You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Guterres alikataa pendekezo la Trump kuhusu Gaza
Saudi Arabia imesema haitarejesha uhusiano na Israel hadi pale kutakapoundwa Dola la Kipalestina.
06.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Umoja wa Ulaya wasema Ukanda wa Gaza ni sehemu ya dola la baadaye la Palestina. Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yafuatilia hali inayoendelea nchini Congo. Na Ukraine yawawekea vikwazo manahodha 50 wanaoisaidia Urusi kukwepa vikwazo vya nchi za Magharibi.
Mabadiliko ya kimataifa kuamua awamu mpya ya vita Ukraine
Mzozo wa Ukraine unazidi kuchukuwa sura mpya baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa Trump. Msaada siyo bure tena.
Ukraine yadai kuwarudisha watoto 12 waliochukuliwa na Urusi
Ofisi ya mawasiliano ya Tume ya Haki za Watoto nchini Urusi imesema haina taarifa yoyote kuhusu watoto hao 12.
Vita kati ya Ukraine na Urusi bado kizungumkuti
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameishutumu Urusi kwa kufanya mashambulizi hayo katika makaazi ya watu.
Watu wanane wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Makazi kadhaa ya watu pamoja na miundombinu ya umeme nayo imeharibiwa wakati wa mashambulizi hayo.
Mashambulizi ya Urusi yawaua raia watatu wa Ukraine
Raia watatu wa Ukraine wameuwawa baada ya Urusi kuishambulia Ukraine kwa msururu wa droni na makombora.
Trump asema wanazungumza na Putin kumaliza vita Ukraine
Trump anasema yeye na Putin wanaweza kufanya jambo kuelekea kumaliza vita vya Urusi nchini Ukraine.
Shambulio la droni la Urusi laua tisa mashariki mwa Ukraine
Shambulizi la droni la Urusi lililolenga jumba la makazi katika mji wa Sumy, mashariki mwa Ukraine, limesababisha vifo v
Ukraine yaonywa juu ya mivutano manunuzi ya silaha
Maafisa wa Mataifa ya magharibi wameionya Ukraine kuhusiana na mivutano inayoongezeka kuhusu manunuzi ya silaha.
Putin: Mazungumzo yanawezekana, lakini bila Zelensky
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mazungumzo na Ukraine yanawezekana, lakini bila kumhusisha Rais Zelensky.
Putin: Urusi inaweza kufanya mazungumzo ya amani na Ukraine
Jeshi la Ukraine lasema limefanya mashambulizi ya usiku kucha katika kiwanda cha kusafisha mafuta mjini Kstovo, Urusi.
Putin: Mazungumzo na Ukraine yanawezekana bila Zelensky
Amesema Zelensky sio rais halali kwa sababu muhula wake wa urais ulimalizika wakati wa sheria ya kijeshi.
Ukraine yaishambulia Urusi kwa droni 121
Waziri huyo wa zamani wa ulinzi wa Urusi amesema NATO inaongezeka shughuli za kijeshi karibu na Urusi na Belarus.
Mashambulizi ya droni yarindima Ukraine, Urusi
Jeshi la Urusi limesema mifumo yake ya ulinzi wa anga imeziangusha droni 15 za Ukraine zilizoelekezwa ndani ya Urusi.
Raia watatu wauawa Kherson kufuatia mashambulizi ya Ukraine
Urusi na Ukraine zimeendelea pia kushambuliana kwa droni.
"Ulaya,Marekani zihusishwe kwenye mchakato wa amani Ukraine"
Zelenskiy ameyasema hayo siku ya Jumamosi katika mkutano wa pamoja na Rais wa Moldova Maia Sandu.
Urusi yadai kuingia katikati mwa mji wa kimkakati wa Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Moscow imesema hata hivyo kuwa mapigano bado yanaendelea katika mji huo.
25.01.2025: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
25.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi kutoka DW Bonn
Watu watatu wauwawa katika shambulizi la droni Kyiv
Kikosi cha anga cha Ukraine kimesema mifumo ya ulinzi wa anga ilizidungua droni 28 kati ya 58 zilizorushwa kutoka Urusi.
24.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Trump ahutubia Kongamano la Uchumi la Dunia mjini Davos
Rais wa Marekani Donald Trump asema ana jukumu kubwa kwa raia wa Marekani kuleta mabadiliko.
UN yatoa wito kwa mataifa kuongeza juhudi kulinda mazingira
Rais Trump alitangaza kuiondoa Marekani katika mkataba wa Paris wa mwaka 2015 uliopitishwa na mataifa 195.
Trump kuiwekea vikwazo Urusi ikikataa mazungumzo ya mani
Trump pia ameitaka China kutumia nguvu yake na ushawishi kusaidia kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine.
Ulaya yatolewa wito kuanzisha sera ya pamoja ya ulinzi
Zelensky amekwenda amehoji ikiwa kweli Trump atakuwa tayari kuziheshimu taasisi za Umoja wa Ulaya.
Urusi imefanya mashambulio makubwa dhidi ya Ukraine
Ukraine imesema imedundungua droni 72 huku nyingine 59 zikitoweka kabla ya kufikia maeneo iliyolenga kuyashambulia.
Urusi,Ukraine zaendelea kurushiana mkururo wa droni
Ukraine imesema kuwa Urusi imeishambulia kwa droni takriban 131 usiku wa kuamkia Jumanne. Droni 72 zilidunguliwa.
Wawili wauawa Ukraine baada ya kushambuliwa kwa droni
Serikali ya Urusi imethibitisha juu ya mashambulizi hayo yaliyofanywa kabla ya Donald Trump wa Marekani kuapishwa.
Urusi yadungua droni 31 za Ukraine
Vita vya Urusi na Ukraine vimeendelea huku kukiwa hakuna matarajiao ya mazungumzo ya amani baina ya mataifa hayo.
Zelensky atoa wito wa msaada zaidi wa ulinzi wa anga
Zelensky kwa mara nyengine tena amewatolea mwito washirika wake kuipa nchi yake mifumo zaidi ya ulinzi wa anga.
Shambulio la Urusi laua na kujeruhi watu huko Kyiv, Ukraine
Rais Zelensky amesema watu 10 wamejeruhiwa katika shambulio la Urusi katika mji wa kusini mwa Ukraine wa Zaporizhia.
Je, Rais Biden atakumbukwa kwa yapi?
Kuanzia kuimarisha mahusiano kati ya Marekani na Afrika, usuluhishi wa mgogoro wa Sudan, mageuzi katika taasisi za kimataifa, vita vya Mashariki ya Kati na Ukraine hadi juhudi za kudhibiti ugonjwa wa corona - Joe Biden atakumbukwa kwa mengi - mafanikio aliyoyapata na alivyokwama kuwa rais wa Marekani kwa awamu ya pili. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni.
Urusi yaushambulia mji mkuu wa Ukraine, watu watatu wauawa
Jeshi la anga vya Ukraine limeripoti kwamba limezidungua droni 24 na mabomu mawili yaliyorushwa na vikosi vya Urusi.
Starmer kuwasili Poland baada ya ziara yake nchini Ukraine
Starmer amesema Uingereza na Poland ni washirika wa muda mrefu na ushirikiano wao utaendelea.
Uingereza yaahidi kuihakikishia Ukraine usalama
Keir Starmer, aahidi kushirikiana na Ukraine pamoja na washirika wake kutoa dhamana za kiusalama.
Ukraine, Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
fumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine umezidunguwa droni kadhaa za Urusi katika mji mkuu, Kyiv.
Keir Starmer kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza yuko Kyiv kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine.
Droni 34 kati ya 55 za Urusi zadunguliwa Ukraine
Ukraine imesema kuwa imefanikiwa kuzidungua droni 34 kati ya 55 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia Alhamisi.
Urusi yavurumisha wimbi la mashambulizi kuelekea Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi hayo.
Rais Zelensky afanya mazungumzo na waziri mkuu Donald Tusk
Ukraine ina wasiwasi kwamba serikali ya Trump itailazimisha kukabidhi maeneo yake makubwa wa Urusi.
Poland yaishutumu Urusi kwa kupanga 'ugaidi wa angani'
Tusk amesema kwamba Urusi ilipanga vitendo vya "ugaidi wa angani" dhidi ya mashirika ya ndege duniani.
Rais Zelensky atafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Poland
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky atakutana leo na Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk, mjini Warsaw.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora, droni
Rais Volodymyr Zelensky jeshi lake la anga limefanikiwa kuyadungua makombora 30 kati ya 40 yaliyorushwa na Urusi.
Biden atetea rekodi ya sera yake ya kigeni licha ya mizozo
Rais anayeondoka madarakani Joe Biden ametetea rekodi yake ya sera za kigeni licha ya mizozo ya kimataifa inayoendelea.
Trump asema atakutana 'haraka sana' na Putin.
Trup amesema kuna mkakati mmoja tu, na hilo litaegemea kwa Putin
Washirika Ulaya wataka kuimarisha sekta ya silaha ya Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa Ulaya wamekubaliana kuimarisha sekta ya silaha ya Ukraine na ushirikiano wa usalama.
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani aizuru Kiev
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius anaizuru Ukraine kwa mazungumzo na viongozi wa serikali ya nchi hiyo.
Urusi, Iran kusaini mkataba wa ushirikiano wa kimkakati
Urusi imelaumu vikwazo vipya vya Marekani na Uingereza ikisema vinahatarisha biashara ya kimataifa.
Zelensky aonyesha utayari wa kubadilishana wafungwa na Urusi
Ukraine imewakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini katika uwanja wa vita katika eneo la Kursk mnamo Januari 9.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 85
Ukurasa unaofuatia