You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ukraine, Ulaya wana matumaini na mkutano wa Trump na Putin
Viongozi wa Ulaya na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, hapo jana walifanya mkutano kwa njia ya mtandao na Trump.
Ukraine, Ulaya na Trump waungana kabla ya mkutano na Putin
Rais Trump ametoa onyo kwa Putin kuwa atakabiliwa na "hatua kali" ikiwa hatakubali kumaliza vita nchini Ukraine.
Merz: Mazungumzo na viongozi wa Ulaya yamekuwa ya manufaa
Viongozi wa Ulaya wanajaribu mumshawishi Rais Donald Trump kuhakikisha Ukraine haiathiriki na maamuzi ya kusaka amani
Zelenskiy akutana na Merz mjini Berlin
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amekutana kwa mazungumzo ya dharura na Kansela Friedrich Merz wa Ujerumani pamoja na
Ulaya, Zelensky kuongea na Trump kabla ya mkutano wa Alaska
Rais Donald Trump anajaribu kusaka suluhu ya amani katika mzozo kati ya Urusi na Ukraine
Trump, Putin kukutana Ijumaa mjini Anchorage
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov na mwenzake wa Marekani Marco Rubio wamefanya mazungumzo kabla ya mkutano
Rubio na Lavrov wazungumza kabla ya mkutano wa Alaska
Aidha mkutano wa Putin na Trump utafanyika katika mji wa Anchorage, Alaska.
Urusi na Belarus kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitoa onyo mapema mwaka huu kwamba Urusi inajitayarisha kushambulia kutoka Belarus.
Trump kukutana ana kwa ana na Putin
Trump atakutana na Putin kwa mara ya kwanza tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine miaka mitatu iliyopita.
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waiunga mkono Ukraine
Viongozi wa Ulaya wanaendelea kushinikiza kushirikishwa kwa Ukraine katika mazungumzo hayo.
Merz kuzungumza na Trump,Zelensky kabla ya mkutano wa Alaska
Merz atawashirikisha viongozi wengine wa Ulaya kutoka Ufaransa, Uingereza, Italia, Poland na Finland.
Ujerumani yaitisha mkutano wa video kuhusu Ukraine
Viongozi hao wanakiri kuwa ni vigumu kwa Moscow kuachia udhibiti wa maeneo ya Ukraine ambayo tayari inayashikilia.
Zelensky: 'Mapatano' hayataifanya Russia kumaliza vita
Zelensky aonya dhidi ya kuyakubali masharti ya Putin kabla ya mkutano kati ya Putin na Rais wa Marekani Donald Trump.
Marekani: Trump, Putin na Zelensky Kukutana Alaska?
Vance alieleza kuwa moja ya mafanikio makubwa ni kwamba Putin sasa yuko tayari kukutana na Zelensky,
Zelensky apata uungwaji mkono wa EU na NATO
Hata hivyo Ukraine imesisitiza kuwa hakuna makubaliano yoyote yatakayofanikiwa bila wao kushirikishwa.
Watatu wauawa Urusi kufuatia mashambulizi ya Ukraine
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi imedungua droni saba za Ukraine zilizokuwa zikielekea mji mkuu wa Urusi Moscow.
Zelenskiy awashukuru viongozi wa Ulaya kwa kumuunga mkono
Ukraine, yasisitiza kuwa amani haiwezi kuamuliwa bila ya kushirikishwa.
Mashambulizi ya Urusi yauwa watu watano Ukraine
Ukraine imesema duru mpya ya mashambulizi ya mizinga na droni kutoka Moscow imewaua watu watano.
Ulaya yashinikiza Ukraine ihusishwe juhudi za kumaliza vita
Viongozi wa Ulaya wamesisitiza hitaji la kuishinikiza Moscow kumaliza vita na kulinda maslahi ya Ukraine na Ulaya.
Trump yuko tayari kwa mazungumzo na Putin na Zelenskiy
Trump yuko tayari kuandaa mkutano wa kilele wa pande tatu na Vladimir Putin na Volodymyr Zelensky.
Zelensky: Nchi za Magharibi zichukue "hatua za wazi"
Zelensky ameyasema hayo Jumamosi alipofanya mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer.
Zelenskyy: Ukraine haitoachia ardhi yake kwa Urusi
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema makubaliano yoyote yatakayofikiwa bila kuihusisha Ukraine "yataambulia patupu".
Trump na Putin kukutana Ijumaa ijayo huko Alaska
Zelensky amesema hana mpango wowote wa kuachia sehemu yoyote ya ardhi ya nchi yake kwa Urusi.
Rais Xi wa China afanya mazungumzo na Rais wa Putin
Rais Donald Trump wa Marekani wanatarajiwa kufanya mazungumzo wiki ijayo ya kujaribu kuvimaliza vita nchini Ukraine
Watu watatu wajeruhiwa kwenye mashambulizi ya Urusi, Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na Rais Vladimir Putin wa Urusi kuhusiana na vita hivyo
Putin huenda akakutana na Trump wiki ijayo
Hakuna mkutano unaondaliwa kati ya Putin na Zelensky.
08.08.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Umoja wa Mataifa wapinga utanuzi wa vita katiak Ukanda wa Gaza. Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na rais wa Marekani Donald Trump wiki ijayo. Na Shirika la afya duniani WHO lasema visa karibu 100,000 vya maambukizi ya kipindupindu vimeripotiwa Sudan.
Zelensky: Mkutano wa Trump na Putin usaidie kumaliza vita
Vladmir Putin ameongeza kwamba mkutano kati yake na Trump unaweza kufanyika huko Umoja wa Falme za Kiarabu.
Trump na Putin kukutana karibuni
Ikulu ya Kremlin Alhamis imesema kuwa Rais Vladimir Putin wa Urusi na Donald Trump wa Marekani wamekubaliana kukutana k
07.08.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Baraza la mawaziri la Israeli kuamua leo kuhusu mpango wa kuudhibiti Ukanda wa Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump asema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin. Na Sudan yasema jeshi lake limeiharibu ndege ya Emarati na kuwaua wapiganaji 40 mamluki.
Trump asema huenda akakutana na Putin hivi karibuni
Trump alikuwa akijibu ni lini atakapokutana na marais wa Ukraine na Urusi.
Mjumbe wa rais wa Marekani akutana kwa mazungumzo na Putin
Mjumbe huyo wa Trump amekutana kwa mazungumzo na Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Mazungumzo ya Putin na Witkoff yalikuwa "muhimu"
Mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff amefanya mazungumzo "muhimu" na Rais wa Urusi Vladimir Putin Jumatano mjini Mosc
Putin afanya mazungumzo na Witkoff
Rais wa Urusi Vladimir Putin Jumatano amefanya mazungumzo na Mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff. Haya ni kulingana
NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine
NATO imeanza kuratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kutowa euro milioni 500.
Mmoja auawa na 10 wajeruhiwa katika shambulizi la Urusi
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10, wamejeruhiwa katika shambulizi kubwa zaidi la anga la Urusi, kwenye mji wa Lozova.
Trump: Witkoff kwenda Moscow hivi karibuni
Rais Donald Trump amekuwa akijaribu kusuluhisha mzozo wa Urusi na Ukraine tangu aliporudi madarakani
Witkoff kufanya ziara nchini Urusi
Ukraine imefanya shambulizi la droni jana ambalo lilisababisha moto kwenye ghala la mafuta huko Sochi, nchini Urusi.
Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow
Trump alimtaka Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8.
OPEC+ yakubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta
Muungano wa OPEC+ huzalisha karibu nusu ya mafuta duniani.
Putin: Urusi bado ina matumani ya mazungumzo ya amani
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa nchi yake bado inatarajia duru zaidi za mazungumzo ya amani.
Watu saba wauawa kwenye mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
Kampeni ya kijeshi ya Urusi imekuwa ikilenga sana maeneo ya mashariki na kusini mwa Ukraine.
Ukraine yailenga miundombinu ya Urusi kwa kutumia droni
Ukraine yailenga miundombinu ya Urusi katika wimbi jipya la mashambulizi ya droni
Putin: Tunatarajia mazungumzo zaidi na Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuiwekea Urusi vikwazo.
Ukraine yashambuliwa, vifo vyaongezeka hadi watu 31 Kyiv
Mashambulizi ya Urusi yameacha athari kubwa kwa raia huku wengi wakijeruhiwa na wengine wamepoteza makaazi yao.
Watu 31 wauawa Kiev kufuatia shambulio kubwa la Urusi
Takriban watu 160 wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi hayo.
Zelensky: Kuna haja ya kubadili utawala nchini Urusi
Rais huyo wa Ukraine ameongeza kuwa kuna haja ya kubadili utawala nchini Urusi.
Uswisi yawaghadhabisha wakosoaji wa Kremlin
Urusi bado inapigana vita na Ukraine tangu ilipoivamia mwanzoni mwa mwaka 2022.
Kremlin: Urusi imezoea kuishi chini ya vikwazo
Trump alisema Jumanne kuwa Marekani itaiwekea Urusi vikwazo vya kiuchumi ikiwa haitositisha vita ndani ya siku 10
Makombora ya Urusi yawaua wanajeshi watatu wa Ukraine
Hii ni mara ya nne ndani ya miezi mitano kwa kambi ya mafunzo ya kijeshi kushambuliwa na kusababisha maafa makubwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 84
Ukurasa unaofuatia