You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uingereza: Tuko tayari kuisaidia Ukraine kupata amani
Uingereza haijasema ikiwa vikosi vya nchi hiyo vitapelekwa Ukraine.
Trump atoa wito kwa Urusi kusitisha mashambulizi Ukraine
Mjumbe wa Marekani Steve Witkoff atawasili Urusi wiki hii kufanya duru nyingine ya mazungumzo na Urusi
Ukraine: Hatutatambua uhalali wa Urusi kuidhibiti Crimea
Urusi iliinyakua Rasi ya Crimea mnamo mwaka 2014, eneo ambalo bado linatambulika kimataifa kuwa ni mali ya Ukraine.
Trump amkosoa Putin kuhusu vita vya Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump, kwa hali isiyo ya Kawaida leo amemkosoa Rais wa Urusi Vladimir Putin, akimtaka "awache" m
Trump akwaruzana tena na Zelensky
Urusi na Ukraine zimekuwa vitani kwa miaka mitatu sasa na mazungumzo ya amani bado hayazaa matunda.
Zelenskiy akatisha ziara ya Afrika Kusini
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema anaikatisha ziara yake rasmi Afrika Kusini na kurudi nyumbani kufuatia shamb
Trump: Ukraine inachelewesha kumalizika kwa vita
Rais Zelensky wa Ukraine aliyakataa masharti hayo ambayo Marekani inasema yangeliweza kuumaliza kabisa mzozo huo.
JD Vance azitaka Urusi na Ukraine kufikia makubaliano
-
Mkutano wa ngazi ya juu kuhusu Ukraine wagonga mwamba
Mkutano uliolenga kuwakutanisha pamoja mawaziri wa mambo ya kigeni haujafanyika mjini London, Uingereza.
23.04.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mwili wa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis kupelekwa katika kanisa la Mtakatifu Petro. Ukraine yamtaka balozi wa China atoe maelezo kuhusu wapiganaji wa China katika jeshi la Urusi. Na Umoja wa Mataifa wakosoa mauaji ya watu kiasi 26 katika eneo la India la Kashmir.
Kremlin: Mazungumzo na Kiev yatafanyika vikwazo vikiondolewa
Mkutano wa kujadili mzozo wa Ukraine kufanyika Jumatano ( 23.04.2025) mjini London Uingereza
Vikosi vya Urusi vyashambulia Odesa kwa droni
Rais Putin amesema atatafakari pendekezo la Ukraine kusitisha mashambulizi ya kutokea angani dhidi ya makazi ya watu.
22.04.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Brazil yatangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis. Vikosi vya Urusi vyaushambulia mji wa Odesa kwa droni. Na wanamgambo wa Hamas wahimizwa wakubali mkataba ili misaada iingie Gaza.
Urusi yaanzisha tena mashambulizi dhidi ya Ukraine
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuanzisha tena mashambulizi na kusema haijatekeleza usitishwaji mapigano licha ya Pasaka.
21.04.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ukraine yaripoti visa karibu 3,000 vya ukiukaji wa makubaliano ya usitishaji mapigano uliofanywa na Urusi. Israel yasema mauaji ya maafisa wa afya katika Ukanda wa Gaza lilikuwa kosa na itamuajibisha kamanda aliyehusika. Na makamu wa rais wa Marekani JD Vance aanza ziara ya siku nne nchini India.
Ahadi ya kusitishwa mapigano Pasaka Ukraine yavunjika
Urusi yashambulia Ukraine licha ya ahadi ya kusitisha vita kupisha Pasaka
Vita Ukraine: Marekani kujiondoa kwenye mchakato wa amani?
Juhudi za amani zilizoanzishwa na rais Trump zinaonekana kukwama.
Ufaransa yasifu mkutano na Marekani juu ya vita vya Ukraine
Ufaransa imeyasifu mazungumzo kuhusu vita vya Ukraine yaliyofanywa maafisa wa Marekani na mataifa ya Ulaya mjini Paris.
Mkutano wa kujadili vita vya Ukraine wafanyika mjini Paris
Urusi imepuuzilia mbali mkutano huo.
Viongozi wa Marekani, EU na Ukraine kukutana mjini Paris
Viongozi wa mataifa hayo tayari wamewasili mjini Paris.
Rubio kuijadili Ukraine na viongozi wa Ufaransa
Mwanadiplomasia mkuu wa Marekani Marco Rubio atakutana na viongozi wa Ufaransa kujadili hatma ya vita vya Ukraine.
Latvia yajiondoa kwenye mkataba unaopinga mabomu ya ardhini
-
NATO yaahidi kuendelea kuisaidia Ukraine
Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte amesema jumuiya hiyo itaendelea kuiunga mkono Ukraine katika mzozo wake dhidi ya Urusi.
Nato yaahidi kuendelea kuiunga mkono Ukraine
-
Mkuu wa NATO, ziarani Kyiv, asisitiza msaada kwa Ukraine
Huko Urusi, waandishi wa habari wanne wamehukumiwa kifungo kwa madai ya msimamo mkali.
Uwezekano upo wa Urusi na Ukraine kufikia amani
Mjumbe huyo maalum wa Marekani alikutana na Raiwa Urusi Vladimir Putin huko Saint Petersburg
Urusi yasema sio rahisi kufikia amani ya Ukraine na Marekani
Aidha, Waziri Lavrov amesema kwamba Urusi haitawahi tena kuzitegemea kiuchumi nchi za Magharibi.
Urusi yadai shambulio la Sumy lililenga mkusanyiko wa jeshi
Watu wasiopungua 34 waliuawa na wengine 119 kujeruhiwa katika shambulio hilo la Jumapili ya Matawi dhidi ya Sumy.
Urusi: Shambulio lililenga wanajeshi wa Ukraine
Urusi imesema mashambulizi yake dhidi ya eneo la Sumy Ukraine yalilenga mkusanyiko wa kundi la wanajeshi wa Ukraine.
Rais Zelensky amuomba Trump aitembelee Ukraine
Urusi imeushambulia kwa mabomu mji wa Sumy na kuua takriban 34
Viongozi wa dunia walaani shambulio la Urusi Ukraine
Watu 34 waliuawa katika shambulio lililoulenga mji wa Sumy, Kaskazini-Mashariki wa Ukraine, na wengine 117 wakijeruhiwa.
Shambulio la makombora la Urusi lauwa 34 Sumy, Ukraine
Mji wa Sumy umeshuhudia moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika miezi ya hivi karibuni.
Watu 30 wauawa, 80 wajeruhiwa kufuatia shambulio la Urusi
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Ulaya Antonio Costa kupitia mtandao wa kijamii wa X, amelaani shambulio hilo la Urusi.
Trump: Mazungumzo ya kusitisha vita Ukraine kuleta tija
Rais Tump amesema, mazungumzo ya kusitisha vita nchini Ukraine huenda yakaleta tija.
Urusi na Uturuki zajadili juhudi za kusitisha vita Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje ya Urusi na Uturuki wamejadiliana juu ya juhudi za kusitisha vita kati ya Urusi na Ukraine.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni 88
Jeshi la anga la Ukraine limesema limezidungua droni 56 kati ya 88 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia Jumamosi.
Washirika wa Ukraine waahidi msaada wa euro bilioni 21
Washirika wa Ukraine katika jumuiya ya NATO wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine.
NATO NA EU kuipatia msaada zaidi wa kijeshi Ukraine
Ukraine yaomba kupewa mifumo zaidi ya ulinzi ya Patriot
Watu 10 wauwawa katika mashambulizi ya Israel, Gaza
UN imesema wanawake na Watoto ndio wamekuwa wahanga katika mashambulizi ya hivi karibuni kwenye ardhi ya Palestina.
Ukraine yasema Urusi imefanya mashambulizi 39 ya droni
Uingereza yatangaza kuongeza msaada wa kijeshi kwa Ukraine, katika hatua za Magharibi za kuiunga mkono nchi hiyo.
Ukraine yasema Urusi imefanya mashambulizi 39 ya droni
Steve Witkoff anatarajiwa kufanya mazungumzo na rais wa Urusi Vladimir Putin
Maafisa wa Urusi na Marekani wakutana mjini Istanbul
Mkutano wa maafisa wa Urusi na Marekani mjini Istanbul, hautajadili masuala ya kisiasa au Ukraine.
China yaonya raia wake kuepuka maeneo ya vita Ukraine
China imewasihi raia wake kuepuka maeneo ya vita na kutoshiriki katika mapigano.
Urusi yaidhinisha mkataba wa uhusiano kati yake na Iran
Mataifa hayo mawili yamekuwa na ushirikiano pia wa kijeshi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Ukraine yaitisha mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama UN
Sybiha amesema Urusi ni lazima ikomeshe ugaidi wake dhidi ya raia na watoto wa Ukraine na ijibu pendekezo la Marekani.
Zelensky athibithisha uwepo wa vikosi vyake Belgorod
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuwa majeshi yake yako katika mkoa wa Belgorod nchini Urusi.
Ukraine na Marekani hatimaye kusaini mkataba wa madini
Utawala wa Trump unataka dhamana ya uwepo mkubwa wa biashara za Marekani nchini Ukraine baada ya vita.
Ukraine kujadili mkataba wa madini na Marekani
Maafisa wa Ukraine wanatarajia kujadili mkataba wa madini na Marekani mapema wiki hii, ili kufikia makubaliano.
Mazungumzo ya Urusi na Marekani kufanyika wiki ijayo
Mjumbe maalumu wa Urusi Kirill Dmitriev amesema mazungumzo kati ya nchi yake na Marekani huenda yakafanyika wiki ijayo.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora
Idara ya ulinzi wa anga ya jeshi la Ukraine imesema imeyazuia makombora 13 kati ya 23 na droni 40 kati ya 109 za Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 84
Ukurasa unaofuatia