You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Afisa: Kombora lilitumika kushambulia jengo la serikali Kyiv
Shambulio hilo lilikuwa sehemu ya wimbi kubwa zaidi la droni na makombora tangu Februari 2022.
09.09.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou kujiuzulu na serikali yake baada ya kuondolewa na bunge katika kura ya imani. Watu 2 wauwawa na wengine 16 kujeruhiwa Donetsk. Na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer akutana na rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas jijini London.
Waziri mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou aondolewa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakubali kujiuzulu kwake pamoja na serikali yake
Watu 2 wauwawa na 16 kujeruhiwa Donetsk
Kituo kidogo karibu na mji wa Makiivka pia kimelengwa.
Ulaya na Marekani kufanya mazungumzo ya vikwazo kwa Urusi
Urusi yasema hakuna vikwazo vitakavyoweza kuifanya ibadilishe msimamo wake kuhusu Ukraine.
Baerbock aanza kazi kama Rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa
Annalena Baerbock alichaguliwa kuwa rais mpya wa Baraza la Umoja wa Mataifa mwanzoni mwa mwezi Juni
Ulaya na Marekani waandaa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Vikosi vya Urusi vilionekana kuzidi kusonga mbele upande wa Mashariki mwa Ukraine katika kipindi chote cha mwezi Agosti
Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Viongozi wa Ulaya wanakwenda Marekani kufuatilia mkutano kuhusu njia za kupata mkataba wa kusitisha vita.
08.09.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump aashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Kundi la Hamas lasema liko tayari kwa mazungumzo kufuatia mapendekezo ya Marekani kuhusu mkataba wa kusitisha mapigano.. Na serikali ya Ufaransa yakabiliwa na hatari ya kuanguka katika kura ya imani.
Trump yupo tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Hiki ndiyo kitisho cha karibu zaidi cha Trump, akiashiria vikwazo dhidi ya Moscow au wanunuzi wa mafuta yake.
Viongozi wa EU walaani mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
EU yazingatia nyongeza za ushuru na marufuku ya bidhaa zaidi kutoka Urusi.
Urusi yatumia droni 800, makobora 13 katika shambulio Kyiv
Makao ya serikali ya Ukraine mjini Kyiv yashambuliwa na Urusi katika mashambulizi makubwa ya droni na makombora.
Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la anga dhidi Ukraine
Zaidi ya watu 17 wajeruhiwa nchini Ukriane na majengo kadhaa, ikiwemo makazi na jengo la serikali, kuharibiwa.
Zelenskyy: Putin akitaka aje Kyiv kwa mazungumzo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy, amemwambia rais wa Urusi ikiwa anataka mazungumzo anaweza kwenda Kyiv.
Urusi: Wanajeshi wa kigeni watashambuliwa wakiletwa Ukraine
Ujerumani imesema haiko tayari kutoa kauli ya uhakika juu ya kuwapeleka wanajeshi wake nchini Ukraine
Zelensky: Maelfu ya wanajeshi wanaweza kupelekwa Ukraine
Rais Zelensky asema kwamba maelfu ya wanajeshi wa Magharibi wanaweza kupelekwa mwake chini ya dhamana za kiusalama.
Putin: Wanajeshi wa kigeni Ukraine kabla ya amani ni maadui
Kauli ya Putin ameitoa baada ya Ulaya kuthibitisha upya dhamira yao ya kupeleka kikosi cha kulinda amani nchini Ukraine.
Kansela Merz aeleza wasiwasi kuhusu nafasi ya Ulaya duniani
Merz amekosoa hali ya kutegemea washirika wa nje hasa katika masuala ya nishati na ulinzi.
Putin: Vikosi vya kigeni Ukraine vitalengwa
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba vikosi vyovyote vya kigeni vitakavyopelekwa Ukraine vitalengwa.
Macron: Mataifa 26 yako tayari kupeleka Jeshi la Ukraine
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, amesema kuwa kunahitajika muungano katika kuisaidia Ukraine kujilinda dhidi ya Urusi.
Viongozi wa Ulaya wazungumza na Trump kuhusu Ukraine
Mkutano wa Paris umesimamiwa na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer.
Ufaransa: Viongozi wa Ulaya wamfikia Trump baada ya mkutano
Viongozi wa Ulaya wamezungumza na Donald Trump baada ya mkutano kuhusu Ukraine, kwa mujibu wa Ikulu ya Ufaransa.
Zelensky kukutana na viongozi wa Ulaya mjini Paris
Mkutano wa Paris unasimiwa na viongozi wa Ufaransa na Uingeraza
Zelensky na Ulaya wakutana kusaka dhamana za usalama
Mkutano wa Ulaya wajadili mustakabali wa Ukraine na kujipanga na dhamana za usalama kwa Ukraine.
Kiev yakataa wazo la Putin, Zelensky kwenda Moscow
Kiev yakataa wazo la Putin kwamba akazungumze ma Zelensky na Moscow
Putin: Niko tayari kukutana na Zelensky mjini Moscow
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema yuko tayari kukutana na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky mjini Moscow.
Urusi yakosoa kauli ya Merz iliyomtaja Putin kuwa mhalifu
Merz alisema kuwa Putin huenda ndiye mhalifu mkubwa wa kivita wa nyakati hizi.
Urusi, Ukraine zaendelea kushambuliana
Urusi imeishambulia Ukraine kwa droni na makombora zaidi ya 500 usiku wa kuamkia Jumatano na watu watano wamejeruhiwa.
Dunia inakabiliwa na chaguo la amani ama vita - Xi
Putin na Kim wamefanya mazungumzo ya pande mbili, ambayo wote wameyaita yenye tija.
Xi awakaribisha 'rafiki wa enzi' Putin, Kim Jong Un Beijing
Marais wa China na Urusi pamoja na Kiongozi wa Korea Kaskazini wamekutana pamoja kwa mara ya kwanza Beijing.
Putin: Ukraine yaweza kujiunga na EU lakini si NATO
Putin ameitoa kauli hiyo Jumanne akiwa ziarani nchini China.
Viongozi wa Ulaya kukutana Paris kuijadili Ukraine
Viongozi wa Ulaya watakutana Paris Alhamisi.
Putin: Ukraine inaweza kujiunga na Umoja wa Ulaya
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesisitiza msimamo wa nchi yake wa kukataa Ukraine kujiunga na Jumuiya Kujihami ya NATO.
Urusi yahusishwa na shambulizi la GPS kwenye ndege ya Leyen
Von der Leyen alikwenda Bulgaria ikiwa ni sehemu ya ziara yake kwenye mataifa saba ya mashariki mwa Ulaya
Mfumo wa GPS wa ndege ya mkuu wa EU wavurugwa
Mfumo wa GPS wa ndege ya Ursula von der Leyen umeshambuliwa, huku Urusi ikiwa mshukiwa mkuu.
Ukraine: Urusi imemuua spika wa zamani wa Ukraine
Spika wa zamani wa bunge na kiongozi mkuu wa vuguvugu la maandamano ya Ukraine ya mwaka 2004 na 2014 auawa
Zelensky: Putin hana nia ya kusitisha mapigano
Matumaini ya mazungumzo ya amani kati ya Kiev na Moscow yanategemea dhamana madhubuti za kimataifa.
Zelensky: Putin hana nia ya kusitisha mapigano
Zelensky amemshtumu Putin kwa kukwepa mazungumzo ya kuvimaliza vita akisema "huo ndio mchezo wake namba moja."
Urusi yashambulia kwa droni vituo vya nishati vya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameapa kulipiza kisasi kwa kuamuru mashambulizi zaidi ndani ya ardhi ya Urusi.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100
Hakuna taarifa za waliojeruhiwa au hasara iliyotokana na mashambulizi yaliyofanywa katika miji kadhaa Ukraine.
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kuipa Ukraine vifaa zaidi vya ulinzi wa anga baada Urusi kuishambulia vikali.
Urusi yapinga dhamana ya Usalama kwa Ukraine
Mkutano huo utajadili pia juu ya Mashariki ya Kati na kuhusu ujumbe wa Umoja wa Ulaya kwenye misheni za umoja huo.
Takriban watu 250,000 kote duniani hawajulikani waliko
Shirika la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa watu zaidi ya watu 250,000 duniani kote wanaaminika kuwa wamepotea.
Mawaziri wa EU wakutana kuzijadili Ukraine na Gaza
Mawaziri wa Ulinzi na wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Ulaya wanakutana Copenhagen kuijadili Ukraine na Ukanda wa Gaza.
Ulaya na Ukraine zataka Urusi iwekewe vikwazo zaidi
Ukraine imesema watu wawili wameuawa kutokana na mashambulizi ya Urusi ya usiku kucha
Zelensky: Putin anataka kuendeleza vita
Ukraine imesema mashambulizi ya anga ya Urusi mjini Kiev, yanaonyesha kuwa Moscow inataka kuendeleza vita.
Umoja wa Ulaya waghadhabishwa na shambulizi la Urusi
Mashambulizi ya droni ya Urusi pia yaliharibu jengo la ujumbe wa kidiplomasia wa Umoja wa Ulaya lililoko Kiev.
Ulaya yalaani vikali mashambulizi ya Urusi Ukraine
Umoja wa Ulaya umemwita balozi wa Urusi nchini Ubelgiji baada ya mashambulizi makubwa mjini Kyiv yaliyosababisha vifo vy
Mashambulizi ya Urusi yawaua watu 14 Ukraine
Mashambulizi makubwa ya droni na makombora ya Urusi yaliyoulenga mji wa Kyiv yamesababisha vifo vya watu takriban 14.
Mashambulizi makubwa ya Urusi yaua 10 Ukraine
Ukraine imesema Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni usiku wa kuamkia leo dhidi ya Ukraine na kuua watu 10.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 84
Ukurasa unaofuatia