You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais Vladimir Putin aitolea msharti Ukraine ili amalize vita
Ukraine imeyapuuzilia mbali masharti hayo ya Urusi kwa kuwa bado ina mpango wa kujiunga na Jumuiya ya NATO.
Viongozi wakuu wa G7 wajadili uhamiaji
Wanaangazia njia za kukabiliana na usafirishaji watu pamoja na kuongeza uwekezaji katika mataifa wanakotokea wahamiaji.
NATO yajadili urasimishaji wa msaada kwa Ukraine
Mpango wa Ujumbe unaoitwa Msaada wa Usalama wa NATO na Mafunzo kwa Ukraine unatarajiwa kuungwa mono katika mkutano huo
14.06.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
G7 kukubaliana kuhusu mpango wa dola bilioni 50 kwa Ukraine
Viongozi wa G7 wamefikia makubaliano ya kuipa Ukraine dola bilioni 50 wakitumia mali za Urusi zinazozuiliwa.
NATO yaunga mkono ujumbe wa mafunzo na msaada kwa Ukraine
Jumuiya ya kujihami ya NATO yakutana kujadili msaada wa mafunzo kwa Ukraine pamoja na ahadi za muda mrefu za kifedha.
Mkutano wa kilele wa G7 unafungua pazia Italia
Viongozi wa kundi la mataifa ya G7 wamekusanyika nchini Italia kwa mkutano wa kilele wa siku tatu unaoanza leo.
Hungary yakubali kutopinga msaada wa NATO kwa Ukraine
Serikali ya Hungary imekubali kutopinga uungaji mkono wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO kwa Ukraine.
Ukraine yadungua makombora ya Urusi yaliyoulenga mji wa Kyiv
Jeshi la anga la Ukraine limedai kudungua droni zaidi ya 20 za Urusi.
Zelensky na Pistorius watembelea wanajeshi wa Ukraine
Zelensky na Pistorius watembelea wanajeshi wa Ukraine
Zelensky ahimiza Ukraine isigawanywe na Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz asema kupatikana amani Ukraine itabidi Putin aondoe majeshi yake.
Zelensky ahudhuria mkutano Berlin
Zelensky mjini Berlin kuhudhuria mkutano juu ya kuimarisha misaada ya kuichumi kwa ajili ya kuijenga upya nchi yake.
Mkutano wa kujadili amani ya Ukraine Uswisi utafanikiwa?
Viongozi mbalimbali watakutana nchini Uswisi, ili kujaribu kuweka njia kuelekea mchakato wa amani Ukraine.
Zelensky ahudhuria mkutano wa kuijenga upya Ukraine
Rais Zelensky anatarajiwa kulihutubia bunge la Ujerumani.
Vingozi wa nchi 7 tajiri kukutana Italia
Viongozi wa nchi 7 tajiri duniani kukutana nchini Italia mnamo wiki hii, katika muktadha wa mivutano duniani.
Zelensky apuuza taarifa za Urusi kuteka kijiji mkoani Sumy
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amepuuzilia mbali taarifa za Urusi kukiteka kijiji katika mkoa wa Sumy.
Jeshi la Ukraine ladai kuharibu mifumo ya ulinzi ya Urusi
Kwa miaka miwili Urusi imeivamia Ukraine ambayo bayo ilianzisha mashambilizi ya anga na meli za kijeshi za Urusi.
Belarus yasema inaungana na Urusi kwenye luteka za kijeshi
Hatua ya kwanza ya luteka za kijeshi zilifanyika kusini mwa Urusi mwezi uliopita wa Mei.
Habeck: Euro 2024 ni zawadi kwa Ujerumani
Ujerumani ni mwenyeji wa Michuano ya Euro ya mwaka 2024 inayofanyika kwenye miji 10.
Mashambulizi ya Ukraine yaua watu 28, Kherson na Luhansk
Ukraine na Urusi zote zimeendelea kushambuliana kwa droni katika mashambulizi ya usiku kucha.
Kansela Scholz asisitiza uungaji mkono kwa Ukraine
Kuelekea uchaguzi wa bunge la Ulaya wa Jumapili Ujerumani, kura za maoni zinaonesha SPD itapata asilimia 15 ya kura.
Wapiga kura barani Ulaya washiriki uchaguzi wa bunge
Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vinatafuta uungwaji mkono zaidi katikati mwa ongezeko la gharama za maisha.
Ufaransa kuifunza Ukraine kutumia ndege za kivita za Mirage
Ufaransa na mataifa mengine yanakubaliana kupeleka misaada zaidi ya kijeshi nchini Ukraine.
Ufaransa kutoa mafunzo ya kutumia ndege za kivita za Mirage
Ufaransa na mataifa mengine yanakubaliana kupeleka misaada zaidi ya kijeshi nchini Ukraine.
Zelensky aisihi Ulaya kutochoka kuisadia Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky katika hotuba yake kwenye bunge la Ufaransa, aiomba Ulaya kutochoka kuisadia Ukraine
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Rais Emmanuel Macron kufanya mazingumzo na rais Zelensky
Rais Emmanuel Macron atarajia kuwa na mazungumzo na rais Zelensky katika kasri la Elysee.
07.06.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa nyingine za ulimwengu asubuhi hii ni Marekani kuipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wa dola milioni 225. Jeshi la Sudan laapa kujibu vikali shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa RSF na kuwaua watu zaidi ya 100 na Chama Tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Sikiliza zaidi.
Meli nne za kivita za Urusi kuwasili Havana wiki ijayo
Marekani imesema inafuatilia kwa karibu tangazo hilo na kuwasilia kwa manowari hizo za kijeshi za Urusi.
Marekani kuipatia Ukraine msaada mpya wa dola mil. 225
Marekani hivi karibuni iliipa idhini Ukraine kutumia silaha zake kushambulia ndani ya Urusi.
Ukraine yaamuru watu kuhamishwa maeneo ya mkoa wa Donetsk
Gavana wa mkoa wa Donetsk, amesema hatua hiyo ni uamuzi muhimu uliochukuliwa, kimsingi kuokoa maisha ya watoto.
Putin asema Urusi huenda ikashambulia nchi za Magharibi
Putin amesema nchi za Magharibi haziwezi kutaka kuipa nchi yake matatizo na kuitarajia kukaa kimya.
Viongozi wa Magharibi wakusanyika kukumbuka D-Day
Maadhimisho hayo yanafanyika wakati vita vipya vimeligubika bara la Ulaya kutokana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
06.06.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya habari za ulimwengu zilizovuma zaidi asubuhi ya leo.
Putin atishia kushambulia magharibi kupitia mataifa mengine
Putin amesema tena kuhusu utayari wa kutumia sialaha za nyuklia ikiwa kutakuwa na kitisho chochote kwenye eneo lake.
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ataka jeshi kujiandaa na vita
Ujerumani ilisitisha mfumo wa kujiunga jeshini kwa hiyari mwaka 2011 lakini karibu nusu yao wanataka urejeshwe.
Putin atishia kushambulia Magharibi kupitia mataifa mengine
Marekani na Ujerumani waliiruhusu Ukraine kutumia makombora waliyoipatia kushambulia baadhi ya maeneo ndani ya Urusi.
Ukraine yadai kudungua droni 22 za Urusi
Ukraine yadai kudungua droni 22 za Urusi
NATO yaikosoa China kwa kususia mkutano wa amani kwa Ukraine
Mkuu wa NATO aikosoa China kwa kususia mkutano wa amani kwa Ukraine
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka jeshi Ukraine
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka wanajeshi Ukraine
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Ujerumani watoka sare ya kutofungana na Ukraine
Ujerumani watoka sare ya kutofungana na Ukraine huku Mbappe akijiunga na Madrid
Ukraine yawahimiza washirika wake kupatiwa silaha zaidi
Urusi yaionya Ufaransa juu ya mpango wake wa kuwapeleka wakufunzi wa kijeshi nchini Ukraine
Italia kuipatia Ukraine mfumo wa ulinzi wa anga na silaha
Serikali ya Ukraine imesema Italia itaipatia nchi hiyo mfumo mwingine wa ulinzi wa anga.
ICC na wafanyakazi wake walengwa na visa vya ujasusi
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC na wafanyakazi wake imekuwa ikilengwa na visa vya ujasusi.
Scholz: Hakuna hatari Ukraine kushambulia ndani ya Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf scholz amesema haoni hatari yoyote katika kubadilika kwa msimamo wake hivi karibuni kuhusiana
Zelensky afanya ziara Ufilipino kusaka uungwaji mkono
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekutana na mwenzake wa Ufilipino Ferdinand Marcos mjini Manila.
Ukraine kuomba idhini pana ya kushambulia ndani ya Urusi
Ukraine imesema itawarai washirika wake kuvipa vikosi vyake uhuru zaidi wa kushambulia maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.
Zelensky aishukuru Ufilipino kuelekea mkutano wa amani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemshukuru Rais wa Ufilipino kwa kukubali kuhudhuria mkutano ujao wa amani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 29 wa 85
Ukurasa unaofuatia