You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky aonyesha utayari wa kubadilishana wafungwa na Urusi
Idara ya ujasusi ya NIS imethibitisha kuwa jeshi la Ukraine limewakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini.
Urusi yadai kuviteka vijiji viwili mashariki mwa Ukraine
Kwa upande wake, jeshi la anga la Ukraine limedai kudungua ndege 60 za Droni za Urusi usiku wa kuamkia Jumapili.
Seoul yathibitisha kukamatwa wanajeshi wa Korea Kaskazini
idara ya ujasusi ya Korea Kusini NIS, imesema wanajeshi hao wa Korea Kaskazini, walikamatwa mnamo Januari 9 huko Kursk.
Biden kuongeza muda wa kukaa Marekani kwa wahamiaji wa Sudan
Marekani yasema wahamiaji wapatao milioni moja kutoka Salvador, Sudan, Ukraine na Venezuela wataruhuisiwa kubaki chini.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wakamatwa na Ukraine
Ukraine imetangaza kuwakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini waliokuwa wanapigana upande wa Urusi.
11.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aitaka Venezuela kuwaachia huru watu wanaoendelea kuzuiliwa bila kufunguliwa mashitaka. Amri ya kutotembea nje yatangazwa Los Angeles, California kufuatia matukio ya moto mkali. Na Marekani na Uingereza zaiwekea vikwazo vipya Urusi.
Trump aitaka NATO kutumia 5% ya Pato la Taifa kwa ulinzi
Hilo litakuwa vigumu kutekelezeka kutokana na sehemu kubwa ya bajeti za nchi za Ulaya kutumiwa katika ustawi wa jamii.
Austin amrai Trump kutoacha kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi
Trump ametishia kuikatia Ukraine msaada na amesema vita hivyo laazima vimalizike mara atakapoingia madarakani.
Zelensky atoa wito kwa utengenezaji wa droni Ukraine
Volodymyr Zelensky amewahimiza washirika wake kuunga mkono utengenezaji wa droni za kivita nchini Ukraine.
Zelensky: Kurejea kwa Trump ni ukurasa mpya kwa dunia
Washirika wa Ukraine wamekutana kujadili namna yakuendeleza msaada kwa taifa hilo linalokabiliana na uvamizi wa Urusi.
Watu 13 wauawa na wengine 113 wajeruhiwa Zaporizhzhia
Watu wasiopungua 13 wameuawa na wengine 113 wamejeruhiwa katika mji wa kusini mashariki mwa Ukraine wa Zaporizhzhia.
NATO kumshawishi Trump juu ya mkataba wa silaha kwa Ulaya
Rutte amesema kuwa anafanya juhudi kumshawishi Rais mteule wa Marekani Donald Trump, kupunguza vizuizi vya silaha
09.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Watu 13 wameuwawa katika mji wa Zaporizhzhya kusini mwa Ukraine. Watu 19 wauliwa katika makabiliano makali katika ikulu ya rais nchini Chad. Na Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter kuzikwa Georgia.
Jeshi la Ukraine lashambulia ghala la mafuta ndani ya Urusi
Nchi zote mbili Urusi na Ukraine bado zinaendelea kushambuliana katika mzozo ambao umedumu kwa karibu miaka mitatu.
Jeshi la Ukraine limesema limedungua droni 41 za Urusi
Ukraine imefanya shambulio la ndege zisizo na rubani katika eneo la Saratov nchini Urusi, na kusababisha moto mkubwa.
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Ukraine ilianzisha operesheni mpya katika eneo hilo, ikithibitisha mashambulizi dhidi ya kituo cha kamandi ya Urusi.
Ukraine yaanzisha oparesheni mpya ya kijeshi Kursk
Pande zote mbili zimeripoti vifo vya raia katika eneo la kusini la Kherson, eneo ambalo linakaliwa na vikosi vya Urusi.
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine na Urusi vyaendelea kupambana
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine na Urusi vyaendelea kushambuliana
Vikosi vya Urusi vinaudhibiti wa mji wa Kurakhove wa Ukraine
Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti wa mji wa Kurakhove wa Ukraine
Ukraine, Urusi zapambana vikali Kursk
Kumetokea mapigano makali kwenye mkoa wa Kursk baada ya kuanzisha uvamizi wa kushitukiza magharibi mwa Urusi.
Ukraine yaanzisha mashambulizi mapya ya kijeshi Kursk
Jeshi la Ukraine lenyewe halijatoa tamko lolote kuhusu mashambulizi hayo huku Urusi ikithibitisha mashambulizi hayo.
Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kulenga eneo la mpakani la Belgorod kwa makombora ya masafa marefu.
Ukraine na Urusi: Mashambulizi na diplomasia
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy, amesema Rais Mteule wa Marekani asiyetabirika Donald Trump anaweza kumaliza vita.
Zelensky asema kutotabirika kwa Trump kunaweza kumaliza vita
Zelensky alisema kuwa Trump ana nguvu sana na hatabiriki, na anatamani kuona ushawishi wake ukitumika kwa Urusi.
Slovakia yatishia kuchukua hatua dhidi ya wakimbi wa Ukraine
Ukraine ilisimamisha mkataba wake na kampuni kubwa ya nishati ya Urusi Gazprom kwa usafirishaji gesi ya Urusi.
Ukraine yasitisha mkataba wa usafirishaji wa gesi ya Urusi
Zelensky amesema hapo jana kwamba hatua hiyo ni pigo na ishara ya kushindwa kwa Moscow katika vita vyake na Ukraine.
Zelensky asifu kusimama kwa usambazaji gesi ya Urusi
Usambazaji gesi ya Urusi barani Ulaya kupitia Ukraine, umesimamishwa baada ya Zelensky kukataa kurefusha ushirikiano.
Changamoto za NATO 2025: Trump, Ukraine, matumizi ya ulinzi
NATO inakabiliwa na changamozo za kujihami dhidi ya Urusi, kuisadia Ukraine na kushughulika na Trump.
Ukraine yafunga mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Ulaya
Moldova imetangaza hali ya hatari na Slovakia inatishia Kyiv kulipiza kisasi dhidi ya Kyiv
Matangazo ya Jioni | Disemba 31, 2024
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora
Mamlaka zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, Kyiv.
Umoja wa Ulaya kutumia njia mbadala kuagiza gesi
Msemaji wa Halmashauri ya EU amesema umoja huo unamiundombinu za kutosha kusafirisha gesi Ulaya ya Kati na Mashariki.
Urusi na Ukraine zabadilishana mamia ya wafungwa wa kivita
Urusi na Ukraine zimefanya mabadilishano kadhaa ya aina hiyo ya wafungwa wakati wa vita vyao vya karibu miaka mitatu.
Ujerumani yawashitaki watu watatu kwa njama ya ujasusi
Mshukiwa mkuu Dieter S. inaaminika ni mwanamgambo mkongwe wa kundi la wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi nchini Ukraine.
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Urusi inasema ilizuia njama ya kuuwawa afisa na mwanablogu
Urusi inasema ilizuia njama ya Ukraine ya kumuua afisa wake na mwanablogu
Marekani yasema Urusi iliidugua kimakosa ndege ya Azerbaijan
Taarifa za intelijensia ya Marekani zinasema Urusi huenda iliiangusha kimakosa ndege ya abiria ya Azerbaijan.
Zelenskiy adai Korea Kaskazini imepata hasara kubwa Kursk
Zelenskiy ameitaka China kutumia ushawishi wake kwa Korea Kaskazini kuizuwia kutuma wanajeshi wake Urusi.
Urusi yatwaa vijiji vingine viwili vya mashariki mwa Ukraine
Korea Kusini imesema mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyechukuliwa mateka na jeshi la Ukraine amefariki dunia
Wataalamu: Mifumo ya Urusi iliiangusha ndege ya Azerbaijan
Ndege hiyo chapa Embraer 190 alianguka ikijaribu kutua Aktau, Kazakhstan, ikiwa njiani ikitokea Baku kwenda Grozny.
Urusi yataka ihakikishiwe usalama katika mkataba wa Ukraine
Moscow inataka mpango wa kisheria utakaoleta amani ya kudumu na kuhakikisha usalama wa Urusi na majirani zake.
Ukraine: Russia yafanya mashambulizi ya "kinyama" Krismas
Russia yapiga sekta ya nishati tena na kuwaacha wengi bila umeme. Biden alaani shambulio na kuiahidi msaada zaidi Kyiv.
Urusi yafanya mashambulio makubwa Ukraine
Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea
Urusi yaushambulia mji wa nyumbani wa Zelensky wa Kryvyi Rih
Kryvyi Rih, mji wa nyumbani wa Rais Volodymyr Zelensky, umekuwa ukishambuliwa mara kwa mara na makombora na droni.
Hotuba ya Krismasi: Rais wa Ujerumani atoa wito wa umoja
Rais wa Ujerumani pia ametuma ujumbe kwa vijana wa nchi hiyo. Amewaambia kuwa wanahitajika katika maeneo mengi
Mkuu wa NATO amkingia kifua Kansela Scholz
Mkuu wa NATO amkingia kifua Kansela Scholz.
Fico na Putin wakutana Moscow kuijadili Ukraine
Hii ni ziara ya nadra kwa kiongozi wa taifa mwanachama wa Ulaya kuitembelea Moscow, tangu Urusi ilipoivamia Ukraine.
Wanaeshi 1100 wa K. Kaskazini wauawa au kujeruhiwa Ukraine
Korea kusini yasema wanaeshi 1100 wa Korea kaskazini walioko Ukraine wamejeruhiwa au kuuawa
Urusi yasema imezidungua droni 42 za Ukraine
Mashambulizi hayo ya droni ya Ukraine ni ya wiki ya pili mfululizo na yanalenga miundombinu ya mafuta ya Urusi.
IMF yaidhinisha dola bilioni 1.1 kwa ajili ya Ukraine
Hatua hiyo itaisaidia Ukraine kujiimarisha katikati ya mashambulizi ya Urusi katikati ya madhara makubwa ya vita.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 85
Ukurasa unaofuatia