You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yashambulia vituo vya nishati magharibi mwa Ukraine
Urusi imevishambulia vituo vya nishati vilivyoko katika mji wa Lviv magharibi mwa Ukraine.
Ukraine yaitaka Belarus kuondoa wanajeshi wake mpakani
Vifaru na makombora ni miongoni mwa zana za vita za Belarus zilizopelekwa mkoa wa Gomel karibu na mpaka wa Ukraine.
Zelensky: Nitaunga mkono India kuandaa mkutano wa amani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema ataunga mkono India kuwa mwandaaji wa mkutano wa pili wa amani
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora na droni
Jeshi la anga Ukraine limesema makombora mengi yaliharibiwa kabla ya kufikia shabaha zake.
Urusi na Ukraine wabadilishana wafungwa wa vita
Rais Zelenskiy amechapisha picha ya wafungwa wa vita wa Kiev wakiwa wamejifunika bendera ya Ukraine
Sheria ya kupiga marufuku kanisa la Orthodox yapita Ukraine
Urusi imetangaza hali ya dharura katika eneo la Voronezh linalopakana na Ukraine.
Modi amrai Zelensky kukaa mezani kumaliza vita na Urusi
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemrai Rais Volodoymyr Zelensky wa Ukraine kukaa mezani kumaliza vita na Urusi.
Narendra Modi akutana na Rais Volodymyr Zelensky
India haijalaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ambao uliaaniwa na mataifa ya magharibi na mengineyo.
Modi ziarani nchini Ukraine kwa mazungumzo na Zelensky
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi yuko Ukraine kwa mazungumzo na Rais Volodymyr Zelensky.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi azuru Ukraine
India bado haijalaani uvamizi ilioufanya Urusi nchini Ukraine.
Mashambulizi ya Kursk yadhihirisha udhaifu wa Urusi?
Agosti sita Ukraine ilifanya moja kati ya uvamizi mkubwa zaidi ndani ya Urusi tangu Vita vya Pili vya Dunia.
Putin aishtumu Ukraine kujaribu kushambulia kinu cha nyuklia
Kaimu gavana wa mkoa wa Kursk amesema hali ni shwari kwenye mtambo huo.
Narendra Modi ahimiza amani kabla ya ziara ya Ukraine
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amesema leo kwamba, hakuna mzozo unaoweza kutatuliwa kwenye uwanja wa vita.
Vita vya Ukraine vyatawala kampeni za majimbo Ujerumani
Wajerumani wengi wa Mashariki wana mashaka kuhusu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Urusi nchini Ukraine.
Marekani yatahadharisha uwezekano wa mashambulizi ya Urusi
Ubalozi wa Marekani mjini Kyiv watahadharisha juu ya uwezekano wa mashambulizi ya Urusi.
Papa atoa wito wa kuwepo amani duniani
Papa atoa wito wa kuwepo amani duniani
Urusi: Mashambulio ya droni kuilenga Moscow hayakufanikiwa
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema jumla ya droni 45 ziliharibiwa usiku wa kuamkia Jumatano.
Urusi yazuia shambulizi kubwa la droni huko Moscow
Urusi yazuia shambulizi kubwa la droni huko Moscow
Scholz kwenda Moldova na kujadili athari za vita vya Ukraine
Scholz kuizuru Moldova na kujadili athari za vita vya Urusi nchini Ukraine
Ukraine yaushambulia mji mkuu wa Urusi kwa droni
Ukraine yaushambulia Mji Mkuu wa Urusi kwa ndege zisizokuwa na rubani
Majeshi ya Urusi yaiteka sehemu muhimu ya Donetsk.
Ukraine na Urusi wamekuwa katika mapigano makali hivi karibuni hasa baada ya Ukraine kuanza mashambulizi ya kushtukiza.
Ujerumani kuendelea kuisaidia Ukraine
Ujerumani na mataifa mengine ya magharibi yamekuwa yakiisaidia Ukraine kupambana na Urusi.
Urusi yapambana kuuzima moto kwenye ghala ya mafuta
Wazima moto kadhaa wamejeruhiwa kutokana na kisa hicho cha moto.
Zelensky: Wanajeshi wetu wanatimiza malengo yao huko Kursk
Rais Volodymyr Zelensky amesema wanajeshi wake wanatimiza malengo yao kufuatia mashambulizi eneo la Kursk, Urusi.
Urusi: Haiko tayari kuzungumza na Ukraine
Ujerumani imekanusha madai kuwa itadhibiti uungwaji mkono wake kwa Ukraine kufuatia vikwazo vya bajeti.
Mapambano makali yaendelea kati ya Urusi na Ukraine
Zelenski amesema mashambulizi ya Ukraine mjini Kursk yana nia ya kuunda eneo salama litakalozuwia Moscow kuishambulia.
Urusi na Ukraine zaendelea kupambana vikali
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana vikali usiku wa kuamkia Jumatatu.
Lukashenko: Theluthi moja ya jeshi letu ipo mpakani
Waziri wa Ulinzi wa Belarus Viktor Khrenin amesema eneo hilo la mpakani lipo katika hali ya mvutano.
Jeshi la Ukraine lavunja madaraja Urusi
Ukraine inasema imeliharibu daraja muhimu kwenye mkoa wa Kursk nchini Urusi na kulishambulia jengine la karibu na hapo.
Droni za Ukraine zashambulia kituo cha mafuta Rostov, Urusi
Ukraine imevilenga mara kwa mara vituo vya mafuta na gesi nchini Urusi tangu mzozo huo ulipoanza mwaka 2022.
Ukraine yasema inaimarisha nafasi ya vikosi vyake, Urusi
Wizara ya ulinzi ya Urusi, imesema imevirudisha nyuma vikosi vya Ukraine karibu na maeneo matatu ya makazi, Kursk.
Kwa nini gesi ya Urusi bado inatiririka kuelekea Ulaya?
Gesi asilia hutumika kuzalisha umeme, kuendesha shughuli za viwanda na kusaidia kupasha joto majumbani.
Lambsdorff: Urusi haina mpango wa mazungumzo ya amani
Urusi iliivamia Ukraine Februari 2022 na tangu hapo hakujawa na hatua muhimu za makubaliano ya amani.
Ukraine: Urusi inaendelea kushambulia eneo la Donbas
Ukraine imesema Urusi vinaendelea kuushambulia mkoa wa Donbas, huku Moscow ikisema Kyiv ilijaribu kushambulia Crimea.
Ukraine: Uvamizi Kursk walenga "mazungumzo ya haki"
Ukraine imesema leo kuwa uvamizi wake ndani ya ardhi ya Urusi unalenga kuilazimisha Moscow kurudi katika meza ya majadil
Marekani kuiuzia Ujerumani mifumo 600 ya ulinzi ya Patriot
Marekani Alhamis iliidhinisha uuzaji wa mifumo karibu 600 ya kujilinda angani dhidi ya makombora aina ya Patriot, kwa Uj
Jeshi la Ukraine ladungua droni tano za Urusi
Jeshi la anga la Ukraine limesema leo kuwa limefanikiwa kuzidungua droni tano za Urusi wakati wa shambulio lililofanyika
16.08.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyonayo ni Sweden yatangaza kisa cha kwanza cha homa ya nyani kilichogundulika nje ya Afrika, Ukraine na Urusi zaendelea kushambuliana katika eneo la Kursk na Marekani yaidhinisha kuiuzia Ujerumani makombora zaidi ya 600 ya Patriot
Ukraine yasema imefanya mashambulizi mapya dhidi ya Urusi
Ukraine imesema kwa sasa inadhibiti maeneo kadhaa katika mji wa Sudzha, uliopo kilomita 8 kutokea mpakani.
Marekani yaidhinisha mauzo ya makombora nchini Ujerumani
Ujerumani imekuwa ikiisaidia Ukraine mifumo kadhaa ya ulinzi wa anga wakazi inapopambana na Urusi.
Zelenskyy asema vikosi vya Ukraine vimeukamata mji wa Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema vikosi vya nchi yake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa Urusi wa Sudzha.
Ukraine yakanusha kuhusika na milipuko ya Nordstream II
Podolyak ameyasema haya katika mazungumzo aliyoyafanya na shirika la habari la Reuters na akaelekeza lawama kwa Urusi.
Ukraine yakanusha kuhusika kulipua bomba la Nord Stream 2
Ukraine imekanusha kuhusika na mashambulizi yaliyoharibu bomba kubwa la kusafirisha gesi la Nord Stream 2.
Urusi na Ukraine zaendelea kupambana vikali huko Kursk
Ukraine imesema inadhibiti maeneo 74 ya makaazi katika mkoa huo wa Kursk wa Urusi.
Zelensky asema majeshi yake yamesonga mbele huko Kursk
Kiongozi wa Ukraine ameongeza kusema hatua hizo zitaharakisha kurejea nyumbani kwa wanajeshi wake.
Ujerumani yatoa hati ya kumkamata raia wa Ukraine
Milipuko kadhaa iliyaharibu mabomba mawili ya kupitishia gesi na kusababisha huduma kusimama mnamo mwaka 2022.
Hali ya hatari yatangazwa kwenye jimbo la Belgorod
Rais Putin yupo njia panda baada ya majeshi ya Ukraine kudhibiti eneo ndani ya jimbo la Kursk.
Urusi, Ukraine mambo yazidi kuwa mabaya
Urusi imeishambulia miundombinu ya nishani ya Ukraine wakati mashambulizi ya Ukraine yakiendelea mkoa wa Kursk.
Ukraine yasema inaendelea kusonga mbele ndani ya Urusi
Ukraine imesema jana kuwa hivi sasa inadhibiti maeneo 74 ndnai ya Urusi na inaendelea na ooperesheni yake ya kustukiza.
Ukraine yasema haina nia ya kulikalia eneo la Kursk-Urusi
Ukraine inasema uvamizi huo umewapelekea kuchukua udhibiti wa kilomita 1,000 za mraba za ardhi katika eneo la Kursk.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 25 wa 85
Ukurasa unaofuatia