You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Idara ya upelelezi ya Ujerumani yaishutumu Urusi kwa hujuma
Idara ya upelelezi imesema Urusi pia ilifanya hujuma hizo kabla ya kuivamia Ukraine.
08.09.2024: Matangazo ya mchana
Sikiliza matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Scholz asisitiza kuhusu mazungumzo ya amani kwa Ukraine
Vyama vinavyotafuta mahusiano bora na Urusi vyapata kura zaidi Ujerumani.
Jeshi la Urusi ladai kuuteka mji mmoja mashariki mwa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amteuwa mshauri wa nje wa masuala ya kimkakati.
Zelensky akutana na Meloni na kuomba silaha zaidi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekutana na Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni.
Ombi la Ukraine la kutumia silaha za masafa marefu lakwama
Austin ametoa kauli hiyo wakati wa kuhitimisha mkutano wa wadau wa kimataifa wanaoiunga mkono Ukraine huko Ramstein.
Zelensky aomba silaha na idhini ya kuzitumia kuipiga Urusi
Urusi yaendelea kuishambulia bila huruma Ukraine upande wa Mashariki ikipania kuliteka eneo la Donbas.
Zelensky awaomba washirika wake silaha zaidi kuikabili Urusi
Rais Zelensky anatazamiwa kwenda nchini Italia kuzungumza na Waziri Mkuu Giorgia Meloni.
Bunge la Ukraine laidhinisha mawaziri wapya walioteuliwa
Balozi wa zamani wa Ukraine nchini Uturuki Andrii Sybiha, ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, akichukua mikoba ya Kuleba.
Bunge la Ukraine lakubali kujiuzulu kwa Kuleba
Bunge la Ukraine limekubali kujiuzulu kwa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Dmytro Kuleba.
Marekani na Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine
Ujumbe wa Marekani waja Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine katika kambi ya Ramstein.
Mwangaza wa Ulaya:Viongozi wa EU wajadili msaada kwa Ukraine
Mzozo kati ya Urusi na Ukraine ambao unaelekea kuingia katika mwaka wa tatu unazidi kutokota. Mwishoni mwa mwezi Agosti, mawaziri wa ulinzi wa Umoja wa Ulaya walijadiliana kuhusu kuongeza msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Lakini pia mzozo huo umezusha hali ya hofu kwa mataifa ya Baltic yanayopakana na Urusi ambayo yanahofia kwamba wakati wowote wanaweza pia kushambuliwa. Ungana na Bakari Ubena.
Putin: Tuko tayari kwa mazungumzo na Ukraine
Vita vya Urusi na Ukraine vimepindukia miaka miwili na nusu sasa na bado hakuna dalili ya mazungumzo ya kumaliza vita.
India, China na Brazil zaweza kuwa wapatanishi, asema Putin
Putin amesema China, India na Brazil zinaweza kuwa wasuluhishi wa kuleta amani kuhusu vita vya Urusi na Ukraine.
Urusi yaushambulia mji wa Lviv magharibi mwa Ukraine
Shambulio hilo limefanyika wakati mawaziri kadhaa wa Ukraine, akiwemo mwanadiplomasia mkuu Dmytro Kuleba, wakijiuzulu.
Bunge Ukraine laridhia kujiuzulu Naibu Waziri Mkuu
Bunge la Ukraine laidhinisha barua ya kujiuzulu naibu waziri mkuu na mawaziri wengine
Urusi yafanya mashambulizi katika mji wa Lviv Ukraine
Urusi yafanya mashambulizi katika mji wa Lviv,Ukraine na kuuwa watu 7
Zelensky asema serikali yake inahitaji "nguvu mpya"
Rais Zelensky amesema serikali yake inahitaji nguvu mpya na hatua ya kulifanyia mageuzi baraza lake la mawaziri.
Serbia yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi
Serbia ni mshirika mkubwa wa Urusi na imasema haitakubali kutumika kuiwekea vikwazo Urusi.
Waziri wa mambo ya nje Ukraine awasilisha barua ya kujiuzulu
Hatua ya Kuleba imekuja wakati Rais Volodymyr Zelenskiy akitarajiwa kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Mashambulizi ya Urusi yauwa 7 Lviv
Kremlin inapitia upya itifaki yake ya nyuklia kwa sababu mataifa ya Magharibi yanatishia maslahi ya usalama ya Moscow.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
Watu 41 wauawa katika mashambulio ya Urusi nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Urusi itawajibishwa juu ya mashambulio hayo.
Putin atoa mwaliko kwa Mongolia kuhudhuria mkutano wa BRICS
Mongolia inayopakana na Urusi inamtegemea sana jirani yake huyo kwa mafuta na umeme.
Zelensky ataka idhini kutumia silaha za masafa marefu Urusi
Rais Zelensky amewataka washirika wairuhusu Ukraine kutumia silaha za masafa amrefu kuishambulia Urusi.
Putin asifu kasi ya vikosi vyake dhidi ya Ukraine
Waziri wa mambo ya nje wa Poland amesema nchi hiyo ina wajibu wa kikatiba wa kujilinda.
Vyama rafiki na Urusi Ujerumani vyapata mafanikio
Vyama vya rafiki na Urusi nchini Ujerumani vya AFD na BSW vinamafanikio kwenye uchaguzi uchaguzi wa majimbo.
Putin asema uvamizi wa Ukraine Kursk haujawa na athari
Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema uvamizi wa Ulraine Kursk hauwezi kuwazuia kusonga mbele katika jimbo la Donbas.
Ukraine yalishambulia kwa makombora eneo la Belgorod
Mtu mmoja ameuwawa katika mashambulizi hayo.
Urusi ina imani ndogo kuwa Trump ataumaliza mzozo wa Ukraine
Urusi ina imani ndogo kuwa Trump ataumaliza mzozo wa Ukraine
Droni za Ukraine zalenga mitambo ya mafuta na umeme Moscow
Droni za Ukraine zalenga mitambo ya mafuta na umeme Moscow
Uvamizi wa Ukraine nchini Urusi ni halali asema Stolternbeg
Akilizungumzia kwa mara ya kwanza suala hilo katika mahojiano , Stoltenberg amesema Ukraine ina haki ya kujilinda.
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali usiku kucha
Kiev imewatolea wito washirika wake kuipatia mifumo zaidi ya ulinzi wa anga.
Ukraine yaitaka Mongolia kumkamata Rais Putin
Ukraine imeitolea wito Mongolia kumkamata Rais Vladimir Putin wa Urusi atakapozuru taifa hilo.
Mawaziri wa EU wajadili mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wajadiliana kuwafunza wanajeshi wa Ukraine, nchini humo badala ya mataifa mengine.
Urusi na Ukraine zakabiliana vikali
Mawaziri wa ulinzi wa Umoja wa Ulaya wanakutana Brussels kujadili operesheni ya kuwapa mafunzo wanajeshi wa Ukraine
Urusi inajitahidi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine Kursk
Urusi bado inahangaika kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine kutoka mkoa wake wa Kursk baada ya wiki tatu za mapigano.
Urusi yateka vijiji viwili Ukraine
Vikosi vya Urusi vimefanikiwa kuviteka vijiji viwili mashariki mwa Ukraine.
Ukraine yadungua droni 15 za Urusi
Kikosi cha anga cha Ukraine kimedungua trakiban droni 15 za Urusi kwenye mji mkuu, Kiev.
Zelenskiy: Jeshi la Ukraine linapiga hatua Kursk
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa wanajeshi wake wanapiga hatua na kuchukua udhibiti wa maeneo zaidi kufua
Shambulizi la Urusi lawauwa watu 6 Donetsk, nchini Ukraine
Kremlin imesema uamuzi wa Ukraine wa kukatiza mkataba wake na kampuni ya Urusi ya Gazprom utawaathiri wateja wa Ulaya.
Ghala la mafuta la Urusi lashambuliwa na droni za Ukraine
Tangu kuanza kwa vita mnamo mwaka 2022 Ukraine imekuwa inazilenga sehemu za Urusi za kuhifadhia mafuta na gesi.
Grossi aonya kuhusu mapigano karibu na kinu cha Kursk
Hayo ni wakati Ukraine ikisema kuwa askari wake wamekamata udhibiti wa kubwa la mkoa wa Kursk nchini Urusi.
Modi azungumza na Putin kuhusu kukomeshwa vita vya Ukraine
Mazungumzo ya Modi na Putin yamefanyika siku moja baada ya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Marekani Joe Biden.
Mkuu wa IAEA azuru Kinu cha nyuklia cha Kursk nchini Urusi
Ziara ya Grossi inafuatia mashambulizi yasiyo ya kawaida ya Ukraine ndani ya mpaka wa mkoa wa Kursk nchini Urusi.
Mkuu wa shirika la IAEA atembelea kinu cha Nyulia cha Kursk
Grossi amesema anaongoza ujumbe kuendesha uchunguzi huru wa matukio yanayoshuhudiwa kufuatia mashambulizi ya mapakani.
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
Miundombinu ya nishati imelengwa na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Biden na Modi wafanya mazungumzo juu ya vita nchini Ukraine
Ziara ya Modi mjini Kyiv imetokea baada ya kiongozi huyo wa India kukutana na Putin mjini Moscow mwezi uliopita.
China yapinga vikali vikwazo vya Marekani
Marekani ilitangaza vikwazo vikubwa Ijumaa dhidi ya watu na kampuni 400 kuhusiana na vita vya Urusi Ukraine.
Urusi yaishambulia kwa droni na makombora Ukraine.
Watu watatu wameuwawa Ukraine na umeme ukatwa nchi nzima kufuatia uharibifu wa miundo mbinu ya nishati
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 24 wa 85
Ukurasa unaofuatia