You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ukraine yadungua droni 90 zilizovurumishwa na Urusi
Jeshi la Ukraine limeangusha droni 90 kati ya 174 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia leo jumatatu.
Ukraine yazidungua droni 47 zilizorushwa na Urusi
Marco Rubio na Sergei Lavrov wamezungumza hapo jana juu ya hatua inayofuata ya mazungumzo ya kumaliza vita hivyo.
Starmer: Putin hana budi kuketi kwenye meza ya mazungumzo
Kansela wa Ujerumani Olaf Schol asema Urusi lazima ifanye juhudi ili kurejesha amani nchini Ukraine.
Mashambulizi ya droni yarindima tena Ukraine na Urusi
Ukraine limesema limezidungua droni 130 kati ya 178 za Urusi wakati Moscow ikiripoti kuwa meziangusha droni 126 za Kyiv.
Putin avitaka vikosi vya Ukraine Kursk vijisalimishe
Trump amesema wanajeshi wa Ukraine wakiuwawa yatakuwa mauaji mbaya kabisa ya kiholela tangu vita vya pili vya dunia.
Nchi za G7 zakubaliana kuiunga mkono Ukraine
Nchi za G7 zimesema zinaiunga mkono Ukraine bila kutetereka
G7 yaitishia Urusi kwa vikwazo iwapo itakataa kumaliza vita
Kundi la G7 limeionya Urusi kuiiga Ukraine katika kukubali kusitisha mapigano ama itakabiliwa na vikwazo zaidi.
Putin: Pendekezo la kusitisha vita linahitaji tathmini zaidi
Rais wa Urusi amesema Urusi inaliunga mkono pendekezo la kusitisha vita lakini tathmini zaidi inahitajika.
14.03.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Urusi Vladimir Putin asema usitishaji vita Ukraine lazima ulete amani ya kudumu. Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kulaani machafuko nchini Syria. Na Umoja wa Ulaya kuwekeza dola bilioni tano nchini Afrika Kusini.
Urusi inajivuta kujibu pendekezo la usitishaji vita
Rais Zelensky aituhumu Urusi kwamba inajiburuza kwenye suala la makubaliano ya usitishaji vita
Mawaziri wa G7 wajadili usitishaji mapigano Ukraine
Mawaziri wa nchi za G7 wakutana Canada kujadili usitishaji mapigano Ukraine
Trump: Wapatanishi wa Marekani waelekea Urusi
Rais wa Urusi Vkadimir Putin amelitembelea eneo la mapambano la Kursk bila kutarajiwa.
13.03.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Raisi Vladimir Putin wa Urusi aagiza jeshi lake livifurushe vikosi vya Ukraine kutoka ardhi ya Urusi. Marekani yalihimiza baraza la usalama liilaani Iran kuhusiana na mpango wake wa nyuklia. Na mazungumzo ya kutafuta amani ya Congo kufanyika Luanda wiki ijayo.
Ukraine yakubali pendekezo la usitishaji mapigano
Volodymyr Zelensky amesema Marekani itajaribu kuishawishi Urusi kukubaliana na pendekezo hilo ya usitishaji mapigano.
Ukraine yaunga mkono usitishwaji mapigano wa siku 30
Ukraine imefanya mazungumzo ya amani na Marekani baada ya zaidi ya miaka mitatu ya vita kati yake na jirani yake Urusi.
Ukraine na Marekani wajadili mpango wa kusitisha vita
Ukraine imesema mazungumzo na Marekani nchini Saudi Arabia yameanza kwa mwelekeo mzuri hii leo.
Maafisa wa US na Ukraine wafanya mazungumzo ya amani Saudia
Hayo yanajiri wakati Ukraine imefanya mashambulizi makubwa ya droni nchini Urusi.
Ukraine kuwasilisha mpango wa kusitisha vita kwa Marekani
Ukraine itawasilisha kwa Marekani leo mpango wa kusitisha mapigano kwa sehemu na Urusi.
11.03.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa. Miongoni mwa mengine ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine awasili Saudi Arabia kwa mazungumzo ya amani huku akiwa na matumaini makubwa | Washirika wa Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kabila wahojiwa na mwendesha mashtaka wa kijeshi | Wapiganaji wa Kikurdi nchini Syria wayakaribisha makubaliano kati yao na serikali ya Damascus
Rais Zelensky awasili Saudi Arabia kwa mazungumzo ya amani
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine miaka mitatu iliyopita na sasa juhudi za kuvimaliza vita zinaendelea kimataifa.
Ukraine itarajie nini kutokana na mazungumzo, Saudi Arabia?
Je Ukraine itanufaika vipi katika mazungumzo nchini Saudi Arabia? DW inaangalia umuhimu wa mkutano huo kwa Ukraine.
Zelensky asema Ukraine inataka amani na Urusi
Ikulu ya Kremlin ya Urusi ambayo imesifu msimamo wa Washington kuhusu mzozo huo tangu Trump aingie madarakani.
Zelensky: Urusi ndio chanzo cha vita kutomalizika
Kabla ya kuelekea Saudia, Rais Zelensky amesema nchi yake inataka amani, akisisitiza Urusi ndio inachochea vita hivyo.
SIPRI: Ulaya bado yategemea silaha kutoka Marekani
Ripoti ya SIPRI inaitaja Ukraine kuwa muagizaji mkubwa zaidi wa silaha ulimwenguni katika kipindi cha 2020 hadi 2024.
Zelensky aelekea Saudia kutafuta mwafaka wa vita
Zelensky atakutana na kiongozi wa Saudia kabla ya mazungumzo na maafisa wa Marekani akiwemo waziri wa Marco Rubio.
10.03.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza habari za asubuhi ya leo kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni. Miongoni mwa habari hizi ni hatua ya Israel ya kuikatia umeme Gaza na ripoti ya kimataifa ya mauzo ya silaha.
Mamia wakusanyika Berlin kuiunga mkono Ukraine
Urusi iliivamia Ukraine kikamilifu miaka mitatu iliyopita na bado hakujafikiwa hatua kubwa ya kuvimaliza vita.
Urusi yadai imekiteka kijiji kingine mashariki mwa Ukraine
Urusi imedai kwamba imefanikiwa kuchukua udhibiti wa kijiji kingine mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Urusi, Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha
Ukraine imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga imeziteketeza droni 73 kati ya 119 zilizorushwa na Urusi usiku.
Rais wa Ukraine atoa mwito wa Urusi kuwekewa vikwazo zaidi
Hata hivyo, kauli ya Zelensky inakuja siku chache kabla ya kufanyika kwa mazungumzo ya mapatano nchini Saudi Arabia
Shambulio la Urusi laua watu 12 mashariki mwa Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky anatarajiwa kuelekea Saudi Arabia Jumatatu kukutana na Mwanamfalme Mohammed bin Salman.
Vikosi vya Ukraine vyakaribia kuzingirwa ndani ya Urusi
Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine walouvamia mkoa wa Urusi wa Kursk mwaka jana wanakabiria kuzingirwa na vikosi vya Urusi.
Urusi yafanya mashambulizi ya makombora Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na droni dhidi ya miundombinu ya Ukraine hatua iliyozua hofu kwa EU.
Viongozi wa EU waafikiana kuongeza matumizi ya ulinzi
Nchi 26 za EU zilitoa tamko la pamoja la mshikamano na Ukraine lakini Hungary ilikataa kutia saini nyaraka hiyo.
Urusi yaharibu miundombinu ya umeme kusini mwa Ukraine
Vikosi vya Urusi vimefanya mashambulizi mapya ya droni kwenye mji wa mwambao wa Bahari Nyeusi wa Odesa.
Viongozi EU wakutana kuijadili Ukraine na usalama wa Ulaya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana kwa dharura mjini Brussels kujadili kuimarisha usalama wa umoja huo na Ukraine.
Polisi waimarisha ulinzi kabla ya mkutano wa wakuu wa Ulaya
Umoja wa Ulaya unaangazia namna ya kuisaidia Ukraine baada ya Marekani kusitisha misaada nchini Ukraine.
Ufaransa kuipatia Ukraine silaha za nyuklia?
Ulaya imekuwa ikitapatapa juu ya namna ya kuisaidia Ukraine baada ya Marekani kutangaza kusitisha misaada.
Marekani yasitisha kuipa Ukraine taarifa za intelijensia
Marekani wiki hii ilitangaza kusitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine inayopambana dhidi ya Urusi kwa miaka mitatu sasa.
Viongozi wa Ulaya kujadili bajeti za ulinzi na Ukraine
Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels leo kwa mkutano kuhusu bara hilo na msaada kwa Ukraine.
Macron: Enzi ya ´unyonge wa Ulaya´ imekwisha
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitaja Urusi kuwa "kitisho kwa Ufaransa na Ulaya".
Urusi yapongeza utayari wa Ukraine wa mazungumzo
Kyiv imesema iko tayari kusaini makubaliano ya amani kwa kuzungumza na Urusi pamoja na mkataba wa nishati na Marekani.
Urusi yapongeza Ukraine kuwa tayari kwa mazungumzo ya amani
Emmanuel Macron anatarajiwa kurejea Washington kukutana na Trump akiwa na Keir Starmer na rais Zelensky.
Trump: Zelensky yuko tayari kwa mazungumzo na Urusi
Rais Trump na Zelensky walijikuta katika mzozo wiki iliyopita kwenye mkutano baina yao kwenye Ikulu ya White House.
Rais Macron atarajiwa kulihutubia taifa Jumatano jioni
Viongozi wa Ulaya wanahangaika kukabiliana na mabadiliko ya sera za utawala wa rais Trump.
Zelensky atafuta maridhiano na Urusi na Trump
Zelensky pia ameweka wazi kuwa hana kinyongo kufuatia mkutano uliokumbwa na mkanganyiko na Trump wiki iliyopita.
Ukraine yasema inao uwezo wa kuendelea kupambana na Urusi
Ukraine imesema inaweza kuendelea na mapambano dhidi Urusi hata baada ya Marekani kusitisha kwa muda msaada wa kijeshi.
Uingereza yajitolea kwa ajili ya amani ya kudumu Ukraine
Ursula von der Leyen amependekeza ufadhili mpya wa takriban dola bilioni 841.5 kwa uwekezaji wa ulinzi katika umoja huo.
Trump asitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine
Hatua hiyo inajiri siku chache tu baada ya makabiliano ya hadharani kati ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Trump.
Trump asitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine
Agizo hilo litakuwepo hadi Trump atakapoamua kuwa Ukraine imeonyesha kujitolea kwa mazungumzo ya amani na Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 84
Ukurasa unaofuatia