You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky aukosoa ubalozi wa Marekani nchini Ukraine
Brink akosolewa kwa kutotaja kwamba Urusi ilifanya shambulizi dhidi ya Ukraine.
Urusi, Ukraine zaendelea kushambuliana kwa makombora
Ukraine na Urusi zinaendelea kushambuliana, kila upande ukiripoti madhara makubwa kutoka kwa mwenzake.
Shambulizi la Urusi lawauwa watu 18 nchini Ukraine
Urusi yadungua na kuharibu droni 49 za Ukraine usiku kucha
Rutte: Urusi inasalia kuwa tishio kubwa kwa NATO
Rutte, amesema ni wazi kuwa Urusi inasalia kuwa tishio kubwa kwa jumuiya ya NATO.
Urusi: Hatujapata mualiko wa mazungumzo ya amani
Urusi haijapata mualiko wa mazungumzo ya amani kutoka Ulaya.
Mawaziri wa NATO wajadili mustakabali wa Ukraine
NATO wanakutana kujadili uwezo wa kuimarisha ulinzi na kuendelea kuisadia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi.
Wakuu wa Majeshi wa Magharibi waijadili Ukraine
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya Magharibi wanatarajiwa kujadiliana uwezekano wa kutuma wanajeshi nchini Ukraine.
Baerbock asema lengo la Putin ni kuiangamiza Ukraine
Hii huenda ikawa ziara ya mwisho ya Baerbock kama waziri wa mmbo ya nje.
Baerbock aionya Marekani katika ziara yake mjini Kiev
Baerbock amesisitiza utayari wa Ukraine kwa usitishaji mapigano.
Ujerumani yaionya Marekani juu ya mbinu za Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amewasili Kiev kuonesha mshikamano kwake kwa Ukraine.
Bado tunashirikiana na Marekani suluhu ya Ukraine - Kremlin
Urusi na Marekani zinalifanyia kazi suala la makubaliano ya amani kwenye vita vya Ukraine.
Kaja Kallas aitaka Marekani kumshinikiza Putin zaidi
Tamko la pamoja linatarajiwa mwishoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Ulaya .
Marekani yajadili na Urusi kuhusu madini yake
Urusi yafanya mashambulizi wiki moja baada ya kufikiwa makubaliano ya muda ya kusimamisha vita kwenye Bahari Nyeusi
Ukraine yaripoti mapigano makali Donbass
Mapigano makali kwenye mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Ukraine, baada ya majeshi ya Urusi kusonga mbele.
Shambulio la Urusi laua na kujeruhiwa watu Ukraine
Mashambulizi yameendelea licha ya jitihada za Marekani za kujaribu kufikiwa makubaliano ya usitishaji wa vita hivyo.
Matangazo ya Asubuhi 29.03.2025
Katika uchambuzi wa ripoti Jumamosi ya leo; ni pamoja na mashambulizi ya Israel huko Lebanon; Ufaransa na Uingereza zahimiza juu ya Ukraine kuhakikishiwa kuhusu kuendelea kwa mpango wa kupelekwa kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini humo; Na vile utasikia mzozo wa Kongo.
Putin apendekeza utawala wa mpito Ukraine
Rais wa Urusi Vladmir Putin amependekeza kuwepo utawala wa muda wa Umoja wa Mataifa katika siku zijazo nchini Ukraine.
Urusi yataka EU kuiondolea vikwazo ili kurejesha makubaliano
Hayo yanajiri wakati Moscow na Kiev zikitupiana lawama kwa mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati.
Ufaransa, Uingereza zapigia debe kikosi kwa ajili ya Ukraine
Ufaransa na Uingereza zinahimiza juu ya kupelekwa kikosi cha kulinda mkataba wowote wa amani kati ya Urusi na Ukraine.
Waziri Wang Yi wa China kufanya ziara Urusi wiki ijayo
Juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili kuutafutia suluhu ya amani mzozo huo huku mapigano yakiendelea.
28.03.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Muhtasari: Umoja wa Ulaya washindwa kufikia makubaliano juu ya kupeleka vikosi vyake kulinda amani ya Ukraine+++ Rais Putin apendekeza Ukraine iwekwe chini ya utawala wa muda wa Umoja wa Mataifa +++ Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Kongo asema waasi wa M23 wanatishia kupanua mashambulizi katika majimbo mengine mawili .
Macron awakaribisha viongozi wa Ulaya kuizungumzia Ukraine
Mkutano huo unafanyika baada ya rais wa Ukraine kukubali mapema mwezi huu kuendelea na mazungumzo ya kusitisha vita
Macron na viongozi wa Ulaya kujadili hatma ya Ukraine
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitishia mkutano leo kujadili usalama wa Ukraine kabla ya mkataba wa amani.
Ukraine kupokea ahadi mpya za misaada Paris
Takriban viongozi 30 watakutana mjini Paris Alhamis kujadiliana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy jinsi ya kuimaris
Ukraine na Urusi zaendelea kutupiana lawama
Urusi yasema agizo la rais Putin la kusitisha mashambulizi katika sekta ya nishati nchini Ukraine bado lipo pale pale
Zelenskiy aelekea Paris kwa mazungumzo na Macron
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, anatazamiwa kumpokea Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky leo jioni.
Urusi na Ukraine zakubaliana kusitisha mashambulizi Baharini
Hata hivyo Urusi na Ukraine zimeendelea kuwekana vigingi katika njia ya kuelekea utekelezaji wa makubaliano hayo.
Urusi na Marekani zatathmini mazungumzo ya Riyadh
Kila upande ulisema mazungumzo hayo yangejikita kwenye uwezekano wa usitishaji mapigano kwenye eneo la Bahari Nyeusi.
Salvini: Ninatumai kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026
Naibu waziri mkuu wa Italia Matteo Salvini amesema angependa kuiona Urusi michezo ya Olimpiki 2026.
Maafisa wa Marekani na Urusi wakutana nchini Saudi Arabia
Urusi yafanya mashambulizi ya makombora katika mji wa kaskazini mashariki wa Sumy ambako watu 65 wamejeruhiwa.
Urusi yaridhishwa na mazungumzo ya kusitisha vita Ukraine
Wajumbe wa Urusi wameonyesha kuridhika na mazungumzo ya nchini Saudi Arabia kuhusu kumaliza vita vya Ukraine.
Marekani na Urusi zajadili usitishaji vita vya Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Rustem Umerov alisema duru ya kwanza ya mazungumzo ilikuwa yenye tija na mwelekeo chanya.
Maafisa wa US na Russia wakutana Saudia kujadili Ukraine
Mazungumzo hayo yanafanyika baada ya wajumbe wa Marekani na Ukraine kufanya mazungumzo hapo jana.
Marekani na Urusi yajadili Riyadh usitishaji vita Ukraine
Marekani inataka kuishawishi Urusi kurfufua mkataba wa usafirishaji mazao ya kilimo ya Ukraine kupitia bahari nyeusi.
Zelenskyy ataka shinikizo dhidi ya Urusi
Rais Volodymyr Zelenskyy amewataka washirika wa Ukraine kuongeza shinikizo dhidi ya Moscow kusitisha vita.
Watu watatu wauawa katika shambulio la droni mjini Kyiv
Hayo yamejiri siku moja kabla ya mazungumzo ya kusitisha mapigano yanayotarajiwa kufanyika nchini Saudi Arabia.
Wajumbe wa amani wa Urusi na Ukraine kukutana Saudia
Huko katika uwanja wa vita nchi hizo zimeripoti hii leo mashambulizi kutoka pande zote mbili.
22.03.2025: Matangazo ya Mchana
Jeshi la Sudan lafanikiwa kuchukua udhibiti wa makao makuu ya benki kuu ya nchi hiyo++Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa watoa wito wa kurejea kwenye mpango wa usitishwaji mapigano huko Gaza++Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa makombora usiku wa kuamkia leo
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora usiku kucha
Ukraine nayo imeripoti kuzidungua droni 100 kati ya 179 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia leo.
Watu wawili wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Mamlaka za Ukraine zimetoa wito kwa raia kutafuta maeneo ya kujikinga na mashambulizi hayo.
Marekani inatarajia kusaini mkataba wa madini na Ukraine
Trump na Zelenskiy wameafikiana kuongeza msaada wa kijeshi kwa Ukraine ili iendelee kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Trump na Zelensky wazungumza kuhusu kumaliza vita Ukraine
Walijadili pia suala la Marekani kutoa dhamana ya usalama kwa kuchukua udhibiti wa kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia.
Zelensiy: Marekani ifuatilie makubaliano ya usitishaji vita
Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, walikubaliana juu ya usitishwaji wa mashambulizi.
Ujerumani kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukaine
Hatua hiyo inajiri wakati Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ikiwa umesitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani yasema Urusi inacheza mchezo dhidi ya Ukraine
Urusi imekubali kusitisha kwa muda mashambulizi kwenye vituo vya nishati huku Ukraine ikitangaza kushambuliwa.
Trump na Putin: Miundo mbinu haitoshambuliwa Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump amejitwisha jukumu la upatanishi katika dhamira ya kuvimaliza vita vya miaka mitatu kati y
Trump kufanya mazungumzo kwa njia ya simu na Putin
Trump anatumai kumshawishi Putin pia kukubali kusitishwa kwa mapigano na kuruhusu hatua za kuelekea mpango wa amani.
Trump, Putin kuzungumzia Ukraine leo
Kwenye Ukraine kumeshuhudiwa mashambulizi ya usiku kucha yakitokea upande wa Urusi.
Trump asema mengi yamekubaliwa kuhusu Ukraine
Ikulu ya Kremlin hapo jana ilithibitisha kwamba Putin atazungumza na rais huyo wa Marekani.
Trump na Putin kujadiliana kuhusu Ukraine wiki hii
Rais wa Trump anapanga kuzungumza na kiongozi mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin kuhusu vita vya Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 84
Ukurasa unaofuatia