You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yawahamisha raia wake kutoka eneo la Kursk
Urusi imewahamisha maelfu ya raia wake kutoka eneo la Kursk lililovamiwa na wanajeshi wa Ukraine wiki moja iliyopita.
Kampuni nyingi Ujerumani zinafikiria kuhamia nje ya nchi
Chama cha Viwanda na Biashara Ujerumani (DIHK) kimesema sababu kubwa ni bei ya juu ya nishati na gharama za uzalishaji.
Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana
Ukraine imefanya mashambulizi mapya ya droni siku ya Jumanne katika eneo la Kursk la Urusi, linalopakana na Ukraine.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa ndege za droni 38
Urusi imeongeza mashambulizi yake katika eneo la kaskazini tangu Ukraine ilipoanza uvamizi wake katika eneo la Kursk.
Putin asema Ukraine itapokea jibu stahiki uvamizi Kursk
Kamanda wa kijeshi wa Ukraine anasema vikosi vyake vinadhibiti karibu mita za mraba 1,000 za ardhi ya Urusi.
Putin: Mashambulizi ya Ukraine hayatazima oparesheni yetu
Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema Ukraine haitafanikiwa kuteteresha amani yake licha ya mashambulizi ya kushtukiza.
Putin aamuru jeshi kuwang'oa mpakani askari wa Ukraine
Ukraine inaendesha operesheni kubwa ndani ya mipaka ya Urusi tangu Moscow ilipoivamia nchi hiyo miaka miwili iliyopita.
Urusi yaamuru wakaazi wa Kurski kuuhama mkoa huo wa mpakani
Urusi inapambana kurejesha udhibiti kamili wa Kursk baada ya vikosi vya Ukraine kuingia kwenye ardhi hiyo ya Urusi.
Jeshi la Urusi lakiri Ukraine iliwashika pabaya Kursk
Urusi na Ukraine pia zimeshtumiana kuhusika na shambulio dhidi ya mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia.
Watu wawili wauawa Kyiv kufuatia mashambulizi ya Urusi
Mkuu wa utawala wa kijesi katika mji mkuu wa Kyiv Serhii Popko amesema ni mara ya pili kwa mji huo kulengwa.
Belarus yatuma wanajeshi wake mpakani na Ukraine
Kamanda mkuu wa jeshi ameamuru wanajeshi kupelekwa katika maeneo ya kimkakati ili kujibu uchokozi wa aina yoyote.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa madai ya kuanzisha uchokozi
Chini ya sheria ya Urusi vikosi vya usalama na wanajeshi hupewa mamlaka kamili kupambana na matukio ya ugaidi.
Vladimir Putin aitawala Urusi kwa miaka 25
Putin amekuwa akisema kuwa Urusi ilikuwa na ingesalia kuwa nguvu kubwa huku akijaribu kuijenga upya Urusi.
Mali yamfukuza balozi wa Sweden
Mali imemtaka balozi wa Sweden kuondoka mara moja baada ya matamshi mabaya dhidi ya Bamako.
Urusi yatuma vifaru kusini kukabiliana na Ukraine
Urusi imetuma vifaru zaidi, makombora na mifumo ya ulinzi kwenye mkoa wake wa kusini wa Kursk.
Ukraine yaushambulia uwanja wa ndege Urusi
Jeshi la Ukraine limesema limeushambulia usiku wa kuamkia leo uwanja wa ndege wa jeshi la Urusi mjini Lipetsk, karibu ki
Ukraine inaendeleza mashambulizi yake dhidi ya Urusi
Volodymyr Zelensky, amesema ni lazima Urusi ihisi matokeo ya Uvamizi wake.
Urusi yakabiliana na Ukraine kwa siku ya tatu mfululizo
Kwa siku ya tatu mfululizo, wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakipambana na vikosi vya Ukraine kwenye mkoa wa mpakani wa Kurs
Urusi bado yapambana na wanajeshi wa Ukraine waliovuka mpaka
Wanajeshi wa Urusi wanakabiliana na wa Ukraine katika mkoa wa mpakani wa Kursk katika siku ya tatu.
Ukraine yasikitishwa na kuvunjika uhusiano na Niger
Ukraine imesema leo kuwa imesikitishwa na uamuzi wa Niger kuvunja mahusiano ya kidiplomasia.
Uagizaji gesi ya Urusi nchini Ufaransa waongezeka maradufu
Usafirishaji wa gesi asilia kutoka Urusi kwenda Ufaransa umeongezeka zaidi ya maradufu nusu ya kwanza ya mwaka huu.
Vikosi vya Ukraine vyasonga mbele ndani ya ardhi ya Urusi
Taasisi ya Utafiti wa Vita yenye makao yake Marekani imeelezea Alhamisi juu ya mzozo kati ya Ukraine na Urusi.
Vikosi vya Ukraine vyajipenyeza ndani ya Urusi
Urusi inakabiliana na vikosi vya Ukraine baada ya vikosi hivyo kufanikiwa kujipenyeza ndani ya mpaka wa kusini.
Urusi yapambana na wanajeshi wa Ukraine waliovuka mpaka
Majeshi ya Urusi yanapambana na vikosi vya Ukraine vilivyouvamia mji wa mpakani wa Kursk uliopo magharibi mwa Urusi.
Ukraine yaikosowa Mali kukata mahusiano
Ukraine imekosoa uamuzi wa Mali wa kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Kyiv na kuuita kama “uamuzi usiiona mbali”
Mali yatangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine
Uamuzi huo ni baada ya Mali kuituhumu Ukraine kuhusika katika mapigano kati ya jeshi lake na waasi wanaotaka kujitenga.
Mali yasema inavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine
Mapigano hayo yalisababisha mauaji ya wanajeshi wa Mali na wapiganaji mamluki wa kundi la Wagner la nchini Urusi.
Ukraine yaanza kuzijaribu ndege za kivita za chapa F-16
Kyiv imekuwa ikisubiri kwa muda mrefu kuwasili kwa ndege hizo za kivita chapa F-16 zilizotengenezwa Marekani.
Urusi, Ukraine zaendelea kushambuliana
Urusi, Ukraine zaendelea kushambuliana
Zelensky: Ndege za kivita za Urusi ni lazima ziharibiwe
Rais wa Ukraine amesema Urusi imeishambulia nchi yake kwa makombora yanayopindukia 600 katika kipindi cha wiki moja.
Urusi yaishambulia mikoa tisa ya Ukraine kwa droni
Wiki hii Ukraine iliyazuia moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya droni za Urusi tangu Februari 2022.
Ukraine yapokea miili 250 ya wanajeshi wake waliokufa vitani
Ukraine yapokea miili ya wanajeshi wake
Ukraine yapokea ndege za kivita chapa F-16 kutoka Marekani
Ukraine imepokea ndege kadhaa za kivita chapa F-16 kutoka marekani ili kuisaidia Ukraine katika mzozo wake na Urusi
Urusi yadaiwa kuteka maeneo ya Ukraine mwezi Julai
Tangu mwaka 2024, Urusi imekamata kilomita za mraba 1,246 za eneo la Ukraine.
Maafisa: Urusi imefanya mashambulizi ya droni mjini Kyiv
Urusi imefanya mashambulizi ya kushtukiza ya kutumia droni kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, usiku wa kuamkia leo.
Urusi yaanza luteka kubwa za jeshi lake la wanamaji
Ukraine imetoa hakikisho la usafirishaji wa mafuta bila kutatizwa kwa kampuni ambazo hazijawekewa vikwazo.
Marekani yatangaza msaada mpya wa kijeshi kwa Ukraine
Marekani imetangaza msaada mpya wa kijeshi wa thamani takriban dola bilioni 1.7 kwa ajili ya Ukraine.
Marekani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.7
Marekani itatuma msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 1.7 kwenda Ukraine.
Urusi yadai kupata mafanikio kwenye uwanja wa vita
Urusi imesema vikosi vyake vimeteka kijiji cha Vovche mashariki mwa Ukraine, ikiwa ni mafanikio ya karibuni zaidi.
Rais Volodymyr Zelensky afanya ziara katika jimbo la Kharkiv
Vikosi vya Urusi vimekuwa vikijaribu kuuteka mji mdogo ulioko kilomita tano kutoka eneo lake la mpakani.
Ukraine yaendelea kuyalenga maeneo ya Urusi
Ukraine imerusha zaidi ya droni 24 kuulenga mkoa wa Urusi wa Kursk.
Shambulizi la Ukraine lateketeza kituo cha mafuta cha Urusi
Mara kwa mara, mkoa wa Kursk nchini Urusi hulengwa na mashambulizi ya Ukraine.
Waziri Mkuu wa India kufanya ziara nchini Ukraine
Hii itakuwa ziara yake ya kwanza nchini humo tangu Urusi ilipoivamia Ukeaine.
ASEAN yatoa wito wa kuwepo suluhisho la amani kwa mizozo
ASEAN imetoa wito wa kuwepo suluhisho la amani kwa mizozo ya Myanmar, Ukraine na Gaza.
Zelensky asema wanajeshi wake wanakabiliwa na wakati mgumu
Kiongozi huyo ametoa mwito wa kuimarisha ulinzi zaidi katika maeneo hayo.
Unafahamu nini juu ya mazungmzo ya kutafuta amani Ukraine?
Wachambuzi wasema Klitschko anafanya hayo kwa sababu za kisiasa na jamii haiko tayari kwa makubaliano kama hayo.
Ukraine yashambulia kambi ya jeshi la anga la Urusi
Hili ni shambulizi la hivi karibuni zaidi katika mfululizo wa mashambulizi dhidi ya jeshi la Urusi katika eneo hilo.
Podolyak: Makubaliano na Urusi ni 'makubaliano na shetani'
Hilo linatokea wakati shinikizo likiongezeka la kutafuta njia ya kumaliza vita hivyo vya zaidi ya miaka miwili.
Ukraine ilitibua mipango ya Urusi, Poland
Idara ya Usalama nchini Ukraine imesema hii leo kwamba imezima mpango wa Urusi wa kushambulia kwa moto majengo yenye mad
Ufaransa yashinda Olimpiki, Ukraine waangukia pua
Jumatano ilikuwa siku ya kwanza ya mechi za kandanda za Michezo ya Olimpiki mjini Paris ambapo wenyeji Ufaransa walipata
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 26 wa 85
Ukurasa unaofuatia