You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky: Hali ya utulivu imeanza kurejea Kharkiv
Zelensky amesema: "Dunia ina nguvu, ina silaha, ina uwezo wa kuilazimisha Urusi kurejea kwenye amani ya haki."
Urusi yaendeleza mashambulizi zaidi kwa Ukraine
Katika mji wa kharkiv nchini Ukraine takriban watu 8,000 wamehamishwa wiki hii kutokana na mashambulizi ya Urusi.
Marekani yatangaza kitita kipya cha msaada kwa Ukraine
Tangazo la msaada huo limetolewa na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken mwishoni mwa ziara yake Kyiv.
Wanajeshi wa Ukraine waondolewa kutoka kaskazini-mashariki
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema imefanikiwa kuyadungua makombora 10 yaliyorushwa na Ukraine.
Ukraine yaondoa vikosi vyake maeneo ya uwanja wa vita
Jeshi la nchi hiyo limeondoa vikosi katika maeneo ya Lukyantsi na Vovchansk ili kuokoa maisha na uharibifu wa mali.
Putin aunga mkono mpango wa China wa kuutatua mzozo Ukraine
Putin amesema Urusi bado imeacha milango ya mazungumzo wazi ili kuutatua mzozo.
Belousov: Kipaumbele ni kupata ushindi dhidi ya Ukraine
Ni nadra sana kwa Urusi kuzungumzia juu ya hasara iliyopata katika mzozo huo na Ukraine.
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Viongozi wa Nordic wataka kuisadia zaidi Ukraine kivita
Viongozi wa mataifa ya Ukanda wa Nordic waunga mkono hatua ya kuisadia zaidi Ukraine kupambana dhidi ya Urusi
Blinken: Msaada wa kijeshi kwa Ukraine utawasili karibuni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amewasili mjini Kyiv kuonesha uungwaji mkono kutoka Washington.
Scholz: Tutaendelea kuiunga mkono Ukraine kwa muda wote
Ujerumani inajiandaa kuipa Ukraine mfumo mwengine wa ulinzi wa anga aina ya Patriot.
Hujuma za Urusi zaendelea kuutikisa mji wa Kharkiv
Urusi imeendelea na mashambulizi ya ardhini dhidi ya Ukraine, katika eneo la Kharkiv.
Zelensky asema jeshi lake liko katika vita 'vikali' mpakani
Rais Zelensky amesema vikosi vyake vinapambana vikali katika maeneo mawili ya mipaka dhidi ya mashambulizi ya Urusi.
Maelfu ya watu wakimbia Kharkiv kutokana na mashambulizi
Tangu mwezi Machi, Urusi imezidisha mashambulizi nchini Ukraine na kulenga miundombinu ya nishati na makaazi ya watu.
Watu 17 wajeruhiwa katika shambulizi la Ukraine nchini Urusi
Kombora la Ukraine aina ya Tochka-U, lililenga eneo la makazi mjini Belgorod baada ya kudunguliwa na mifumo ya ulinzi.
Urusi yadai kukamata vijiji sita mashariki mwa Ukraine
Urusi imesema leo kuwa imeviteka vijiji sita mashariki mwa Ukraine wakati wa mashambulizi ya kushtukiza.
Mamia ya watu wahamishwa kutoka mpaka wa Ukraine
Taarifa ya mashambulizi imetolewa na gavana wa Kharkiv Oleg Synegubov.
Jeshi la Urusi laingia katika mkoa wa Kharkiv nchini Ukraine
Ukraine ilifanikiwa kuvirejesha nyuma vikosi vya Urusi kutoka eneo kubwa la Kharkiv mwishoni mwa 2022.
Zelensky amfuta kazi mlinzi baada ya jaribio la kumuuwa
Amri ya Zelensky ya kumwachisha kazi Sergiy Leonidovich haikutaja sababu ya hatua hiyo wala atakayeichukua nafasi yake
Putin: Urusi haitaruhusu vitisho
Rais Vladmir Putin ameyatahadharisha mataifa ya magharibi kuacha kuhatarisha dunia kuingia kwenye mzozo.
Mashambulizi ya Urusi yauwa wawili Nikopol
Mashambulizi ya Urusi yamewauwa watu wawili Nikopol, wakati Urusi imeripoti watu 8 wamejeruhiwa Belgorod.
Urusi yalaumu Magharibi kwa mzozo kati yake na Ukraine
Urusi imerejelea kauli iliyotolewa na mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borell.
Ukraine yasema imedungua droni 59 na makombora ya Urusi
Jeshi la Ukraine limesema kuwa Urusi ilifanya mashambulizi 76 ya anga, kwa kutumia makombora 55 na droni 21
Ukraine yadai kutibua njama ya Urusi kumshambulia Zelensky
Ukraine imesema imebaini njama ya Urusi ya kufanya shambulizi dhidi ya Rais Volodymyr Zelensky.
Rais Vladimir Putin ala kiapo cha awamu ya tano ya urais
Mataifa mengi ya Magharibi hayakupeleka wawakilishi kwenye uapisho huo kutokana na mzozo baina yao na Urusi.
Xi: China ´isichafuliwe jina´ kutokana na mzozo wa Ukraine
Rais wa Xi Jinping wa China ameonya dhidi ya nchi yake ´kupakwa matope´ kutokana na mzozo wa Ukraine.
Macron: China itumie ushawishi wake kusitisha vita Ukraine
Rais Xi atatembelea pia mataifa ya Serbia na Hungary.
Putin aamuru mazoezi ya silaha za nyuklia karibu na Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza kufanyika kwa luteka za kijeshi zikihusisha silaha za nyuklia karibu na Ukraine.
Shambulizi la Droni la Ukraine laua watu 6 Urusi
Shambulizi la droni la Ukraine limewaua watu 6 na kuwajeruhi watu wengine 35 katika mkoa wa Urusi wa Belgorod.
Urusi yadai kuchukua udhibiti wa kijiji cha Ukraine
Jeshi la Urusi limedai kuchukua udhibiti kamili wa kijiji cha Ukraine cha Ocheretyne mkoaani Donetsk.
Makombora ya Urusi yaua watu wawili nchini Ukraine
Ukraine imesema imedungua droni 23 kati 24 ziliozorushwa na Urusi.
Urusi yadungua makombora manne yaliyotengenezwa na Marekani
Urusi yatangaza kufungua kesi ya uhalifu dhidi ya Volodymyr Zelenskiy na kumweka kwenye orodha ya watu wanaotafutwa.
Moto washuhudiwa Kharkiv baada ya mashambuzi ya Urusi
Ukraine imesema moto umezuka kufuatia mashambulizi usiku kucha ya makombora na droni za Urusi usiku wa kuamkia Jumamosi.
Wanajeshi 150,000 wa Urusi wameuawa katika vita vya Ukraine
Urusi haijachapisha taarifa zozote za uharibifu uliotokea katika vita hivyo vilivyoingia mwaka wa tatu.
Urusi yadai kusonga mbele Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imefanikiwa kuliweka chini ya himaya yake kikamilifu eneo la Berdychi.
Watu 13 wajeruhiwa Odessa kufuatia shambulio la Urusi
Watu 13 wajeruhiwa Odessa kufuatia shambulio la kombora la Urusi.
Makombora ya Urusi yauwa watu watano Ukraine
Watu watano wameuawa baada ya Urusi kufanya mashambulizi katika maeneo ya mashariki mwa Ukraine.
01.05.2024 : Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Kwanini Umoja wa Ulaya bado unaagiza gesi kutoka Urusi?
Ingawa gesi ya Urusi bado inatiririka kuelekea EU, mchango wake katika kiwango jumla cha uagizaji kimeshuka tangu 2021.
Mashambulizi ya Urusi yauwa wawili Kharkiv
Gavana wa jimbo la Kharkiv kaskazini mashariki mwa Ukraine amesema mashambulizi ya Urusi yameuwa watu wawili.
Urusi yayadunguwa makombora sita ya Marekani kutoka Ukraine
Urusi imesema kuwa imeyadungua makombora sita yaliyotolewa na Marekani kwa Ukraine.
NATO yashindwa kutimiza ahadi kwa Ukraine - Stolteberg
Stolteberg amekiri kuwa mataifa wanachama wa NATO hayajatimiza hadi sasa ahadi zao za msaada wa silaha kwa Ukraine.
Ukraine yazima mashambulizi ya Urusi
Kamanda wa jeshi la Ukraine amekiri kwamba hali ya nchi hiyo kwenye uwanja wa vita imezidi kuwa mbaya
Mkuu wa NATO asema Ukraine bado haijachelewa kushinda vita
Mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Jens Stoltenberg,amesema Ukraine "haijachelewa" kushinda vita dhidi ya Urusi.
Kutibu majeraha yaliosababishwa na vita Ukraine
Zaidi ya wanajeshi elfu ishirini waliojeruhiwa walifika katika hospitali ya Mechnikov katika eneo la Dnipro, tangu Urusi ilipoivamilia kikamilifu Ukraine mnamo Februari 2022. Daktari Valentyna Lisnycha katika hospitali hiyo inayotibu wanajeshi waliojeruhiwa vitani pamoja na timu yake wamejitolea kuokoa maisha ya askari.
Ukraine yadai kuzuia mkururo wa mashambulizi ya Urusi
Ukraine imedai kuwa imezuia mashambulizi 55 ya Urusi katika eneo la mashariki la Donetsk.
Korea kaskazini yaikosoa Marekani kwa msaada wake, Ukraine
Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Urusi waibua wasiwasi.
Ukraine: Hali ni mbaya katika mstari wa mbele wa vita
Urusi imepata ufanisi zaidi katika uwanja wa vita.
Moscow yadai kudhibiti kijiji cha mashariki mwa Ukraine
Kijiji hicho kinapatikana kilometa karibu 10 kaskazini mwa mji wa Avdiivka, uliodhibitiwa na Moscow mnamo mwezi Februari
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 31 wa 85
Ukurasa unaofuatia