.
Lukashenko atoa wito wa mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine
Kiongozi wa Belarus ambaye ni mshirika wa Putin amesema hali ya sasa ya mkwamo inaruhusu kuanza kwa mazungumzo ya amani.
Macron kuihamasisha tena Ulaya kuacha kuitegemea Marekani
Ulaya imekuwa ikishirikiana kwa kiasi kikubwa Marekani kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Ujerumani, Uingereza kuendelea kuisaidia Ukraine
Viongozi wa Ujerumani na Uingereza wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine
Msaada wa dola bilioni 61 wapitishwa kwa Ukraine
Rais Joe Biden amesema atausaini muswada huo mara tu utakapofika kwenye meza yake
Timur Ivanov akamatwa kwa madai ya rushwa, Urusi
Iwapo atapatika na hatia, Ivanov anakabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela.
Marekani yaidhinisha msaada kwa Ukraine, Taiwan na Israel
Rais Zelensky ameipongeza hatua hiyo ambayo inalenga kulisaidia taifa lake kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Marekani yaidhinisha msaada kwa Ukraine
Muswada huo umeidhinisha pia fedha za msaada wa kibinaadamu unaohitajika kwa Gaza, Sudan na Haiti.
Duda: Poland iko tayari kupokea silaha za nyuklia za NATO
Mwaka jana, Urusi ilituma makombora ya kimkakati ya nyuklia huko Belarus
Marekani yaidhinisha msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine
Baraza la wawakilishi la Marekani kwa kupitisha msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 61 za Kimarekani kwa ajili ya Ukraine. Je wachambuzi wanaitathmini vipi hatua hiyo? Sikiliza uchambuzi wake Profesa David Monda, akiwa mjini New York.
SIPRI: Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani
Katika Mataifa ya Afrika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliongeza matumizi yake kwa asilimia 105
Ukraine yaishukuru Marekani kwa msaada wa Kijeshi
Ukraine, viongozi wa mataifa ya magharibi walipongeza bunge la wawakilishi la Marekani kwa msaada wa kijeshi
Viongozi wa EU kujadili kuhusu ulinzi wa anga wa Ukraine
Mawaziri hao wanatazamiwa pia kujadili vita vinavyoendelea nchini Sudan na Mashariki ya Kati.
Ukraine yasifu Bunge la Marekani kuidhinisha msaada mpya
Viongozi wa Ukraine na washirika wameukaribisha msaada wa kijeshi uliopitishwa na Baraza la Wawakilishi la Marekani.
Bunge la Marekani kupigia kura miswada ya msaada
Kura ya miswada ya misaada kufanyika baadaye leo.
Zelensky atembelea maeneo ya mapigano makali Ukraine
Zelensky atembelea maeneo yenye kukabiliwa na mapigano makali Ukraine wakati jeshi lake likikabiliwa na uhaba wa silaha.
G7 wahofia vifaa vya kijeshi vya China kwa Urusi
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi za G7 wameonesha wasiwasi kwa kampuni za China kuipelekea Urusi vifaa vya kijeshi.
Watu 9 wauawa Ukraine katika shambulizi la Urusi
Mapema wiki hii watu 18 waliuawa katika shambulio katika mji wa kaskazini wa Chernegiv.
Wanachama wa NATO watakiwa kuitikia wito wa Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz asema hakuna sababu kwa NATO kutopeleka mifumo ya ulinzi wa anga Ukraine.
Marekani yaihakikishia Ukraine kupata msaada wa kijeshi
Waziri Mkuu wa Ukraine Denys Shmyhal amekaribisha mwelekeo mzuri kuhusu msaada wa kijeshi wa Marekani.
Dunia imeusahau mgogoro wa Kongo kwa ya Ukraine, Gaza - Turk
Turk amesema dunia inasahau vurugu zinazoongezeka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck awasili Ukraine
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa mataifa ya G7 wapo nchini Italia kujadili namna ya kuisaidia Ukraine
Naibu Kansela wa Ujerumani afanya ziara ya ghafla Ukraine
Habeck ameitembelea Ukraine kujadiliana hatua za kulijenga upya taifa hilo kufuatia uvamizi wa Urusi.
Jeshi Ukraine limeshambulia uwanja wa ndege Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema jeshi lake limeshambulia uwanja wa ndege mkubwa wa Urusi wa Dzhankoi.
Zelensky atoa wito wa mshikamano baada ya shambulio la Urusi
Wito huo unafuatia shambulio la kombora la Urusi mjini Chernihiv na lililosababisha vifo vya watu wasiopungua kumi.
Zelensky ataka NATO kujadili ulinzi wa anga wa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema Waukraine wana haki ya kulindwa dhidi ya ugaidi.
Scholz aishinikiza China juu ya uvamizi wa Urusi Ukraine
Kansela wa Ujerumani aishinikiza China kuhusiana na uvamizi wa Urusi kule Ukraine
Vita vya Ukraine kuongeza mpasuko kati ya Urusi na Japan
Ukraine imesema Japan imekuwa ikifadhili misaada mbalimbali huku ufadhili wake ukiwa ni mkubwa zaidi kwa mwaka 2024.
Scholz akutana na Rais Xi siku ya mwisho ya ziara yake China
Kansela Scholz anatarajiwa pia kukutana na Waziri Mkuu wa China, Li Qiang kuzungumzia mzozo unaondelea wa Taiwan
Zelensky ataka Ukraine isaidiwe kama inavyosaidiwa Israel
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amewahimiza washirika wake kuonyesha “mshikamano au umoja” kwa Ukraine.
Halmashauri ya UIaya yaidhinisha mipango ya meguzi ya Kiev
Halmashauri hiyo imetoa tathmini chanya ya mageuzi mapana ya Ukraine na mkakati wa uwekezaji kwa miaka minne ijayo.
Scholz na Xi kujadili juu ya China kuisaidia Urusi kijeshi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atazungumza na rais wa China Xi Jinping dhidi ya kutoa msaada wa kijeshi kwa Urusi.
Ukraine yaomba misaada ziada ya kijeshi kuikabili Urusi
Ukraine imewaomba kwa mara nyengine tena washirika wake kuipa mifumo ya ulinzi, ili kuisaidia kujilinda.
Urusi: Ukraine imeshambulia Zaporizhzhia na kuuwa watu 16
Zaporizhzhia ni moja ya mikoa minne ya Ukraine iliyonyakuliwa kinyume cha sheria na Urusi.
Ujerumani kuipatia Ukraine mfumo wa ziada wa ulinzi wa anga
Ujerumani imetangaza kwamba itaipatia Ukraine mfumo wa ulinzi wa anga wa nyongeza chapa Patriot.
Mkuu wa majeshi Ukraine asema "hali ni mbaya uwanja wa vita"
Mkuu wa majeshi wa Ukraine, amesema hali kwenye mstari wa mbele wa mapambano mashariki mwa nchi yake imezidi kuwa mbaya.
Moscow na Kyiv zalaumiana kila upande kufanya hujuma
Madai hayo ya Urusi yanakuja wakati Ukraine ikisema mashambulizi ya droni ya Moscow yamepiga kituo chake cha kufua umeme
Kyiv yaidhinisha mswada wa kuwaajiri watu jeshini
Rais Zelensky amezihimiza nchi za Magharibi kutoyafumbia macho mashambulizi ya angani ya Urusi
Ukraine yasema imeanza utengenezaji wa makombora
Hayo yanajiri wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi kwenye mikoa ya Kharkiv na Odessa kwa makombora.
Ukraine na Uingereza zatia saini makubaliano ya ushirikiano
Waziri wa sera za kibiashara wa Uingereza, amesema anatumai makubaliano hayo yataleta mafanikio kwa Ukraine
Cameron awasili Washington kujadiliana Ukraine, Gaza
Ziara ililenga kuwashinikiza wabunge wa Marekani kuidhinisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine na pia vita vya Gaza.
Marekani yaionya China dhidi ya ushindi wa Urusi, Ukraine
Marekani imekuwa ikitishia kuiwekea vikwazo Beijing ikiwa itachukuwa hatua za kuisaidia Urusi.
Zelensky alalamikia kutopewa silaha na Magharibi
Zelensky bado ana matumaini kuwa Ujerumani itaipatia nchi yake makombora ya masafa marefu chapa ya Taurus
Shambulizi la droni lashambulia kinu cha nyuklia Ukraine
Zelenskyy asema Marekani isipotoa msaada huo Ukraine itapoteza vita dhidi ya Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 32 wa 85
Ukurasa unaofuatia