You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump amuita Zelensky "Dikteta ambaye hakuchaguliwa"
Mvutano kati ya Marekani na Ukraine kuelekea mzozo nchini humo unazidi kushika kasi, huku kukiwa na kutupiana maneno.
Trump 'anaishi katika dunia ya upotoshaji', asema Zelensky
Trump aliunga mkono hoja nyingi za Urusi kuhusu vita vya nchini Ukraine, akiilaumu Kyiv kwa "kuanzisha" mapigano.
Urusi na Marekani zimefanya mazungumzo kuhusu Ukraine
Urusi na Marekani zilizungumzia kuhusu suala la uchaguzi nchini Ukraine
Marekani na Urusi zakubaliana kumaliza vita Ukraine
Hata hivyo Ukraine na washirika wake wa Ulaya hawakushirikishwa kwenye mazungumzo hayo ya Riyadh.
Guterres ahimiza kuwepo kwa mshikamano wa kimataifa
Guteress ahimiza kuwepo kwa mshikamano wa kimataifa na kupanuliwa kwa Baraza la Uslama la Umoja wa Mataifa.
Rubio afanya ziara Umoja wa Falme za Kiarabu
Rubio afanya ziara katika Umoja wa Falme za Kiarabu
Urusi na Marekani zafanya mazungumzo bila Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema kuwa Kyiv haikualikwa kwenye mazungumzo hayo yanayofanyika Riyadh.
Trump: Ukraine haikupaswa kuanzisha vita na Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump amemlaumu Rais Volodymyr Zelensky kwa uvamizi wa Urusi nchini mwake.
Russia, USA, zakubaliana kufikisha mwisho vita Ukraine
Wanadiplomasia wakuu wa Marekani na Urusi walikutana mjini Riyadh, Saudi Arabia, wakiziweka kando Ukraine na Ulaya.
US, Urusi waafikiana kuanzisha mchakato wa amani Ukraine
Marekani na Urusi waafikiana kuanzisha rasmi mchakato wa amani katika mzozo wa Ukraine
Urusi yafanya mashambulizi makubwa katika mji wa Odessa
Urusi yafanya mashambulizi makubwa katika mji wa Odessa
Urusi na Marekani kufanya mazungumzo bila ya Ukraine
Marekani na Urusi zimekubaliana mjini Riyadh kuendelea na juhudi za kumaliza vita nchini Ukraine.
Maafisa wa Urusi na Marekani wakutana Riyadh kuhusu Ukraine
Wajumbe hao wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na wa Urusi walikutana katika Ikulu ya mjini Riyadh.
Viongozi wa Ulaya waafikiana kuhusu kuimarisha usalama wao
Viongozi hao walikutana kwa zaidi ya masaa matatu na kujadili kuhusu mzozo wa Ukraine na usalama wa Ulaya.
Lavrov na Rubio kukutana Riyadh kuijadili Ukraine
Lavrov na Rubio kukutana Riyadh kwa mazungumzo juu ya vita vya Ukraine
Viongozi EU wakusanyika Paris kujadili hatma ya Ukraine
Viongozi wa Ulaya wakusanyika Paris kujadili hatma ya vita vya Ukraine
Trump atangaza kukutana na Putin siku za usoni
Trump aliwaambia waandishi wa habari kuwa hakuna muda uliowekwa, lakini inaweza kuwa katika siku za usoni.
Viongozi wa Ulaya wanakutana kwa dharura Paris
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amesema usalama wa Ulaya uko katika mabadiliko muhimu.
Ujerumani: Wagombea wajibizana kuhusu uchumi
Hii ni mara ya kwanza kwa wapiga kura wa Ujerumani kuwaona wagombea wanne kwenye jukwaa la mdahalo,
Viongozi wa EU kujadili mpango wa Trump kuhusu Ukraine
Viongozi wa Ulaya kujadili mpango wa Trump kuhusu amani ya Ukraine
Viongozi wa Ulaya waitisha mkutano wa dharura Paris
Viongozi Umoja wa Ulaya wanakutana Jumatatu katika mkutano maalumu wa dharura mjini Paris nchini Ufaransa.
Rubio: Ulaya itajumuishwa kwenye mchakato wa amani Ukraine
Nchi za Ulaya zinajaribu kutoa jibu la pamoja kwa Rais wa Marekani Donald Trump.
Viongozi wa Ulaya watakutana Paris kuijadili Ukraine
Mataifa yaliyoalikwa ni pamoja na Uingereza, Ujerumani, Poland, Italia na Denmark.
Urusi inaendeleza mashambulizi yake mjini Mykolaiv, Ukraine
Urusi haijasema chochote kuhusiana na shambulizi hilo mjini Mykolaiv.
Zelenskiy : Hakuna mpango wa mazungumzo ya amani bila sisi
Rais huyo wa Ukraine ametoa mwito pia kwa Ulaya kuwa na jeshi lao na kwamba Ukraine pekee yake haiwezi kupigana vita.
Vance asema Marekani inatafuta "amani ya kudumu" kwa Ukraine
Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Washington inalenga kutafuta "amani ya kudumu" kwenye mzozo wa Urusi na Ukraine.
MSC 2025: Steinmeier awataka viongozi wa Ulaya kuwa watulivu
Majadiliano yanajikita katika uhusiano wa kanda ya Atlantiki, nafasi ya Ulaya duniani, na vita vya Ukraine.
Viongozi wa dunia wanakutana Munich kujadili usalama
Viongozi wa kisiasa, wanadiplomasia, na wataalamu wa usalama wanakutana leo Ijumaa kwenye Mkutano wa Usalama wa Munich.
Zelensky na Vance kukutana mjini Munich
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy mjini Munich.
Zelensky hatokubali makubaliano ya amani bila Ukraine
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema makubaliano yoyote ya Ukraine yasiyoijumuisha Ulaya yatasambaratika.
Marekani yakanusha kuisaliti Ukraine
Ujerumani imesema inasikitika kwamba Marekani, imekuwa na makubaliano na Urusi hata kabla mazungumzo ya amani kuanza.
Trump tayari kukutana na Putin kumaliza vita vya Ukraine
Rais Donald Trump amesema yuko tayari kukutana mara moja na Rais wa Urusi Vladmir Putin kumaliza vita nchini Ukriane.
Trump asema Putin na Zelensky "wanataka amani"
Rais Donald Trump wa Marekani amesema Rais wa Urusi na mwenzake wa Ukraine wanataka kufikia amani.
Urusi yakataa pendekezo la kubadilishana maeneo na Ukraine
Urusi yakataa pendekezo la kubadilishana maeneo na Ukraine kama sehemu ya mpango ujao wa amani
Marekani kutopeleka wanajeshi Ukraine
Marekani imesema haitopeleka wanajeshi wake Ukraine chini ya mkataba wowote wa amani.
Zelenskiy yuko tayari kubadilishana maeneo na Urusi
Rais wa Ukraine Volodymy Zelensky amesema yuko tayari kubadilishana maeneo na Urusi
Zelensky: Ukraine iko tayari kubadilishana eneo na Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kubadilishana ardhi katika mazungumzo na Urusi.
Ukraine yasema miundombinu yake ya gesi imeshambuliwa
Ukraine yasema miundombinu yake ya gesi imeshambuliwa
Zelensky kukutana na JD Vance mjini Munich Ijumaa
Zelensky kukutana na JD Vance mjini Munich siku ya Ijumaa
Urusi haijavutiwa na mapendekezo ya mazungumzo ya amani
Urusi bado haijapokea mapendekezo ya kuvutia kuanza mazungumzo kuhusu Ukraine.
Trump asema kuna matumaini ya kumaliza vita Ukraine
Trump amekataa hata hivyo kutoa maelezo kuhusu mawasiliano yoyote aliyoyafanya na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Urusi yarusha droni zipatazo 151 kuishambulia Ukraine
Urusi yarusha droni zipatazo 151 kuishambulia Ukraine
Zelensky awataka washirika wake kuwekeza kwenye madini yake
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alikosoa kauli ya Trump pamoja na sera zake za kigeni.
Urusi na Ukraine washambuliana kwa droni na makombora
Nchi hizo mbili zimeendelea kushambuliana kwa makombora na droni.
08.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mateka watatu raia wa Israel kuachiwa huru na kundi la Hamas leo. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema vikosi vya Korea Kaskazini vimerejea katika uwanja wa vita kuisaidia Urusi. Na Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wakutana Dar es Salam kujadili mgogoro unaoednelea mashariki wma Congo.
07.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz aliamuru jeshi lijiandae na safari za kuondoka kwa hiara Wapalestina kutoka Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump asaini amri kuidhinisha vikwazo dhidi ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC. Na waasi wa M23 wasonga mbele mashariki mwa Congo huku Umoja wa Mataifa ukitoa miito ya amani.
Ufaransa na Uholanzi zapeleka ndege za kivita nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amepongeza hatua hiyo ya kupelekwa ndege hizo.
Trump kufanya mkutano na Putin Februari au Machi
Shambulizi la kuvuka mpaka la Ukraine likiwauwa watu watatu katika kijiji kimoja mkoa wa Belgorod nchini Urusi.
Guterres alikataa pendekezo la Trump kuhusu Gaza
Saudi Arabia imesema haitarejesha uhusiano na Israel hadi pale kutakapoundwa Dola la Kipalestina.
06.02.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Umoja wa Ulaya wasema Ukanda wa Gaza ni sehemu ya dola la baadaye la Palestina. Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yafuatilia hali inayoendelea nchini Congo. Na Ukraine yawawekea vikwazo manahodha 50 wanaoisaidia Urusi kukwepa vikwazo vya nchi za Magharibi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 84
Ukurasa unaofuatia