You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky: Maafisa wa Marekani na Ukraine kukutana Ijumaa
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametangaza kuwa maafisa wa Marekani na Ukraine wanatarajia kukutana Ijumaa.
Urusi yakataa kupelekwa kwa vikosi vya Ulaya nchini Ukraine
Ikulu ya Kremlin inapinga wazo la mkutano wa haraka kati ya rais Vladimir Putin, na Volodymyr Zelensky.
Urusi yaishambulia miundo mbinu ya nishati ya Ukraine
Rais Donald Trump atishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi
Zelensky apendekeza mataifa mengine katika mazungumzo
Urusi na Ukraine walikuwa na mazungumzo yao ya kwanza ya ana kwa ana tangu 2022 mjini Istanbul mapema mwaka huu
Trump atishia kuiwekea Urusi vikwazo isipoafiki amani
Trump asema kuwa ni bora kuiwekea Urusi vikwazo vya kiuchumi kuliko kuingia katika vita vya dunia.
Putin atuhumiwa kufanya hila kutokutana na Zelensky
-
Urusi yashambuliwa kwa droni na Ukraine
-
Xi: Uhusiano wa China na Urusi ndio thabiti zaidi duniani
Uhusiano kati ya Urusi na China umeimarika tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mnamo Februari 2022
Wadephul amtaka Putin kuzungumza mara moja na Zelensky
Marekani inaratibu mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine ingawa bado kuna mkwamo wa kimaslahi
Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine
Urusi iliivamia Ukraine Februari, 2022 na bado hakujapatikana suluhu ya amani baina ya mataifa hayo mawili
Urusi yaituhumu Ukraine kwa kukishambulia kinu cha nyuklia
Moto kwenye kinu cha nyuklia ulizimwa haraka bila majeruhi wowote kuripotiwa na viwango vya mionzi havijaongezeka
Zelensky atoa wito wa mkutano na Putin kutafuta amani
Ukraine iliadhimisha Jumapili Siku ya Uhuru wake katika tukio lililohudhuriwa na maafisa wa Magharibi
Urusi: Nchi za Ulaya zinalenga "kuzuia" mchakato wa amani
Kauli ya Lavrov imetolewa wakati Urusi ikiilaumu pia Ukraine kwa kushambulia kinu cha nyuklia katika mji wa Kursk.
Hofu ya vita Ulaya yazua wimbi la uandikishaji jeshini
Wengi wana hofu kuwa uchokozi wa Urusi unaweza kuenea hadi nje ya mipaka ya Ukraine, Ufaransa yajipanga dhidi ya tishio.
Ukraine yaadhimisha miaka 34 ya uhuru wake
Viongozi wa Uingereza, Ujerumani wadhihirisha uungwaji mkono kwa Ukraine.
Zelensky: Urusi kushinikizwa kufikia amani na Ukraine
Matumaini yakififia ya kufanyika mkutano kati ya Putin na Zelensky unaoungwa mkono na rais wa Marekani Donald Trump.
Zelensky: Urusi inaukwepa mkutano kati ya yangu na Putin
Urusi iwekewe vikwazo vipya kama haitoonesha dhamira ya kweli ya kusitisha uvamizi wake Ukraine.
Zelensky: Jamii ya Kimataifa endeleeni kuishinikiza Urusi
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana katikati ya juhudi za kuumaliza mzozo huo kwa amani
Zelenskiy: Ukraine kushinda vita ni sharti iishambulie Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema kuwa nchi yake sasa inastahili kuchukua hatua zaidi ya kujilinda tu dhidi ya
Mshukiwa wa milipuko ya mabomba ya Nord Stream akamatwa
Uharibifu wa mabomba hayo uliibua mvutano wa kisiasa na kiusalama barani Ulaya hasa katika muktadha wa vita vya Ukraine.
Lavrov: Putin yuko tayari kukutana na Zelenskiy kwa masharti
Waziri wa mambo ya nje Sergei Lavrov asema masuala kadhaa yatapaswa kushughulikiwa kabla ya Putin na Zelenskiy kukutana.
Urusi yaongeza mashambulizi ya angani Ukraine, Kiev yajibu
Rais Volodymyr Zelenskiy anasisitiza Marekani iiwekee vikwazo vikali Urusi ikiwa itakataa mazungumzo ya ana kwa ana.
Zelensky kukutana na Putin baada ya dhamana za usalama
Zelensky amependekeza mkutano uwe wa pande tatu, ukimuhusisha pia Rais wa Marekani, Donald Trump.
Vance: Ulaya itachukua sehemu kubwa ya usalama wa Ukraine
Makamu wa rais wa marekani JD Vance amesema Ulaya italazimika kuchukua sehemu kubwa ya hakikisho la usalama kwa Ukraine.
Erdogan azungumza kwa simu na Putin juu ya vita vya Ukraine
Erdogan amemwambia Putin kuwa Ankara imekuwa ikijitahidi kwa dhati tangu kuanza kwa vita kuhakikisha amani inapatikana.
Urusi: Mazungumzo kuhusu Ukraine bila sisi ni kazi bure
Urusi yasema haiwezi kukubaliana na pendekezo la kutatua masuala ya usalama wa pamoja bila Shirikisho la Urusi.
Trump atangaza mazungmzo ya pamoja kati ya putin na Zelensky
Urusi ipo tayari kushiriki, lakini makubaliano yoyote lazima yahakikishe usalama wa raia wenye asili ya Kirusi, Ukraine.
Mkataba wa amani Ukraine wanukia?
Maafisa wa ngazi za juu wa kijeshi wa Marekani na Ulaya wamekutana kuzungumzia uwezekano wa mkataba wa amani wa Ukraine.
Zelensky asema Urusi imefanya shambulizi mkoani Odesa
Rais wa Ukraine ataka shinikizo dhidi ya Urusi hadi diplomasia itakapofanya kazi kikamilifu.
Marekani, Ulaya zajadili dhamana ya ulinzi kwa Ukraine
Maafisa wa kijeshi wa Marekani na Ulaya wamekutana kuandaa mipango ya ahadi ya kutoa dhamana za ulinzi kwa Ukraine.
Trump: Inawezekana Putin hataki kufikia makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema ana matumaini Rais wa Urusi Vladmir Putin, ataelekea kuvimaliza vita Ukraine.
Trump, Zelensky wasifu matokeo ya mkutano wa Washington
Marais Donald Trump na Volodymyr Zelensky wameyasifu matokeo ya mkutano kutafuta suluhu ya vita vya Ukraine.
Mkutano wa amani kati ya Putin na Zelenskyy wanukia
Marais wa Urusi na Ukraine wanatazamiwa mnamo siku chache zinazokuja kufanya mazungumzo ya amani.
Ukraine yashambulia mkoa wa Urusi wa Volgograd
Mashambulizi ya Ukraine yamesababisha moto kwenye mkoa wa kusini magharibi mwa nchi hiyo wa Volgograd.
Watu 10 wauawa katika mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
Mashambulizi ya Urusi yaliyofanywa Jumatatu dhidi ya miji mikubwa nchini Ukraine yamesababisha vifo vya karibu watu 10.
Wapinzani wa Urusi wazuiwa viza Ujerumani?
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani inasema inatekeleza makubaliano ya vyama vinavyounda serikali ya mseto.
Trump, Zelensky na viongozi wa EU kukutana Washington
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington.
Trump kukutana na Zelensky kuujadili mzozo wa Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump Jumatatu anakutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky mjini Washington.
Viongozi wa Ulaya kujumuika na Zelenskyy mkutano na Trump
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Ulaya wanakwenda Marekani kwa mazungumzo ya kumalizwa vita vya Ukraine.
Wadephul: Muhimu kusitishwa mapigano Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesisitiza tena umuhimu wa kusitisha mapigano nchini Ukraine.
Ulaya yaunga mkono mkutano wa pande tatu kuhusu Ukraine
Mkutano wa kilele wa Marekani na Urusi umeshindwa kufikia makubaliano ya kumaliza vita nchini Ukraine.
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky kukutana na Trump Jumatatu
Mkutano kati ya Trump na Putin mjini Alaska ulimalizika bila makubaliano.
Trump na Putin hawakufikia makubaliano kuhusu Ukraine
Donald Trump na Vladimir Putin hawakutoa taarifa yoyote kuhusu kusitisha mapigano Ukraine baada ya mkutano wao Alaska.
Jeshi la Ukraine laongeza vikosi mashariki kuidhibiti Urusi
Zelensky amesema uamuzi huo umefanywa ili kuimarisha eneo hilo na maeneo mengine yaliyopo katika mkoa wa Donetsk
Trump: Ukraine itaamua kivyake mipaka yake
Rais Trump amesema hatashiriki katika mazungumzo ya kugawana ardhi kwa niaba ya Ukraine, bali Ukraine itaamua kivyake.
Trump na Putin Wakutana Bila Ukraine
Mkutano wa Trump-Putin: Nafasi ya Amani au Hatari kwa Ukraine?
Putin asifu juhudi za Marekani za kumaliza vita Ukraine
Mkutano wa viongozi hao wawili unasubiriwa kwa shauku kubwa na ulimwengu na utafanyika leo huko jimboni Alaska.
Starmer akutana na Zelenskyy kabla ya mkutano wa Alaska
Rais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Urusi wanakutana kujaribu kusaka suluhu ya vita vya Ukraine
Waukraine wanatarajia nini kutoka mkutano wa Trump na Putin?
Mkutano kati ya Trump na Putin ndiyo mada kuu nchini Ukraine. Lakini hali ya mashaka imetanda kuhusu mafanikio yake.
Urusi yadai kuchukua udhibiti wa maeneo mapya Ukraine
Urusi imesema, vikosi vyake vya jeshi vimedhibiti maeneo mawili mapya ya Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 84
Ukurasa unaofuatia