You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelenskiy awataka viongozi wa dunia kumuunga mkono
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy anasema njia ya pekee ya kuvimaliza vita vinavyoendelea nchini mwake ni kupitia mkut
Zelensky aipongeza Marekani kwa kuondoa vikwazo vya silaha
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishukuru Marekani kwa msaada wake wa hivi karibuni kwa nchi yake.
Matangazo ya Mchana - 02.06.2024
Chama cha ANC Afrika Kusini chahitaji washirika kuunda serikali ya mseto. Zelensky akisikitshwa na baadhi ya viongozi kususia mkutano kuhusu amani ya Ukraine. Na kiongozi wa klabu ya Borussia Dortmund asema anajivunia timu yake licha ya kupoteza fainali ya kombe la mabingwa Ulaya.
Zelensky akerwa na viongozi kutohudhuria mkutano wa Uswisi
Kauli hiyo imekuja baada ya China kuashiria kuwa Xi Jinping hatahudhuria na huku Joe Biden bado hajathibitisha.
Zelenski awasili Singapore kushiriki Jukwaa la Shangri-La
Ziara inafanyika wakati Marekani ikiondoa vikwazo kwa muda vya utumiaji wa silaha zake kushambulia maeneo ya Urusi
Mizozo ya Ukraine na Gaza yatawala Jukwaa la Shangri-La
Mkutano wa masuala ya usalama unaowaleta pamoja maafisa wa ngazi ya juu wa ulinzi duniani umeingia siku ya pili.
Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine
Hayo yanajiri katika wakati Rais Volodomyr Zelensky akifanya safari mjini Singapore kusaka uungaji mkono wa kimataifa.
Marekani yaidhinisha Ukraine itumie silaha iishambulie Urusi
Ukraine na Urusi zimebadilishana wafungwa wa vita, huku rais Volodymyr Zelensky
Stoltenberg apuuza vitisho vya Urusi, aomba Ukraine ilindwe
Jumuiya ya NATO imekuwa ikiisaidia Ukraine kijeshi katika vita vyake nchini Ukraine.
31.05.2024: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Biden aipa Ukraine idhini kutumia silaha zake dhidi ya Urusi
Ukraine yasema vizuizi vya matumizi ya silaha vyaiweka nchi hiyo katika hali ngumu.
Ukraine itashinda vita iwapo itaendelea kupata msaada
Stoltenberg asema Ukraine inaweza kuishinda Urusi iwapo msaada wa washirika utaendelea
Mawaziri wa kigeni wa NATO wakutana Jamhuri ya Czech
Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wa NATO wanakutana jamhuri ya Czech leo.
Pistorius asifu mafunzo ya vikosi vya Ukraine, Ujerumani
Kufikia sasa, Ujerumani imeipa Ukraine mifumo miwili ya ulinzi wa anga ya Patriot na makombora husika.
Hofu ya kutanuka kwa vita vya Urusi na Ukraine yaongezeka
Hivi karibuni, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonyesha utayari wa kutuma wanajeshi wa nchi yake nchini Ukraine iwapo serikali ya Volodymr Zelenskiy itaomba msaada huo. Kauli yake imezua wasiwasi juu ya kutanuka kwa mzozo kati ya Urusi na Ukraine. Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa na mwandishi mstaafu wa DW Kiswahili Abdul Mtullya kuhusu wasiwasi huo.
Mwaziri wa EU washindwa kufikia makubaliano kuhusu Ukraine
Serikali ya mjini Kiev inasisitiza kwamba wanajeshi wake wanahitaji kuruhusiwa kushambulia ndani ya Urusi
Macron na Scholz wazungumzia mzozo wa Ukraine
Viongozo hao walikutana kwa mazungumzo katika kasri la Meseburg karibu na mji mkuu Berlin (28.05.2024)
Ulaya yagawanyika Ukraine kutumia silaha za magharibi Urusi
Nchi za Umoja wa Ulaya zilikuwa tayari zimekubali kwa pamoja kutoa msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Putin aonya juu ya kuwepo wanajeshi wa Ufaransa huko Ukraine
Vladimir Putin aonya kuwa kuwepo kwa majeshi ya Ufaransa ni hatua nyengine ya kuchochea mgogoro wa kimataifa Ukraine.
Zelensky atia saini makubaliano ya kiusalama na Ubelgiji
Volodymyr Zelensky wa Ukraine ametia saini Jumanne makubaliano ya kiusalama ya muda mrefu na Waziri Mkuu wa Ubelgiji.
Zelensky awahimiza washirika kuongeza shinikizo kwa Urusi
Aliyasema hayo wakati wa ziara yake mjini Madrid, Uhispania, ambayo iliahidi dola bilioni moja katika msaada wa kijeshi.
Uhispania yaahidi kuipa Ukraine mifumo ya kujilinda angani
Zelensky yuko nchini Uhispania kwa ziara ya kutafuta uungaji mkono wa mataifa washirika wa magharibi.
Rais Macron aanza ziara rasmi ya siku tatu Ujerumani
Macron anatarajiwa kusisitiza umuhimu wa kihistoria wa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili muhimu ya Umoja wa Ulaya.
Zelenskiy atoa wito kwa Biden na Xi kushiriki mkutano
Zelenskiy na washirika wake wanasema makubaliano hayo ya kusitisha vita yataisaidia Urusi kujipanga upya.
Moscow yadai kukikamata kijiji kingine cha Donesk
Ukraine inakabiliwa na hali mbaya ya kivita kutokana na upungufu wa silaha na mazingira magumu.
Mkutano wa G7 wajadili vita vya Ukraine na Gaza
G7 kuipatia Ukraine msaada kwa kutumiua mapato ya Urusi yaliyozuiwa, na Israel isisitishe mifumo ya benki na Palestina.
G7 kuisaidia Ukraine kwa kutumia mali za Urusi ilizozizuia
Kundi la G7 limezuia mali za Urusi zenye thamani ya dola bilioni 300.
NATO yaitaka China kuchagua, ama magharibi au Urusi
Kuna ongezeko kubwa la mauzo ya vifaa vya mashine na teknolojia nyingine ambazo Moscow inazitumia kutengeneza makombora
Putin asema Zelenskiy hana uhalali baada ya muda wake kuisha
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema jana kuwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy hana tena uhalali wa kuwa rais.
Mataifa ya G7 kutathmini mkopo kwa Ukraine
Mataifa ya G7 kutathmini mkopo kwa Ukraine na sera ya kiviwanda ya China
Mawaziri wa fedha wa G7 wakutana Italia
Mawaziri wa fedha wa G7 wameanza mkutano wa siku mbili nchini Italia kujadili haja ya kuipa Ukraine mkopo.
Urusi yasema IS ilihusika na shambulizi la Moscow
Urusi yasema Dola la Kiislam lilihusika na shambulizi la Moscow.
Yellen ahimiza mipango kabambe kwa mali za Urusi
Waziri wa fedha wa Marekani amewataka mawaziri wenzake kutoka mataifa ya G7 kutumia fedha za Urusi kuisaidia Ukraine.
Ukraine yaamuru kuwachiwa wafungwa wa kwanza kutumikia jeshi
Ukraine imeanza kuwaachia wafungwa wa kwanza waliokubali kutumikia jeshi chini ya mpango mpya wa kutoa msamaha kwa walio
Zelensky: Vikosi ya Ukraine vyapiga hatua dhidi ya adui
Ubelgiji imesema Ukraine na Moldova zinaweza kutarajia kuanza haraka kwa mazungumzo ya kujiunga na Umoja huo.
Baerbock aunga mkono msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine
Msaada zaidi kwa Ukraine wahimizwa
Zelensky: Ukraine inapiga hatua lakini hali bado ni ngumu
Kupitia hotuba yake ya kila siku, Zelensky hata hivyo ameonya kuwa hali bado ni ngumu sana uwanja wa vita.
Baerbock azuru kwa mara nyingine Ukraine
Hali katika uwanja wa vita Ukraine imezorota na Urusi inazidisha mashambulizi dhidi yake.
Finland kuwazuia watafuta hifadhi kuingia nchini humo
Serikali ya Finland imependekeza sheria mpya kuwazuia waomba hifadhi wanaovuka mpaka na kuingia katika ardhi yake kupiti
Waziri wa Ujerumani Baerbock ziarani Ukraine
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani Annalena Baerbock leo amekitembelea moja ya kituo kikubwa cha kufua umeme nchi
Zelensky: Urusi itaimarisha mashambulizi yake mjini Kharkiv
Kauli ya Zelensky ameitoa wakati alipofanya mahojiano maalum na shirika la habari la AFP.
Vikosi vya Urusi vyadai kutwaa udhibiti ngome ya Ukraine
Tangu mwanzoni mwa mwezi Mei vikosi vya Urusi vimefanya mashambulizi zaidi ya ardhini nchini Ukraine
Mashambulizi ya Urusi yawaua watu 11 mjini Kharkiv
Tangu Mei 10 vikosi vya Moscow vimefanya mashambulizi ya ardhini katika mkoa huo wa Kaskazini Mashariki mwa Ukraine.
Urusi yaendeleza mashambulizi nchini Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine inahitaji ndege za kivita karibu 100 ili kukabiliana na Urusi.
Putin: Hakuna mpango kuukamata mji wa Kharkiv kwa sasa
Rais Vladimir Putin amesema operesheni ya Kharkiv, yalenga kuunda eneo kinga, lakini hakuna mpango wa kuukamata mji huo.
Ukraine yashambulia Crimea kwa droni
Mashambulizi makubwa ya droni ya Ukraine kule Crimea mapema Ijumaa yamesababisha umeme kukatika, mji wa Sevastopol.
Ukraine yafanya mashambulizi ya droni katika eneo la Crimea
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema kuwa mfumo wa ulinzi wa anga umedungua droni 51 katika eneo la Crimea.
Rais wa Urusi afanya ziara nchini China
Xi amesema nchi yake inatarajia hivi karibuni, Ulaya itarejea kuwa katika hali ya amani na utulivu.
Putin aishukuru China kwa 'mipango' ya amani ya Ukraine
Moscow inasema iko tayari kwa mazungumzo na Ukraine lakini inasisitiza kuwa Kyiv lazima ikubali sharti la Urusi.
Zelensky: Mkoa wa Kharkiv umerejea katika hali ya utulivu
Urusi imekuwa ikizidisha mashambulizi yake katika maeneo ya kusini na kaskazini-mashariki mwa Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 30 wa 85
Ukurasa unaofuatia