You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Merz: Upo umuhimu wa kukubaliana haraka kuisaidia Ukraine
Ujerumani imekuwa moja ya mataifa yanayoisaidia Ukraine kikamilifu tangu ilipovamiwa na Urusi mapema mwaka 2022.
Ukraine yahimiza dhamana ya usalama kabla ya mpango wa amani
Ukraine imepinga hatua ya kusitisha mapigano bila ya kuwepo dhamana ya usalama kwa nchi yake.
Je, Marekani imewageuka washirika wake wa EU na Ukraine?
Wiki 6 tu ndani ya muhula wake wa pili, Rais wa Marekani Donald Trump ameichafua hadhi ya Ulaya na Ukraine.
Zelensky asema yuko tayari kushirikiana na Marekani
Rais Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kushirikiana na Rais Donald Trump licha ya msuguano.
Viongozi wa Ulaya kuendelea kuiunga mkono Ukraine
Mkutano wa London umeonyesha mshikamano zaidi wa mataifa ya Ulaya.
Viongozi wa Ulaya wakubaliana kuhusu amani ya Ukraine
Mazungumzo hayo yaliwaleta pamoja washirika 18 walioahidi kuendelea kuiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Urusi.
02.03.2025- Matangazo ya mchana.
Viongozi wa Ulaya wanakutana mjini London hii leo kujadili mzozo wa Ukraine++Israel yasimamisha usafirishaji wa misaada kuingiza Gaza baada ya awamu ya kwanza ya usitishaji mapigano kukamilika++ Na hali ya Papa Francis bado inafuatiliwa kwa uangalifu mkubwa.
Shambulio la Urusi laua mtu mmoja na kujeruhi wawili Ukraine
Urusi haijatoa tamko lolote juu ya mashambulizi hayo ingawa pande zote mbili zimekuwa zikikanusha kuwalenga raia.
Viongozi wa Ulaya wanakutana London kujadili migogoro
Hapo jana, Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer alimkaribisha kwa bashasha rais wa Ukraine Volodymir Zelenskiy.
Majibizano kati ya Trump na Zelensky yaendelea kuwa gumzo
Viongozi hao wamesema wataendelea kusimama na Ukraine.
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali kwa droni na makombora
Watu kadha wameripotiwa kuuawa na wengine kujeruhiwa kufuatia mapigano hayo.
Zelenskyy kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Ulaya
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amewasili mjini London kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Ulaya Jumapili.
Ulaya yamuunga mkono Zelensky baada ya majibizano na Trump
Tukio hilo lilitafsiriwa kuwa mkutano wa kudhalilishana kati ya rais wa Marekani Donald Trump na mgeni wake Zelensky.
Zelensky azungumza baada ya majibizano makali na Trump
Hata hivyo Zelensky amekataa kuomba msamaha akisema hadhani kuwa alifanya kosa lolote.
Urusi yaishambulia tena Ukraine kwa droni
Urusi imefanya mashambulizi mengine makubwa ya droni nchini Ukraine, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini humo.
Starmer kuwakutanisha viongozi wa Ulaya juu ya Ukraine
Keir Starmer ameitisha mkutano wa kilele na viongozi wa Ulaya kuzungumzia hatua za kuisaidia Ukraine.
Mkutano wa Zelensky, Trump wamalizika vibaya
Zelensky alishikilia ulazima wa kupatikana kwa hakikisho la usalama kabla ya kukubali usitishaji mapigano.
Mzozo wa Ukraine: Viongozi wa Ulaya wafanya ziara Marekani
Viongozi waliofanya ziara wiki hii huko Marekani ni rais wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza na rais wa Ukraine.
Trump amkaribisha Starmer bila ahadi ya usalama kwa Ulaya
Trump ameonesha kulegeza msimamo juu ya amani ya Ukraine bali hakumpa Starmer ahadi yoyote kwa usalama wa Ulaya.
Putin: Mazungumzo na Marekani yanaleta matumaini
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema leo kuwa mazungumzo ya awali ya Urusi na Marekani yanatoa "matumaini" kuelekea kuzi
Urusi yasema haitojadiliana kuhusu mikoa mitano iliyoinyakua
Kremlin imeitoa kauli hiyo wakati juhudi mbalimbali zikiendelea za kujaribu kuumaliza mzozo huo.
Marekani, EU zaendeleza juhudi za kuutatua mzozo wa Ukraine
Sera ya Marekani imeonekana kubadilika kuhusu mzozo wa Ukraine na kutofautiana na washirika wake wa EU.
Macron awaambia wenzake wa EU alichozungumza na Trump
Donald Tusk, amewataka viongozi wa Ulaya kutokubali "kujisalimisha" kwa Urusi kuhusiana na swala la Ukraine
Trump asema "SAWA" Zelensky kuzuru Marekani
Trump amesema yuko tayari kukutana na Zelensky ambaye kulingana naye amesikia anakwenda Washington siku ya Ijumaa.
Bunge la Ukraine lamuongezea muda Rais Zelenskyy
Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni alimuita Rais Volodymyr Zelenskyy "dikteta asiyetaka kuitisha uchaguzi."
Ufaransa: Amani ya Ukraine haimaanishi 'kusalimu amri'
Trump amerejelea msimamo wake kwamba Ulaya ichukue jukumu kamili la kuendelea kuisaidia Ukraine katika siku za usoni.
Umoja wa Mataifa waunga mkono azimio kuhusu Ukraine
Azimio hilo la Umoja wa Mataifa limeonyesha upendeleo kwa Urusi, huku baadhi ya wanadiplomasia wakiupinga waziwazi.
China yajielekeza kuboresha uchumi wake badala ya mizozo
Ingawa China inataka kuonekana kama mpatanishi wa kimataifa, inachukua tahadhari kuepuka gharama au hatari za kisiasa.
Zelensky: Ni mwaka wa amani ya kweli na ya kudumu
Ukraine inapoadhimisha miaka mitatu ya uvamizi wa Urusi Rais Zelensky ametoa wito wa "amani ya kudumu na ya kweli" .
Macron aenda Marekani kwa ajili ya mazungumzo na Trump
Macron analenga kumshawsihi Trump wakati watakapokutana kuwajumuisha viongozi wa Ulaya kwenye mazungumzo ya Ukraine.
Ukraine yaadhimisha miaka mitatu ya uvamizi wa Urusi
Viongozi kadhaa wa Ulaya na Canada wako nchini Ukraine kwa ajili ya maadhimisho hayo na kuonyesha mshikamano na Ukraine.
EU yaadhimisha miaka mitatu ya vita vya Ukraine
Ukraine inapoadhimisha miaka mitatu ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, EU imesema itaendelea kuiunga mkono Kyiv.
Zelensky ajitolea kujiuzulu ili Ukraine ipate uanachama NATO
Zelensky amekabiliwa na ukosoaji mkubwa kutoka utawala mpya wa Marekani, ameeleza kuwa angetaka kukutana na Trump.
Urusi yafanya shambulizi kubwa la droni dhidi ya Ukraine
Jeshi la anga la Ukraine limesema katika taarifa kwamba ndege 138 zilidunguliwa na nyingine 119 zimepotea katika rada.
Putin: Tutaendelea kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Urusi
Ukraine ilivamiwa na Urusi mnamo Februari 24 mwaka 2022, huku Kremlin ikidai kuwa inajilinda dhidi ya kitisho cha NATO.
Zelensky : Ulaya kufanya mengi kuhakikisha amani Ukraine
Zelensky asema Ukraine na washirika wake wa Ulaya wana mapendekezo ya wazi ya kumaliza vita.
22.02.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari asubuhi ya leo. Miongoni mwa nyingine ni Mkutano wa Riyadh wa kujadili ujenzi na mustakabali wa Gaza. Donald Trump awaomba Putin na Zelensky kukutana na Mkutano wa G20 wa mawaziri wa mambo ya nje wamalizika.
A. Kusini yataka Ukraine kushirikishwa mazungumzo ya amani
Afrika Kusini iliandaa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la G20 uliomalizika siku ya Ijumaa.
Rais Donald Trump awataka Putin na Zelensky kukutana
Vita vya nchini Ukraine vinakaribia kuingia mwaka wa tau, huku mashambulizi yakizidi kushika kasi.
China yaunga mkono mpango wa Marekani wa amani ya Ukraine
Yi amesema hayo mbele ya Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wanaohudhuria mazungumzo ya kundi la G20 nchini Afrika Kusini.
Marekani yataka kibali cha kuchimba madini ya Ukraine
Mazungumzo hayo yanaendelea licha ya kuonekana kuongezeka mpasuko kati ya pande hizo mbili kuhusiana na vita vya Urusi.
Marekani na Ukraine zazungumzia kuhusu madini ya Kyiv
Ukraine ilikuwa imekataa jaribio la kwanza la Trump la kuingia katika makubaliano kuhusu raslimali asili za Kyiv.
Rubio akanusha kuwa Utawala wa Trump unaupendelea Urusi
Rubio amesema Marekani inataka kwanza kuona kama Urusi imejitolea katika mazungumzo hayo.
Suala la Ukraine latawala mkutano wa mawaziri wa nje wa G20
Vita vya Urusi nchini Ukraine vinakaribia mwaka wa tatu tangu Urusi ilipolivamia kikamilifu taifa hilo jirani, 2022.
Mjumbe maalum wa Marekani akutana na viongozi wa Ukraine
Mjumbe maalum wa Marekani akutana na viongozi wa Ukraine,Kiev
Rais Donald Trump amuita Zelensky Dikteta
Rais Donald Trump amuita Zelensky Dikteta
G20: Migogoro na vita vinazidi kuteteresha usalama wa dunia
Wanadiplomasia Wakuu kutoka mataifa ya G20 wanakutana leo nchini Afrika Kusini kujadili masuala yanayoukabili ulimwengu.
20.02.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari ya leo asubuhi.
Starmer amuunga mkono Zelensky, akosoa matamshi ya Trump
Trump anatoa matamshi hayo baada ya Zelensky kumshutumu kwa kushawishika na kile alichokiita "habari potofu" za Urusi.
Trump amuita Zelensky "Dikteta ambaye hakuchaguliwa"
Mvutano kati ya Marekani na Ukraine kuelekea mzozo nchini humo unazidi kushika kasi, huku kukiwa na kutupiana maneno.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 84
Ukurasa unaofuatia